Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzito sana, afu nasikia anataka mkataba mpya wa 200k Kwa weekMAINO ni wa hovyo. KOLLYER aingie mapema sana.
Mzito sana sanaMzito sana, afu nasikia anataka mkataba mpya wa 200k Kwa week
Zirkizee na maino ni mzigo mzito sana.Mzito sana sana
In real life we motivation speaker?Brunooooooooooooo 1-1
Dogo nilishakwambia ukiona alipipi katabiri mnashinda ni kinyume chakeMzito sana sana
Badilisha hapo ubao wa matokeoKikosi cha watoto wa bwenyenye Sir Jim barobaro boys limeshuka
Twende nalo
Manchester united inacheza leo na dunia nzima ina furaha 😁 😁 😁
My prediction
Manchester united 3 vs Brighton 1
Tutapiga kama ngoma.View attachment 3206464
Sasa mzee ulikuwa unapima kwa vibonde wa ligi ? Leo vipi hajaanza😂Halafu ndio unakuta mtu wa timu ya porini uko anamfananisha Amad na winga zake zinazotumia mguu mmoja na mwingine anakokota mpira akiwa ameangalia chini kama kadondosha sindano.
[emoji2]Kikosi cha watoto wa bwenyenye Sir Jim barobaro boys limeshuka
Twende nalo
Manchester united inacheza leo na dunia nzima ina furaha [emoji16] [emoji16] [emoji16]
My prediction
Manchester united 3 vs Brighton 1
Tutapiga kama ngoma.View attachment 3206464