Manchester United (Red Devils) | Special Thread
Bruno's penalty goal equalizes for Red Devils! Man Utd 1-1 Brighton
1737297301511.gif



1737297381013.gif
 
Alipipi asirudie kuweka direct score,
Wachezaji wetu Wana mentality mbovu, hawatufai au wabadili mentality wajue kupambana dakika 90 kila game
Wajue wanataka nn uwanjani kuanzia dakika ya 1 mpaka ya 90
 
Yaani hawa watoto wadogo wanawasumbua? Sisi huwa mpaka tudhulumiiwe ndiyo tupate shida na hawa madogo.
 
Huyu zirkizee hakuna mchezaji, toka mechi ya kwanza nilijua EPL huyu ni takataka.
United wachezaji Wana mentality ya timu ndogo ndogo, hawafai karibu 90%
Na bado nashangaa dirisha dogo hatufanyi sajili.
United inachosha Kwa miaka ya sasa
 
Halafu ndio unakuta mtu wa timu ya porini uko anamfananisha Amad na winga zake zinazotumia mguu mmoja na mwingine anakokota mpira akiwa ameangalia chini kama kadondosha sindano.
Sasa mzee ulikuwa unapima kwa vibonde wa ligi ? Leo vipi hajaanza😂
 
Yaani hawa manyumbu siyo ugenini, siyo Old Trafford, kila mtu anajichukulia points
 
Back
Top Bottom