Mandela halisi aliuwawa na makaburu huyu ni feki

Nasubiri Obama naye baadaye watamsema vipi 'Saint or Devil'?
 

Hii imekaa kiupuuzi,kipinzani, kimajungu, fitna, uzushi wa kwenye grocers kwa wanaokunywa na kucheza pool muda wa kazi.
"There is nothing sacred or inherently superior about non-violent methods of struggle."
By "Real" Nelson Mandela
 
Haya ndiyo maswali ya msingi kujiuliza katika huu uzi.Nashangaa wengine wanapomtukana mleta mada.
 
hakika huu ni utata mkubwa cheki kwa Tz Nyerere mwenyewe aliwatimua wote pamoja na kwamba hawakumtesa ijekuwa yeye
 

Akili zako sawa na za slaa....acha kupandkiza chuki zczo na mcngi.....
 
Mmmmh kuna mzee mmoja mtaani kwetu Mwakambinda aliyefariki mwaka 2010 akiwa na miaka 108 amewahi nambia hli sula kuwa yule c mandela halisi,sasa cjui ni kweli ama lah?
 
Mmmmh kuna mzee mmoja mtaani kwetu Mwakambinda aliyefariki mwaka 2010 akiwa na miaka 108 amewahi nambia hli sula kuwa yule c mandela halisi,sasa cjui ni kweli ama lah?

Watu wengi walitegemea sana kuwa Mandela angelipiza kisasi, lakini matarajio hayo yakawa sivyo!!, Kuhusu Kusameheana na Winnie? Kwani mtu huwezi kumsamehe na kumuacha aendelee na maisha yake?, Si mawasiliano yanaendelea kama kawaida. Na yule kama angekuwa Mandela feki, Winnie angejua kwa kuwa kipindi chote akiwa Gerezani alikuwa anamtembelea!! Kwa hiyo yeye ndio angekuwa mtu wa kwanza kumtambua pamoja na watoto waliokuwa wanamtembelea gerezani.







Mandela is the same, yesterday Today and Forever!
 
SA karibu inapata mugabe wake waafrika wataanza kukombolewa kiuchumi soon
 
Mmmhh hiyo kitu inasadikika tu hakuna ushahid wakutosha, laiti kama ingekuwaivyo tetesi zingekuwa nyingi mno... pia hyo sababu ya 5 naipnga kutokn yaezekan MADIBA alivyotok gerezan kwa kipnd kiref aliathiriwa kisaikolojia hvyo hakuweza endeleza harakati kama ilivyo mwanzo. Bnadam tunabadlk kla sku kutkana na mazngra, mazingra ya Gereza yalimbadilisha TATA MADIBA..
Akin nashkuru kutupa changamoto ya kufikiri..
 
Chamsingi ambacho kwangu nakiona ni SA kupata uhuru wake haya mengine yataibuka na kutufikirisha sana akili na hatuwezi tena badirisha hayo yaliyopita.Awe fake or Real Madiba anastahili pongezi.
 
hii imekaa kiupuuzi,kipinzani, kimajungu, fitna, uzushi wa kwenye grocers kwa wanaokunywa na kucheza pool muda wa kazi.
"there is nothing sacred or inherently superior about non-violent methods of struggle."
by "real" nelson mandela

Definitely
 

haya yote ni kwa sababu ya njaa na u-jobless
 
Kwa maneno hayo, hata jamaa zetu wa Lumumba watasema Mkuu anayeshabikia Katiba Mpya ambayo siyo sera ya CCM ni feki. Kachongwa na kufundishwa na CHADEMA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…