Maneno gani huyaamini kutoka kwa mwanamke?

Kwangu mimi ni hizi:

"Nilikuwa busy sana jamani sema ntakutafuta tu nikitulia" translation sihitaji mazoea nawewe kwa sasa.

"Baby mi nalala bana im tired tutaongea kesho" ...translation...Kuna simu muhimu zaidi ya kuongea nayo kata simu yako fala wewe๐Ÿ˜‚

"Wewe ni mtu wangu wa pili since nimeanza dating" ... Translation... Tuliza mshono bana wewe ni mtu wa 23 to be exact๐Ÿ˜
 
Hahahaha umeua kaka ni ukweli mtupu
 
Hiyo ya mwisho bora mtu akae kimya ๐Ÿ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ