The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Ni ugonjwa wa akiliKuna rafiki yangu mpemba huwa ananifurahisha anaposemaga umaskini ni nusu ya Ukafir.
Pesa za majini zina amani??? Na makafara yao na masharti???Bila pesa hiyo amani inatoka wapi? Stress tupu.
Hii ndiyo ya kingese sanaSina pesa lakin nna amani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sanaaa
Ulilolisema huwa wanamuambia Mo.Na huku jina la kampuni ni Mohamed Enterprise."Zile sio mali zake,ni mali za familia tu"
Hongera...naona Siku hizi Unatembea Umekaa yani binadamu....Faraja ya maskini ni tajiri akipata masahibu.
Kuna kauli za maskini wanapotafutaga
faraja.
1.Utaondoka na kuziwacha.
2.Hata mbuyu ulianza kama mchicha
3. Leo kwangu kesho kwako.
4. Licha ya mihela yako bado unagongewa mke
Endelea.......
Mkuu una maanisha nini kusema "alienyoka" sijaelewa hapo.Hakuna tajiri wala mfanyabiashara alienyoka- huu ni msemo maarufu wa wana JF
Alienyooka.Mkuu una maanisha nini kusema "alienyoka" sijaelewa hapo.