Duniani kote watu wenye akili timamu wamegeukia chanjokatika mapambano na koronaq. Marekani,china,Uingereza,israeli,ujerumani na nchi za scandinavia na nyingine nyingi wote wanatumia chanjo za korona.
Anatokea mjinga mmoja primitive anawalisha watu matango pori wanaamini. Gwajima ni mwanasayansi..hapana. Ni daktari wa binadamu...hapana. Ni mtaalamu wa chanjo...hapana. He is just a layman tu! Tapeli mmoja wa kiroho na kisiasa. Alikwisha danganya watu kwa muda mrefu kwamba ana uwezo wa kufufua watu...hajawahi kufufua hata mtu mmoja kuanzia enzi za marehemu Amina Chifupa mpaka kwa Magufuli. Jambo la ajabu kuna wajinga bado wanamwamini!
Pick Botha,mtawala wa zamani wa Afrika Kusini aliwahi kusema waafrika hawana akili, akili yao inawaza ngono na mambo mengine ya hovyohovyo tu. Wape bunduki,watauana mpaka waishe.....Alikuwa sahihi!
Who are you? Kanchi ka watu wajinga wajinga tu...ambao hawajawahi kutengeneza hata chanjo moja..kujifanya wajuaji kwenye masuala ya chanjo kuwazidi waliotengeneza chanjo mbalimbali ambazo zimeokoa maisha ya watu duniani?