Maneno ya Rais Samia yafika kwenye vyombo vya habari vya kimataifa

Maneno ya Rais Samia yafika kwenye vyombo vya habari vya kimataifa

Anachofanya Rais wetu ni kama mtu mpenda urembo lakini hajui matumizi ya kioo. Kioo kina kupa tashwira halisi ya ulivyo na urekebishe wapi. Sasa ukiona kasoro zako katika kioo badala ya kurekebisha unakivunja eti kinakukosea huo sasa uitweje?l
Ndivyo wavionavyo vyama vya upinzani, badala ya kuvitumia kama kioo kuona uchafu wao wanaona ni maadui zao
 
Hivi wiki ijayo haendi New York?
Acha kua na fikra za kitumwa wewe,hakuna nchi ambayo hua inataka kuingiliwa kwenye internal affairs zake.
Hao US si ndio wanatoa silaha zinazoua Wanawake na watoto huko Gaza? kwanini wasijirekebishe wao kwanza?

Sijaongea kwa ushabiki wa kisiasa coz mimi hua sibishani mambo ya kisiasa hapa bali nimeongelea uhalisia.
 
Back
Top Bottom