Maneno ya Rais Samia yafika kwenye vyombo vya habari vya kimataifa

Maneno ya Rais Samia yafika kwenye vyombo vya habari vya kimataifa

Ameota mapembe
It was unnecessary statement. Sijajua what was going on in her mind as she was giving this speech. Ushuari wao ulilenga kusisitiza umuhimu wa kutafuta ufumbuzi na kukomesha haya mambo, ili mambo yasije kuharibika zaidi hapa katikati kama mzee wa Msoga alivyokuwa ametahadharisha huko nyuma.
 
I love this game.

Sisi tunaomweleza ukweli ili achukue hatua ndo anatuwonda usiku na mchana.

Sasa kagusa kwa magangwe wa dunia.
Soon ataanza kuisoma namba
Ukweli gani nyie mnatumika? Aliwapa nafasi ya kufanya siasa za kustaarabu mkaanza Kuhubiri chuki,migawanyoko,kutukana na Sasa mumeona haitoshi eti mnataka mumtoe madarakani Kwa maandamano,thubutu.

Ukimya wa Rais sio ujinga au udhaifu ,watch out.
 
Wao enyewe USA wamewatesa sana raia wao waliokuwa wanaipinga Isreal. Mbona tulikaa kimya?
Waliwatesa je hebu tufafanulie. Kule kila mtu anao uhuru wa kuandamana kuelelezea hisia zake, na hili lilikuwa linafanyika kwa makundi yote hdi leo, wale pro-Israel na wale against, akiwemo wabunge kama akina Ilhan Omar na wenzake. Sisi huku tunaogopa vivuli vya maandamano.
 
Ukweli gani nyie mnatumika? Aliwapa nafasi ya kufanya siasa za kustaarabu mkaanza Kuhubiri chuki,migawanyoko,kutukana na Sasa mumeona haitoshi eti mnataka mumtoe madarakani Kwa maandamano,thubutu.

Ukimya wa Rais sio ujinga au udhaifu ,watch out.
Endelea kuimba imba kipumbavu hapa wakati boss wako anaandaliwa chumba the Hague.

Utanizodoa uwezavyo, lakini ndo mshakanyaga waya.

Sisi tutaendelea kupiga kelele msituteke na kutuua. Wewe endelea kusema huo ni uongo.
 
Anachofanya Rais wetu ni kama mtu mpenda urembo lakini hajui matumizi ya kioo. Kioo kina kupa tashwira halisi ya ulivyo na urekebishe wapi. Sasa ukiona kasoro zako katika kioo badala ya kurekebisha unakivunja eti kinakukosea huo sasa uitweje?l
Ndivyo wavionavyo vyama vya upinzani, badala ya kuvitumia kama kioo kuona uchafu wao wanaona ni maadui zao
Kweli kabisa mkuu
 
It was unnecessary statement. Sijajua what was going on in her mind as she was giving this speech. Ushuari wao ulilenga kusisitiza umuhimu wa kutafuta ufumbuzi na kukomesha haya mambo, ili mambo yasije kuharibika zaidi hapa katikati kama mzee wa Msoga alivyokuwa ametahadharisha huko nyuma.
Samia ni muoga.anawaogopa wakuu wake wa vyombo vya usalama. Alitakiwa atoe kauli MOJA."wanaohusika na kifo cha kibao wakamatwe wapelekwe mahakamani mkishindwa nitaanza na nyie"
Sasa yeye anawaambia fanyeni uchunguzi. Uchunguzu wagundue nini?ndo maana wenzie wana mdharau mpaka leo hawajampelekea chochote
 
Ukweli gani nyie mnatumika? Aliwapa nafasi ya kufanya siasa za kustaarabu mkaanza Kuhubiri chuki,migawanyoko,kutukana na Sasa mumeona haitoshi eti mnataka mumtoe madarakani Kwa maandamano,thubutu.

Ukimya wa Rais sio ujinga au udhaifu ,watch out.
Jiteteeni tu. Hata issue ya meli zilizokuwa registered Zanzibar na kuanza kukwepa sanctions iliyowekea North Korea mlisema sana kwa majidai. Eti hatuingiliwi, nchi huru etc. Kupigwa pini kidogo tu mkaufyata mkia.

Huko Lebanon pages na Radio call zimelipotiwa kulipuka. Hao wanaovimbiwa ndio watengenezaji wa ndefu anazotumia Raisi wetu. Sasa yeye aendee tu kuwavimbia wakati sisi hata kutengeneza vitu vyetu wenyewe vya mawasiliano bado…
Kama anajipenda, awanyamazie tu, hawa mane Eri wana Njina Nyingi sana na wanapenda Sana show za kulipa visasi…watajua cha kufanya tu wakiudhika…
 
Back
Top Bottom