Tanzania hakuna umasikini gentleman, ni hiyo dhana tu ambayo nawe imekuzonga. But kua maskini wa fikra au mali Tanzania ni uamuzi wako ..
kuna fursa za kila aina kujikwamua katika hali hiyo gentleman ..
na ndio maana kama Taifa, kupitia Rais wetu kipenzi cha wananchi wote Tanzania Dr.Samia Suluhu Hassan,
amavionya vyama vya siasa, taasisi za kiraia na watu binafsi, wanaokusudia kuhatarisha, kuharibu au kuvuruga Umoja, amani na utulivu wa waTanzani kwamba hatavumilia kuwachukulia hatua kali sana na kuwadhubiti kwa gharama yoyote ile...
na zaidi yoyote,
ameyaonya mataifa yote yenye uwakilishi humu nchi, kuzingatia sheria za Kimataifa na mkataba wa ustaarabu wa kidiplomasia na sio kuingilia mambo ya ndani ya nchi yetu au kuelekeza namna ya kushughulika na masuala ya ndani ya nchi yetu 🐒
kama Taifa hatuishi kwa misaada na wala hatuna haja ya msaada wowote kwa Lazima au hiyari ya yeyote....