kila taifa duniani linaomba mikopo na ia lipa rais wetu anaomba mikopo na analipa yote hiyo anayoomba ingekuwa ni misaada tu wanatoa basi tungekuwa matajiri sana lakini ile ni mikopo kwahiyo HAWAWEZI KUTUENDESHA KIRAHISI NAMNA HIYO NA TUWAOGOPE KISA WANATUKOPESHA NEVER HAKUNA RAIS LEGELEGE WAHIVYO ANAYEWEZA KUVUMILIA MANENO YAO LAZIMA WAPEWE UKWELI hii ni nchi huru haiwezi kuwa inapangiwa mambo ya kufanyaAliongea kwa kupanic sana huyo mama, anawavimbia wakati kila leo anapita na bakuli lake kuomba omba huko kwao