Maneno ya Rais Samia yafika kwenye vyombo vya habari vya kimataifa

Ingawa ni Firstpost, ambayo ni ya India, habari ni kwamba kauli zake zimeshavuka mipaka.

View: https://youtu.be/TmbbANwpujQ?si=cjkbHAfI-mvUpAY3

Huyu mjaheedina wa zenj,aangslie wanachofanyiwa Hezbollah, atatulizwa muda si mrefu, TZ na samia, anasifa mbaya nje ya mipaka, hakuna jema, kabisa, ajifunze Kenya inavyon'gaa huko nje kwenye Olympic na "vibrant democracy, huku kwetu tuna sifa mbaya kama vibaka wa kawe, au machangu wa kinondoni,
Kwenye macho ya nchi za ulaya, ni TZ ni ka nchi ka hovyo, kenye "low mind" Viongozi wenye akili ndogo Sana, vichwa panzi
 
Kwa kuwa tu ni Muislam?
Kaaazi kwelkweli
 
make sure unarejesha marejesho ya mikopo yako kikoba kwa wakati kuepuka faini na hayo ndiyo maisha..

sisi tunakwenda sana duniani kote kama Taifa, kutafuta fursa za elimu na biashara kwa waTanzania, kama ambavyo mataifa ya dunia nzima wanavyofanya na wengine wanakuja kwa kumiminika nchini kutafuta fursa na hata wakitaka mikopo tutawakopesha vile vile kulingana na mahitaji yao na uwezo wetu...

hayo mengine sijui mwendokasi na mengineyo,
ni mambo ya kawaida mradi unaendelealea kutoa huduma vizuri licha ya dosari na kasoro ndogo ndogo ambazo zinashughulikiwa na mamlaka husika usiku na mchana 🐒
Wewe si ulisema hatuishi kwa misaada halafu hapa unaanza kuleta ufafanuzi uchwara.!!!

Nani aje akope Tz nchi ya makapuku na wajinga kama wewe, Sana sana watakuja kuchota rasilimali zenu mkiwa mnashirikiana nao kuwapa kwa kigezo cha uwekezaji.
 
Kusema Trump alikoswa na masasi wala haituhusu kwanza alipokoswa tu mkuu wa Secret Service Kimberley Chattle alifukuzwa kazi haraka sana..Je hapa kwetu watu wanatekwa wanauwawa mchana kweupe hakuna mtu anaehusika hii ikoje?? Tunakataa mambo ya kifashst hapa Tanzania. HATUTAKI KUULIWA WATU WETU
 
Wewe si ulisema hatuishi kwa misaada halafu hapa unaanza kuleta ufafanuzi uchwara.!!!

Nani aje akope Tz nchi ya makapuku na wajinga kama wewe, Sana sana watakuja kuchota rasilimali zenu mkiwa mnashirikiana nao kuwapa kwa kigezo cha uwekezaji.
Gentleman,
misaada ya yeyote si lolote si chochote Tanzania ..

kama Taifa,
tunajiendesha kwa kujitegemea kulingana na kiwango ambacho hatuhitaji kumpigia mtu au nchi magoti ili tupige hatua kimaendeleo,
wala hakuhitaji malumbano wala mbambamba ya mtu yeyote kwenye hili...

wenye mawazo na fikra potofu za kimaskini ambazo mara nyingi huambatana na ushirikina, tutaendelea kuwaelimisha kidogo kidogo na hatimae tuwe na uelewa na uelekeo moja 🐒
 
Kama hamuhitaji kumpigia mtu magoti, Safari za kila mara za kiongozi wenu kwenda nje ya nchi nini?

Kama sio uganga njaa?
 
kama wao wanakuja na hatuwazuii kuja kwetu basi hayupo wa kutuzuia kwenda kwao pia gentleman 🐒

hakuna muujiza kwenye hili. wasipokuja kwetu, nasi hatuna haja hata kidogo kwenda kwao na wala si Lazima lakini pia si muhimu 🐒
 
Unafikiri wao wakija huku wanakuja kulia lia njaa kama nyie mnavyo kwenda kwao kulia njaa kutaka mikopo na misaada?

Sasa kama hakuna haja ya kwenda kwao, kiongozi wako anachozunguka zunguka kila mara ni nini?
 
huenda una njaa sana ndio maana iko tabu kidogo kwenye ufahamu na uelewa kwenye jambo hili muhimu kwa maslahi mapana ya Taifa 🐒
 
Watekaji wangekuwa wanakamatwa sidhani kama wangemwambia afanye uchunguzi kukomesha haya matukio.

Watu wanatekwa, wengine wanauwawa na hakuna kesi hata moja iliyoshughulikiwa. Wanakuambia fanya uchunguzi wewe unawaona wabaya.
Kama vile hajui kuwa hawa jamaa wana intelijensia kubwa (in real time) ya mambo yetu ya ndani.

Wanaposema kitu rasmi, hawajaokoteza tu. They know it has reached a serious/critical point. Wana detailed periodic reports za nchi yetu zinazojadiliwa na intelligence agencies zao mara kwa mara na jinsi ya kuzitumia hasa kwa manufaa yao.

Nilishangaa sana Rais kudai hao mabalozi hawakutumwa na viongozi wao. Kama vile hajui kabisa hizo nchi zinafanyaje kazi? Ni aibu.
 
Back
Top Bottom