Maneno ya Rais Samia yafika kwenye vyombo vya habari vya kimataifa

huenda una njaa sana ndio maana iko tabu kidogo kwenye ufahamu na uelewa kwenye jambo hili muhimu kwa maslahi mapana ya Taifa 🐒
Hujibu ulicho ulizwa Unajibu usivyo ulizwa.

Aliyekwambia nina njaa ni nani?

Wewe ndio mwenye njaa, Wewe ni chawa kutwa kucha kujipendekeza na kusifia viongozi wako wajinga angalau wakupe chochote kitu, ili uweze kuishi.

Na viongozi wenu ndio njaa kali kila mara kwenda kwa wazungu kulia lia shida kutaka mikopo na misaada.
 
unauliza hicho hicho kwa namna tofauti tofauti. nakujibu lakini inaonekana una shida kidogo katika uwezo wa kutosha, kuelewa mambo haya mazito. ntajitahidi mara chache chache kukuwezesha kuelewa kwa lugha nyingine na bilashaka utaelewa tu...

hilo lingine la kuandaa majibu yako mfukoni, ati utegemee kufananisha na yangu, kwenye siasa hiyo haipo 🐒
 
Kwenda kagange njaa, upewe posho.
 
Uwe na adabu....

Wewe hujazaliwa na mama ?!!
Huna akili,kwani nimetukana chizi wewe,
Au ujaenda shule hujui kwamba wanawake wakiwa kwenye hali fulani sometimes wanakuwa na hasira au panic,etc
. Sisi ambao tunaishi na wake zaidi ya miaka 20 sasa tunajua tabia zao, we juma lokole utajulia wapi hayo!!
 
Acha kua na fikra za kitumwa wewe,hakuna nchi ambayo hua inataka kuingiliwa kwenye internal affairs zake.
Hao US si ndio wanatoa silaha zinazoua Wanawake na watoto huko Gaza? kwanini wasijirekebishe wao kwanza?

Sijaongea kwa ushabiki wa kisiasa coz mimi hua sibishani mambo ya kisiasa hapa bali nimeongelea uhalisia.
Hujaongea kishabiki ila umeongea pumba.Ni sawa na Mama una mtoto mgongoni unapishana na mlevi anakwambia mtoto anaanguka unaanza kumshambulia "nyamaza we mlevi" kwa mini usishughulikie kwanza usalama wa huyo mtoto ndio nawe umnange Mlevi kwa ulevi wake?.au Kuwa Muwazi tu Kuwa uliyembeba ni Mtoto wa kambo na unajua unachokifanya.
 
Wewe ndio huna hata akili hata za kuvukia Barabara tu,
Mfano wako ni wa kipumbavu sana,
Ungesoma comment yangu na kuielewa usingekuja kutapika haya matapishi yako,

Nilisema hakuna taifa linalotaka kuingiliwa internal affairs zake na mataifa ya nje,hao US silaha zao ndio zinaua wanawake na watoto kule Gaza,hivi wauaji wa halaiki wanapata wapi authority ya kushauri wengine? US wanafunzi waliandamana kupinga mauaji ya Gaza,wakapigwa na Polisi na wengine kukamatwa,halafu hao ndio wawashauri wengine kua waheshimu watu wanapoandamana?

Before you start pointing fingers,make sure your hands are clean,
Au na wewe umecomment tu ili usisahaulike kua umo humu JF?
 
Huna akili ya kuelewa mfano niliotoa hivyo Hata sishangai kurudi na ujinga ule ule kama awali. Mtoto mgongoni anahitaji msaada achana na hayo ya kuingiliwa kwanza, na tunatofautishaje kuingiliwa na kuulizwa/kushauriwa? Kikubwa ni je kweli Mtoto anaanguka? Au ni mpaka yule anayeruhusiwa kukuingilia atakapokuuliza ndio utageuka kurekebisha kanga iliyomfunga mtoto mgongoni?
 
Back
Top Bottom