Hardbody
JF-Expert Member
- Jan 25, 2017
- 4,139
- 4,640
Ha
Hana noleji ni mweupe kichwani atajuaje sasa?Anachofanya Rais wetu ni kama mtu mpenda urembo lakini hajui matumizi ya kioo. Kioo kina kupa tashwira halisi ya ulivyo na urekebishe wapi. Sasa ukiona kasoro zako katika kioo badala ya kurekebisha unakivunja eti kinakukosea huo sasa uitweje?l
Ndivyo wavionavyo vyama vya upinzani, badala ya kuvitumia kama kioo kuona uchafu wao wanaona ni maadui zao