Maneno ya Rais Samia yafika kwenye vyombo vya habari vya kimataifa

Maneno ya Rais Samia yafika kwenye vyombo vya habari vya kimataifa

Ha
Anachofanya Rais wetu ni kama mtu mpenda urembo lakini hajui matumizi ya kioo. Kioo kina kupa tashwira halisi ya ulivyo na urekebishe wapi. Sasa ukiona kasoro zako katika kioo badala ya kurekebisha unakivunja eti kinakukosea huo sasa uitweje?l
Ndivyo wavionavyo vyama vya upinzani, badala ya kuvitumia kama kioo kuona uchafu wao wanaona ni maadui zao
Hana noleji ni mweupe kichwani atajuaje sasa?
 
Kwani jomba ungekuwa wewe ndio Rais ungechukua hatua gani, tuanzie hapo
Ningetoa maelekezo Kwa polis ndani ya wiki Moja nisisikie utekaji Tena pamoja na uchunguzi wa waliotekwa na kuujulisha umma na hatua zilizochukuliwa Kwa walifanya huo uhalifu
 
Tusi gani nililotukana. Mimi sio mtoto wa mtaani kama wewe ambae huna

maadili. Chokoraa mkubwa wewe
Huna akili ya kutambua,hua unaropoka tu bila hata kujua unaropoka nini,sasa utakumbukaje matusi uliyotukana na akili ya kukumbuka huna?
 
Huna akili ya kutambua,hua unaropoka tu bila hata kujua unaropoka nini,sasa utakumbukaje matusi uliyotukana na akili ya kukumbuka huna?
Mbona usiseme hilo tusi nililo kutukana. Mimi sina rekodi ya kitukana ila

wewe watu wana shuhudia kuwa ndio tabia yako.
 
Ningetoa maelekezo Kwa polis ndani ya wiki Moja nisisikie utekaji Tena pamoja na uchunguzi wa waliotekwa na kuujulisha umma na hatua zilizochukuliwa Kwa walifanya huo uhalifu
Hiv unadhani ni uchunguzi rahisi kiasi hicho..kwani waliofanya matukio hayo unadhani hawana akili..unadhani wamekurupuka bila kuwa na plan..unadhani hawajui wakikamatwa kitakachowakuta...au unadhani Polisi ni watabiri na malaika wa kujua aliyefanya matukio...
 
Huyu maza lazima atakuwa anatumia kilevi flani yaani hotuba yake ile alitoa bonge la bokoo!
 
Back
Top Bottom