Maneno ya Rais Samia yafika kwenye vyombo vya habari vya kimataifa

Ingawa ni Firstpost, ambayo ni ya India, habari ni kwamba kauli zake zimeshavuka mipaka.


View: https://youtu.be/TmbbANwpujQ?si=cjkbHAfI-mvUpAY3
Vizuri sana. Nao ujumbe umewafikia na kuuelewa.
Hii ndio ilikuwa nia kuu ya Rais. Hotuba haikuwa SIRI, Hivyo wale watanzania wanaofikiri watayapata maendeleo toka Ubelgiji au Marekani kwa kukubali kila kitu nao ujumbe huu unawahusu na wanajidanganya. Fungueni macho yenu!
 
Ingawa ni Firstpost, ambayo ni ya India, habari ni kwamba kauli zake zimeshavuka mipaka.


View: https://youtu.be/TmbbANwpujQ?si=cjkbHAfI-mvUpAY3
Yaani inapofika muda wa kuua watu na kuvunja human rights za watu viongozi wa Africa wanapanua madomo eti "msitupangie" cha kufanya.

Yaani kwenye maendeleo mnawataka ila mkitaka kuanza kuua watu mnataka msiulizwe muachwe muue kwa hiyari?

Yaani haya maviongozi ni mapumbafu sana
 
Yaani wewe unaona ni sawa anapoamua kuanza kuua watu asiulizwe akiulizwa anasema "asiingiliwe" ili aue na kuvunja haki za binadamu kwa raha mustarehe?

Una kichaa?

Wakati wa kuleta maendeleo anawataka,ila akianza kuua asiulizwe
 
Wao enyewe USA wamewatesa sana raia wao waliokuwa wanaipinga Isreal. Mbona tulikaa kimya?
Kwahiyo mtoto wa jirani akifi...rwa kisha akaja kuf. Rwa mtoto wako ni sawa? Kwamba kwa sababu ulikaa kimnya kwa mtoto wa jirani ndio na kwako ukae kimnya?
 
Huna adabu...wewe ni makhluku tabu 🀣
 
Ujumbe muhimu kwenye hii habari, kama ilivyoripotiwa ni kuwa ni SAMIA GOVERNMENT IS RETURNING TO REPRESSIVE REGIME, ikiwa na maana, Samia utawala wake unaenda kwenye udikteta.

Samia atakuwa mwanamke wa pili Rais dikteta, baada ya yule wa Bangladesh.
 
😍
 
Ingawa ni Firstpost, ambayo ni ya India, habari ni kwamba kauli zake zimeshavuka mipaka.


View: https://youtu.be/TmbbANwpujQ?si=cjkbHAfI-mvUpAY3
Huyu mama anajiumbia/kujitengenezea mauti/kifo kabla ya wakati wake bure tu....

Ukiwa kiongozi wa nchi, kipaumbele chako cha kwanza ni lazima iwe kulinda utu na uhai watu ambao Mungu wa mbinguni amekuamini na kukuruhusu uwaongoze kwa niaba yake....

Kanuni ya Mungu ni kama kuna shida katikati ya watu wake aliokupa kuwaongoza, hupaswi kutumia mabavu na maguvu yako kuitatua bali ni kurudi kwake Mungu na kumuuliza, hapa Baba Mungu naendaje? Natokaje?

Lakini masikini huyu mama yeye, kaamua kumweka Mungu wa mbinguni mwenye nchi pembeni na kufuata mashauri na maelekezo ya shetani, mapepo (demons), wachawi na wasihiri, wasoma nyota na waganga wa kienyeji. Hawa ni takataka tu, hawajawahi kumshinda Mungu aliye hai na hawana lolote mbele yake. HAKIKA HUYU ATAKUFA kwa kuwa kachagua njia hii ya MAUTI....!!!!

Huyu hakika asipogundua makosa yake mapema na kurudia nyuma na kutubu, narudia tena kusema HAKIKA ATAKUFA KABLA YA WAKATI WAKE si muda mrefu kabla hata ya 2025...!!

Mnaofikiri mnampambania ili aendelee kutawala hadi 2025 na sijui 2030 mnajidanganya, hamyajui ya kesho. Ameshaharibu, keshaota ndevu na mapembe. Kainua kiti chake cha enzi eti ili awe juu ya Mungu muumba...

Atashushwa hadi chini sana na kufikiwa mazima...!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…