Maneno ya Rais Samia yafika kwenye vyombo vya habari vya kimataifa

Maneno ya Rais Samia yafika kwenye vyombo vya habari vya kimataifa

Wahi Gaza kawasaidie ndugu zako 🤣😂😂
Unaona sasa,umejificha ficha ila mwisho umeamua kujionyesha tu,ndio maana nilikwambia kua wewe ndiye uliyewaza udini,eti sijui umesomea matakataka gani huko,

Wewe kwa akili hizo itakua ulisomea ujinga tu.
 
Nimejionesha au nimekuweka hadharani akili zako za kutetea ujinga

wa watu kuuliwa nchini kwetu kisa Gaza. Gaza mgogoro wao unajulikana
Wewe una uhusianisha na kwetu kwa nini..
 
Hivi watu kama wewe wenye akili nzito kiasi hicho,hua mnaendeshaje familia zenu? Mimi naongelea mtu aliyejaa damu mikononi mwake kwa kuua wanawake na watoto kisha anajifanya kukemea mauaji ya sehemu nyingine,hapa tunajadili mada ya kuingilia internal affairs ya nchi zingine,kwa mauaji yanayofanywa na silaha za US basi ni aibu kwake eti kukemea mauaji sehemu zingine,ni unafiki.
Huu mfano wako hauna uhusiano.

Huko Gaza ni vita baina ya nchi na nchi, anasaidia silaha kwa nchi iliyoko vitani, hateki na kuua wananchi wake mwenyewe.

Umeelewa ukengefu, upofu na upotofu wa hiyo hoja yako?
 
Basi hapo mwenyewe unajiona umeweka bonge la point,halafu vilaza hua mna confidence sana,huoni hata aibu kuandika ujinga wa level hii,wewe hata mtu akueleweshe kwa mwaka mzima,huwezi kuelewa,tatizo lako lipo Kichwani,hivi ulienda Shule japo kudogo tu?
 
Nimejionesha au nimekuweka hadharani akili zako za kutetea ujinga

wa watu kuuliwa nchini kwetu kisa Gaza. Gaza mgogoro wao unajulikana
Wewe una uhusianisha na kwetu kwa nini..
Wewe ni punguani kweli,ndio maana unahangaika kuja na hizo ID zako mbili ila akili ni ile ile tu,jaribu kuficha upumbavu wako kwa kukaa kimya.
 
Acha kua na fikra za kitumwa wewe,hakuna nchi ambayo hua inataka kuingiliwa kwenye internal affairs zake.
Hao US si ndio wanatoa silaha zinazoua Wanawake na watoto huko Gaza? kwanini wasijirekebishe wao kwanza?

Sijaongea kwa ushabiki wa kisiasa coz mimi hua sibishani mambo ya kisiasa hapa bali nimeongelea uhalisia.
Wanalinda Amani 😜
 
Back
Top Bottom