Mange asutwa live

Status
Not open for further replies.

Attachments

  • 1405499425394.jpg
    48.5 KB · Views: 408
  • 1405499440015.jpg
    55.9 KB · Views: 381
Shosti weka snapnshoit kwa mange nione mivhambo ya kina baby mange na yosso wakimtetea boss wao.

Haya shosti hii ni kwa uchache tu
 

Attachments

  • 1405500685983.jpg
    65 KB · Views: 354
  • 1405500712858.jpg
    68.4 KB · Views: 331
  • 1405500734455.jpg
    65.8 KB · Views: 322
  • 1405500759454.jpg
    45.3 KB · Views: 325
  • 1405500784538.jpg
    53.4 KB · Views: 311
  • 1405500809615.jpg
    56.1 KB · Views: 308
  • 1405500841591.jpg
    48.2 KB · Views: 309
  • 1405500867077.jpg
    58 KB · Views: 299
He he chezea kimbelembele hadi blogu alikuwa hablogui.
Mara vuuup hollywoodshopaholics mie kiukweli nlijua yeye ni supplier na kweli alisema dealer wake sijui nini....
Aaaaaaa

Hahahahah kumbe hata email hajajibiwa.... alileta mashauzi kwenye kazi za watu

Halafu Unajua mange alipaswa awe makini.... anajua ana haterz pia ashachamba mashosti wake kibaaaaaooooooo vilevile bei zake anaua masoko ya wadada wa mujini (mpaka wengine wametangaza 50% off sijyi ndio mnaita discount) akiteleza lazima wamuharibie.....

Ila angalau leo tumepata umbea moya wa mjini. Story za wema zilishachosha
 
Shogangu mgumu kuelewa khaaaaa.
Division 5 inakuhusu!!!!!
Bwana ya u turn siyo hiii.

Lile gazeti la u turn ataeeza kuliposti lote humu? Maana lile ni sawa na daily news mbili
 
Haya sijui zitajipanga sawa
 

Attachments

  • 1405502169242.jpg
    73.3 KB · Views: 246
  • 1405502198238.jpg
    85.8 KB · Views: 253
  • 1405502224190.jpg
    65.2 KB · Views: 238
Shogangu mgumu kuelewa khaaaaa.
Division 5 inakuhusu!!!!!
Bwana ya u turn siyo hiii.

Hahahaaa, we nawe...kule kwenye blog karudia hayo hayo...!
 
Mhhhhhhh kweli kutaka kuishi mbele bila kazi ni nouma..
 
Same to ig alivyopost.
Hana jipya.
Ndo keshapangwa hivyo na kapangika.
Ila huyu na mdogo wake Wema sawasawa wote mashauzi bila mbinu.

Alianza kwa kelele nyingi mno

Angefanya kama suprize mambo yakishakamilika
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…