Huyu mwanamke ni mpuuzi na tangu ndoa yake imekuwa na mushkeli ndio kawa mpuuzi zaidi, huwezi tukana watu wako ambao walikuwa marafiki hata kama mmekwaruana, huwezi tukana watu wazima hata kama huna unachopata toka kwao, huwezi anika ugonjwa wa mtu yoyote hata kama wewe ni daktari bingwa, huwezi kuropoka baya kwa kiongozi hadharani ukitafuta kuungwa mkono na watu wastaarabu. Anadanganywa na misukule, ndio misukule kwa kuwa wanaomsaport wote wanatumia ID FAKE kwenye blogg yake, na wameshaanza kuwa na hofu kwa kuwa laptop yake iko polisi wana hoji hawatajulikana? Sasa ndio ajue hakuna atake muunga mkono popote atakapo kuwa hata wakimkuta mabwepande watamkimbia only mtu mwenye uelewa finyu ndio ataenda kumshika mkono, ameharibu mno ameaibisha familia za watu mno, ameharibu hata muonekano wa Dr. mwele, kwa kuwa mama wa watu kasasambuliwa only because walitaka kumuumiza mange kama yy alivyoumiza watu, akae alee watoto wake. Kweli Frank Gonga aliona mbali hafai kuwa mama wa famili kwa familia za kiafrika, abaki na hao wazungu ndio wamezoea watu wapayukaji kwa kigezo cha freedom of speech.