Mange Kimambi ahojiwa na Jeshi la Polisi jijini Dar

Mliokuwa mnamwita Mange mwanaharakati naona vimewashuka shuu!
It was personal, it was never about war against drugs.
 
Yaani anapenda chokochoko....ili mradi shamimu aumie.Kaiandika kishabiki huyo.

Halafu alivyoiandika utafikiri yy hajawahi achwa, Frank alikiambia huu upuuzi wake, halafu anajidai anapambana na wauza sembe, mbona asi muattack rais Kikwete aliesema majina ya wauza sembe anayo? Afungue huo mdomo wake basi amshurutishe rais ayatoe hayo majina, anaonea dagaa tu kwa ushari wake na shamimu.
 
Mliokuwa mnamwita Mange mwanaharakati naona vimewashuka shuu!
It was personal, it was never about war against drugs.

Na Abdul angekuwa hajamuoa shamimu wala asinge andamwa na huyu mwanamke yote kupeleka maumivu kwa shamimu.
 
Anakera kama nini......huu upuuzi anaoufanya ipo siku utafika mwisho
 



Hata amuandike vibaya vp hampati shamim kwa lolote, kuanzia ukucha mpk nywele mxiuuu,
 
Hana lolote wauza unga kashindwa Kikwete ataweza yeye?? anatumia gear ya kuingia bungeni

Hapa ndo utajua akili za watanzania!! Hili ni jambo la kujivunia?? Kushindwa kwa Rais kudhibiti madawa ya kulevya ni jambo la ushindi!!.. Ni jambo la kukatisha tamaa wengine wenye uthubutu wa kuliongelea?? Yani sisi watanzania wacha tu tuwe mazuzu, waendelee tu kutuburuta kwa akili hizi.
 
Hapo.kwa wema hapo......

Ingekuwa wanashtakiwa kule jukwaa la celebrity robo tatu ya memba o'bey polishi poshti.....

Tukija kwa wanasiasa... yelewiiii jf ingefungwa kitamboooooo

Yani hapo ndo ninaposhangaa. Mbona haya mnayomsema nayo humu ndo watu wanayafanya tena kwa kiwango cha juu yeye haingii hata robo. Kutukana watu, personal lives za watu zote zinaanikwaga humu.. Viongozi, hao sijui bongo movies -The so called celebrities. Acheni chuki na unafki jamani.
 

Asante mkuu. Well said
 

Exactly kaka
 
jimama26 vipi mbona umekuja kwa kasi?kila mtu si ana uhuru wa kutoa maoni yake bila kuvunja sheria.
 
Last edited by a moderator:
Hata amuandike vibaya vp hampati shamim kwa lolote, kuanzia ukucha mpk nywele mxiuuu,

Machungu ya kujikata kabla hajakatwa na CCM.
Chezea post divorce trauma!
Plus pre menopause syndrome.
 
Eti wanasema hata kule tunawaongelea watu..

Hakuna asiyeongelewa bhana.....ila tu kuwe na mipaka yakuongelea mtu.Huyu kazidi sasa na wamebaki kumlaumu Wema eti hajashow love sakata zima.Ha ha ha kila mtu atabeba mzigo wake mwenyewe......atanyooka
 
Ndugu wana jamvi..
Yule msichana anae penda kujitafutia umaarufu kupitia migongo ya watu kwa kuwatukana viongozi wa serekali,watia nia na watu mashuhuri amejikuta kwenye hali isiyo ya kawaida baada kuwatukana watoto wa mjini wenzake na kujikuta ana nyea ndoo week nzima.

Hivi sasa anataka kukimbia nchi baada kuwa na kesi hiyo ya cyber law, ilio muweka ndani week, kisingizio ni mtoto anaumwa na anasema watu wanataka kumtoa roho, akisema swala hilo lote lina fadhiliwa na January Makamba, anasema January sio kiongozi ni ditecta na anajipendekeza kwa Magufuli ili kupata madaraka kwa awamu ya 5 endapo Magufuli atashinda.

Week iliyopita kwenye blog ya aliandika IDDI AZZAN NI MUUZA UNGA, RIDHIWANI NI MWIZI na kwa LOWASSA ndo sehemu kubwa kwake kumtukana kama vile kamzaa, Lowassa fisadi, Lowassa ana UKIMWI, UKAWA ni viongozi wanao taka kuuingiza Tanzania kwenye ubepari, Ukawa kumchukua lowassa ni kama kuingiza cancer kwenye mwili.
 
mkuu umesema alinyea debe wiki nzima ktk kituo gani cha polisi na ni kwa kosa gani litakalomuweka wiki nzima. Mi siamini sheria inatoa haki mtu kudhaminiwa na anatakiwa akae masaa 24 polisi sasa wiki duuu??????
 
Yule mwanamke kazidi, sijui kwanini hao wanaotukanwa mmojawapo asijilotee 'kumfanyizia' kimyakimya maana hakuna namna nyingine tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…