Mange Kimambi ameshindikana kudhibitiwa kabisa?

Story zile zile kumhusu mange hakuna mpya wanazosema [emoji38]wanateseka kweli sio masihara
Imebidi nicheke baada ya kuona anaiongelea tena akidhani ni kitu kipya,amuulize Le Mutuz alikuja na hiyo story na jinsi walivyopelekana Instagram mpaka Le Mutuz akanyoosha mikono juu [emoji3][emoji3]
 
Acc imerudii 😄😄😄

sijui mtaambia nini watu🤸🏼‍♀️🤸🏼‍♀️
 
Kosa
 
Faragha ya watu inafikaje mtandaoni kama sio kujitoelewa kwa wahusika?
 
Kama anaandika ukweli Hana kosa. Wanao and kwa anapaswa kujilekebisha. Wewe ni ushoga au msagaji halafu Habari zako za faraga zikawekwa hadharani mwenye kosa sio aliye ziweka hadharani mwenye kosa ni wewe uliye tenda jambo ambalo halikubaliki kwenye jamii.
 
Unataka kusema kuwa habari zilizopo ni za kweli
 
Umepigaje hapo.....heheh
 
Faragha maana yake nini?
Yawezekana hujui maana ya faragha au una tafsiri yako kuhusu faragha, hebu tupe maana yako.
 
Sigara nu hatari kwa afya yako ila kampuni za sigara kila sku zinatengenezq kuuza na kupata faida kwa kuuza sigara japo kuna watu wanakufa familia zinabaki yatima nguvu kaz ya taifa inapungua kutokana na matumizi ya sigara ila serikal haiwez kuzuia wala kuzikataza
Mange na application yake ni km kampuni za sigara ameleta mazara meng kwa jamii ila huwezi mfungia sabu iyo ni biashara na biashara sio lazima ikupendeze ww mtumiaji
Mange yupo sana na wala hamna chakumfanya wala hamna pakumpeleka America sio china kwamba nmaweza omba serikal ya Marekan imrudishe wakat ni asylum seeker lakin pia anafamilia
Mange angekua anatukana viongozi wa chadema mngefurahia sana ila kwakua kawagusa bas chawa nmataka ruka nae
 
Mimi sio mfuatiaji wa habari za mange na wala sjui chochote juu yake ila nawahakikishia tu yule kimbau mbau yupo sana na ataendelea kuepo na atawaendelea kuwatoa nishai kila sku na vile ukizingatia wabongo ni maskin atatumia pesa zake kupata taarifa yyte ile aitakayo na ataipata
 

siku utakayoona clip ya mtoto wako wake au ndugu yako wa kike pia urudi hapa kuja kusema kama haya unayoyasema
 
ATAKUFA,, samahani kwa watoto wake ila uyo mumama anaua watu wengi sana.
 
Faragha maana yake nini?
Yawezekana hujui maana ya faragha au una tafsiri yako kuhusu faragha, hebu tupe maana yako.
Faragha ni mambo ya mtu binafusi. Ambayo mtu hufanya yeye mwenyewe kwa siri au na watu anao wa amini kuto ya towa hadharani. Kwa mfano mtu na mke wake wanavyo fanya chumbani ni siri Yao wawili.
 
Sijawahi kuona Kosa la Mange....!
Kama wenye Video chafu mlishindwa kutunza Video zenu chafu, yeye kuziachia kosa lake ni lipi...!

Mimi naona toka aanze kufanya hivyo inasaidia wengine kucheza kwa step.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…