Mange Kimambi ameshindikana kudhibitiwa kabisa?

Hapana hakikunuka, maana hakukuwa na ukweli wowote ule.
Ila jamaa sasa aliiona sura halisi ya kitu kinaitwa DOLA.
Choose your enemies wisely.......
aah ok.. ofcoz sio kila mtu unamfanyia ujingaa tuu
 
Ila kweli, Mange anaumiza hisia na haiba za watu lol.
 
Watu walkinyanduana faragha kuna tatizo gani?
Tatizo ni kujirekodi au kurekodiwa na ikasambazwa makusudi. Huu ni ushamba
Sasa watu wapo faragha huyo anayerokodi anatokea wapi kama sio mmoja wao ni malaya?
Yaani ana lengo lake binafsi.
Ndio maana nasema watu wasinyanduane na watu ambao akili zao zipo chini ya kalio.
Unamrekodi mpenzi wako ili iweje?
Uzwazwa tu wacha Mange aandelee kurusha na kula buku za wapenda umbea.
 
Sahivi hana kazi, ndo App yake inampa heka heka.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
kasema matatizo yetu na serikali hayamuhusuu πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
 
Mbona kafubaa?

Yule awe na hela asiwatambishie watu?
πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€uandhani yeye falaa awatambishie watu wapate ushahidi wa kumsue
 
Afikishe Mara ngapi?Ana pesa mange Sasa hivi vibaya mnoo
 
Connection zinaondoa stress. Acheni kujichukua video na App ya Mange itakufa yenyewe tu. Ukikata mirija ya connection baaaasi. Dawa ni kutojirecord so Mange atakosa raw marterials na kiwanda chake kitakufa.
Sahihi kabisaaa umemaliza
Tuache kujirikodii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…