Mange Kimambi ameshindikana kudhibitiwa kabisa?

Mange Kimambi ameshindikana kudhibitiwa kabisa?

Hivi kama serikali imeweza kufungia app isionekane mpaka vpn, serikali hiyo hiyo imeshindwaje kudhibiti wananchi wasiweze kulipia hiyo app? Kwa misingi ya kudhibiti mfumo wa malipo
Serikali haina uwezo huo, Google is powerful na wana pesa kuliko continent lote la Africa, kama umekuwa violated na hiyo app unaweza kulalamika moja kwa moja Google
 
Irene mwenyewe hajali wala nini? Kaposti insta na anajibu comments vizuri tu kama hakuna cha maana kilichotokea.

Ukimtania kuhusu zile video anacheka kwa emoji.

Sent using Jamii Forums mobile app

Ndio inavyotakiwa yule fala kweliii ambae hana viungo vya uzazi nani?

Uwoya walaa usiwaze yanapitaga ila uyo kichwa resi atagusa pasipogusika.
 
Ndio inavyotakiwa yule fala kweliii ambae hana viungo vya uzazi nani?

Uwoya walaa usiwaze yanapitaga ila uyo kichwa resi atagusa pasipogusika.
Halafu akiwapost kwenye page yake siku za birthday mnamuona wa maana?
 
kama ilishindwa kufungiwa account ya kigogo twitter iliyokuwa tishio kwa usalama wa nchi itakuwa hii ya mange as long as playstore wanapiga pesa kupitia iyo account amna wa kuifunga watu uko marekani mnapopasema wamerusha mpaka video za utupu za mtoto wa Rais bidden akiwa hotelini na kahaba tena uchi itakuwa ya uyu Irine ambaye jina lake hata boda tu alivuki acheni masihala na kuhusu kumdhuru akiwa kwenye ardhi ya USA icho kitu msahau utatafutwa kwenye kila pembe ya hii dunia .

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaotamani kuona maiti ya Mange hawana pesa ni wapiga kelele tu.

Kuna Russian professional killers wanakusafiria na unauwawa kwa sumu ya Pollonium na mtu anaondoka Marekami akikuacha mzima wa afya kabla lungs hazijaanza kuoza.

Tena Mange anavyopenda wazungu hapo hachomoki anajuwa kalipata danga Oligarchy of London kumbe ndio kaburi lake
 
Serikali haina uwezo huo, Google is powerful na wana pesa kuliko continent lote la Africa, kama umekuwa violated na hiyo app unaweza kulalamika moja kwa moja Google
Sizungumzii App nazumgumzia malipo wananchi wa tanzania wanayolipa kwenye App kutumia simu.
Serikali idhibiti malipo kutoka voda, airtel ... kwenda kwenye App. Atabaki na wateja wachache walio nje ya nchi na waliopo ndani wanaolipa kwa kadi za benki. Akishakosa hela za wapenda umbea wengi ambao wanalipa kwa simu atafunga Apo.

Serikali ilaumiwe.
 
Irene mwenyewe hajali wala nini? Kaposti insta na anajibu comments vizuri tu kama hakuna cha maana kilichotokea.

Ukimtania kuhusu zile video anacheka kwa emoji.

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji38][emoji16]hapo Sasa wanawashwawashwa wengine kumtetea mwenyewe Wala hajali[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38],Tena kachukulia poa tu!
 
Na sisi mashabiki wa Mange Kimambi na Kigogo 2014 tunaruhusiwa kuandika kitu hapa? [emoji848][emoji848]
 
Hivi hakuna part two wajameni eeh?
Huku mnakoelekea naona mnanitamanisha nikadownload hiyo kitu nilipie nadhani kuna vigogo tutaona nyuchi zao na zilivyo na sura mbaya
Vigogo harushi alikua anayo ya mbunge wa temeke Dorothy kilave Ila hakurusha alisema anaogopa kujadiliwa bungeni[emoji16][emoji853]
 
Wanaotamani kuona maiti ya Mange hawana pesa ni wapiga kelele tu.

Kuna Russian professional killers wanakusafiria na unauwawa kwa sumu ya Pollonium na mtu anaondoka Marekami akikuacha mzima wa afya kabla lungs hazijaanza kuoza.

Tena Mange anavyopenda wazungu hapo hachomoki anajuwa kalipata danga Oligarchy of London kumbe ndio kaburi lake
Hawana akili na hawana Pesa pia wapo wapo tu Kama kina siye!
 
Vigogo harushi alikua anayo ya mbunge wa temeke Dorothy kilave Ila hakurusha alisema anaogopa kujadiliwa bungeni[emoji16][emoji853]
Aah kama ndio hivyo basi mimi nilikuwa nataka kuziona nyuchi za waheshimiwa tu, hao wakina uwoya hawana ishu kabisa..

Dorothy huyo ndo yule mwenye chura na anafuga nywele ndefu?
 
kwa sasa watu wanachekelea lakini hiyo APP peke yake ipe miezi mitatu utasikia kesi nyingi sana za watu kuleweshwa na kulawitiwa na kurekodiwa ili mange apate contents , akijitetetea anasema watu wanajirekodi wenyewe
 
Sizungumzii App nazumgumzia malipo wananchi wa tanzania wanayolipa kwenye App kutumia simu.
Serikali idhibiti malipo kutoka voda, airtel ... kwenda kwenye App. Atabaki na wateja wachache walio nje ya nchi na waliopo ndani wanaolipa kwa kadi za benki. Akishakosa hela za wapenda umbea wengi ambao wanalipa kwa simu atafunga Apo.

Serikali ilaumiwe.
Serikali ilaumiwe kwa lipi Sasa?jamani [emoji16][emoji16][emoji38]kaahhh!!!kwenye Ila application kuna vitu vingine mbona vingi vzr vya kujifunza sio lazima ukaangalie uchi wa Uwoya au luludiva,Kuna habari za michezo burdan,upishi n.k

Hao waangalia uchi ndo wakulaumiwa
 
Aah kama ndio hivyo basi mimi nilikuwa nataka kuziona nyuchi za waheshimiwa tu, hao wakina uwoya hawana ishu kabisa..

Dorothy huyo ndo yule mwenye chura na anafuga nywele ndefu?
Mbunge wa tmk ndio![emoji16][emoji16]za waheshimiwa hazipo anaogopa mkono wa chuma,Ana akili yake pia nyingi tuuu
 
Acha ushamba, ana green card huyo, ana rights zote kasoro kupiga kura na za kudeal na siasa, analindwa na sheria kama mmarekani.
Greencard hiyo kitu nilishapitia zamani sana, jinga wewe!

Mwenye Greencard hana haki sawa na Raia wa Marekani. Mwenye Greencard akifanya kosa kubwa aka felony, anaweza kunyang'anywa na kuwa deported kurudi nchi aliyotokea. Achilia mbali ndani ya Marekani kuna mambo mengi mwenye Greencard hana haki sawa kisheria ukilinganisha na Raia.
 
Back
Top Bottom