Mange Kimambi ameshindikana kudhibitiwa kabisa?

Haswaaaaaaah!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bila umbea na udaku, maisha yangu yapo taabani.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji16][emoji16]jamani..Ila haya maisha haya daahhh!!!Mungu atusaidie yasitokee kwetu maana yakitokea paap..
Utajua hujui!!![emoji38][emoji38][emoji16][emoji38][emoji38]
 
Baba yake alibakwa au ulikuwa mchezo wake,?

Sent from my SM-M115F using JamiiForums mobile app
Alibakwa alikua anatoka na mke wa mtu ,akaliwa kiboka wakamchukha video!wakapeleke VHS home kwao kuangalia wanakuta baba analiwa ndo akajipiga risasi mzee Kimbambi,since then she is bitter person
Mange Hana Cha kupoteza ktk hii dunia ndo maana anafanya yote
Frank Mgoyo kamnyang'anya mtoto,ndugu zake haelewani nao,Lance wameachana kabaki na vibabu vya kizungu vinamuweka mjini
Mashoga wake woote wa mjini kagombana nao,ashawahi fumwa anamtumia email shoga ake ya kumsifia mchepuko kua anamla vzr nusu ampe nyuma

Kingine mmesahau nikikumbuka ntaandika
Ila ni mtata ,mkorofi na hajali kitu
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji16][emoji16]jamani..Ila haya maisha haya daahhh!!!Mungu atusaidie yasitokee kwetu maana yakitokea paap..
Utajua hujui!!![emoji38][emoji38][emoji16][emoji38][emoji38]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kabisaaa yaan.
 
Simtetei Mange miye brooh...Tena km Kuna watu walokua wanampinga mange miye mmojawapo pia
Najua hana shoga Wala rafiki kt hii dunia,ninachosema tusilaumu kidonda tulaumu tulipojikwaa,tunafeli kwenye malezi hata Mimi nawez akua victim sio wa mange tu hata kwa mwingine pia
Muhimu tuwe Makini Sana Sana Tena Sana tusijisahau wakwe kwa waume

Yakitokea baasi Kama kufa tutakufa a nachosema tuwe Makini Leo tutampiga Vita Ila haitapita mwezi unashangaa manyuchi tayari washarushwa mitandaoni..
We need to change for the good reason...
Sawasawa
 
Ujinga unalipa sana kumbe anaingiza zaidi ya milion 100 kwa mwezi.ina maana akitoa costs za kuendesha app pamoja na wafanyakazi ni kuwa anaondoka na zaidi ya milion 70 kibindoni.. ...nani mwenye jeuri ya kuacha kazi ya namna hii tena bila jasho kwa nasaha tu za watu wa insta na jamiifirum.nchi ngumu sana
Ila huyu dada anachofanya sio poa anatuharibia vijana na wake zetu kwa lazima.
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Sawa dada wewe mwenye malezi mema na vyakula Bora nakuona unavoshusha points hapa!

Ila waambie waache kujirikodi wanataka wenyewe sio kwa kesi ya Irene na kwa kesi za wengine wanaofanya wenyewe pia kwa ridhaa zao,haijalishi Nani anasambaza iwe mange au wale wa kujificha inshort tuache kujirikodi picha za uchi na sura kuwatimua wanaume au kuhifadhi kwenye simu...

Mange atafungiwa lakini hizo picha hazitaacha kutolewa as long as kizazi Cha Sasa ni Cha hovyo na wengi hawana maadili ,hawana utu Wala hofu na Mungu.

Tuwafundishe watoto wetu utu na hofu kwa Mungu wao kwanza ndo tutatibu tatizo.

Hakuna Cha mental illness Wala nini[emoji38][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]kama kuumwa twauma sote mi na weye dada...shida ni kua nimesema ukweli ndo maana tuache kujirikodi dunia imebadilika haijalishi kavujisha mange au mwanaume wote wakosefu
Mwanzoni tulikua tunachukulia Raha tu tukiona nyuchi za watu mtandaoni Sasa mange nae ndo ameona kapata pakupatia Pesa hapo ndo tunashtuka mda huu,tulipaswa tuchukue hatua before mange hajaendeleza huu ujinga.
Pole dada Kama mmekukwaza

Usinitukane tu shoga anguu[emoji1493][emoji125][emoji125][emoji1493][emoji1493][emoji1493][emoji1493][emoji1493]
achana nae huyo fal* ana personal issue na mange inaonekana, na hapa watanzania wenye makasiriko unadhani wanakasirikia maadili? walaa, hapo kinachowauma wengi ni vile mange sasa anaingiza pesa nyingi ambazo wao inawezekana maisha yao yote hata walipwe pensheni hazitafika. Hujui wivu wa wabongo[emoji28]
 
Ila baadhi ya watanzania ni wanafki sana (wengi) nimesoma baadhi ya comment kuna watu wako sooo bitter ni kama wana personal issue na mange sasa wanataka kila mtu amchukie, wanakazi ya kuonesha ubaya wa mange tu utadhani wao ni angels. Folks, hakuna mtu anaweza pendwa au kuchukiwa na kila mtu, me nampenda Mange kwa sababu zifuatazo

Watanzania wengi wanajifanya wana maadiri lakini ni wachafu sana, then kuna mtu akacomment ati hatujafikia kua kama marekani, unadhani hizo nchi zisizojari maadiri waliamka tu wakajikuta? hapana walianza kidogo kidogo. Leo hii wengi mnajua vitu vingi sana sababu ya Mange (hapa wale wakujifanya wajuaji watajifanya hawamfatiliagi mange wanafki wakubwa[emoji57])

Mange ameonesha mambo mengi kuanzia kwenye siasa hadi kijamii ikiwemo huo udaku, wengi hapa mnamfatilia ila hapa mnajifanya mmeumia kama huyo mtoa mada, acheni unafki acheni unafki, mnamfatilia na ndio sababu kila mkiona mada ya kuhusu Mange mnajaa kuchungulia.

Na hapa kinachowauma wengi ni kuona sasa Mange anaingiza pesa nyingi kirahisi, wamekazania afungiwe App, mala afungiwe malipo bla bla bla wanajifanya ati atadhibitiwa kumbe shida yao asipate hizo pesa, acheni wivu, kuna watu hawajui hata kama kuna hiyo App au Mange sababu hawafatilii hayo mambo, ila nyie mnafatilia ndio mana mnajua, hakuna alielazimishwa kumfollow au kuwa na hiyo App ila sababu na nyie ni wambea na mnapenda kumfatilia ndio mana mnahajua, acheni unafki na wivu.

Wengine hapa ambao wako bitter ni wale wanaojijua either wanavideo zao walitumiana na michepuko au wanamauchafu yao walofanya na wanawasiwasi yasijefika huko, au huwa wanafanya hayo mambo ya kujirecord, wanajifanya ooh siku ukute ya mzazi, hakuna cha mzazi wala nini semeni tu siku mkute zenu. Muache kujirecord, alafu kwa nini ujirecord unafanya upuuzi? huoni kama wewe ni mjinga tena fala kabisa? Acheni kuleta makasiriko kwa Mange jirekebisheni wenyewe.

Wengine hapa mnakazi ya kusema Mange ni bipolar mala anamatatizo ya akili mnatunga hadi tu story twa uongo ili mradi unataka kumuua nyani hivyo unamchagulia jina baya. Mange hana matatizo yoyote ya akili, ni character yake tu kama kila mtu alivo na yake, pengine nyie ndio bipolar hamna akili msiojua kuchanganua mambo, mwenzenu anaona potential in every situation na yuko real siku zote. IQ ya wa Tz wengi ni ndogo sana na wanawaza kijamaa sana ndio maana hata maendeleo yanachelewa kwa poor thinking capacity na wivu.

Nina mengi ila wacha niishie hapa kwa sasa, ila acheni unafki wote mnajifanya kumchukia na kumponda Mange while mnamfatilia, wengine hapa wanamuelezea wakiulizwa kama wanamfatilia insta au wana App wanajifanya eti hapana[emoji16] , duh haya bwana mfatilieni kimya kimya, najua 99% ya wote hapa mnangoja arudi muone atapost nini.
 
Naona Mange umekuja kujitetea, lol
Sio kwa Gazeti hili aisee,
Hakuna Mtu Mwenye Personal issues ila linapokuja suala la kuumiza jamii kwa namna moja ama nyingine ni lazima likemewe na huyo Mtu kuwajibishwa,

Haya turudi sasa kwako Mnyakyusa Ipinda, kwa kua umezoea kuangalia Nyuchi za wenzio ndio maana umeguswa kuona Wengi humu wakikemea huo ujinga,

Dada kama huwezi kulala bila kuona uchi jirekodi videos zako mbali mbali kisha uwe unajitazama lakini kwa unachotetea hapa kinaonesha kabisa jinsi ulivyokua una Matatizo ya akili, hakuna Mtu mwenye Akili timamu akapenda kuangalia Nyuchi za Watu,

Wewe na Mange na genge lenu lote mnatakiwa mpewe Tiba haraka sana.
Ninyi ni Bipolars.
 
Ila baadhi ya watanzania ni wanafki sana (wengi) nimesoma baadhi ya comment kuna watu wako sooo bitter ni kama wana personal issue na mange sasa wanataka kila mtu amchukie, wanakazi ya kuonesha ubaya wa mange tu utadhani wao ni angels. Folks, hakuna mtu anaweza pendwa au kuchukiwa na kila mtu, me nampenda Mange kwa sababu zifuatazo

Watanzania wengi wanajifanya wana maadiri lakini ni wachafu sana, then kuna mtu akacomment ati hatujafikia kua kama marekani, unadhani hizo nchi zisizojari maadiri waliamka tu wakajikuta? hapana walianza kidogo kidogo. Leo hii wengi mnajua vitu vingi sana sababu ya Mange (hapa wale wakujifanya wajuaji watajifanya hawamfatiliagi mange wanafki wakubwa[emoji57])

Mange ameonesha mambo mengi kuanzia kwenye siasa hadi kijamii ikiwemo huo udaku, wengi hapa mnamfatilia ila hapa mnajifanya mmeumia kama huyo mtoa mada, acheni unafki acheni unafki, mnamfatilia na ndio sababu kila mkiona mada ya kuhusu Mange mnajaa kuchungulia.

Na hapa kinachowauma wengi ni kuona sasa Mange anaingiza pesa nyingi kirahisi, wamekazania afungiwe App, mala afungiwe malipo bla bla bla wanajifanya ati atadhibitiwa kumbe shida yao asipate hizo pesa, acheni wivu, kuna watu hawajui hata kama kuna hiyo App au Mange sababu hawafatilii hayo mambo, ila nyie mnafatilia ndio mana mnajua, hakuna alielazimishwa kumfollow au kuwa na hiyo App ila sababu na nyie ni wambea na mnapenda kumfatilia ndio mana mnahajua, acheni unafki na wivu.

Wengine hapa ambao wako bitter ni wale wanaojijua either wanavideo zao walitumiana na michepuko au wanamauchafu yao walofanya na wanawasiwasi yasijefika huko, au huwa wanafanya hayo mambo ya kujirecord, wanajifanya ooh siku ukute ya mzazi, hakuna cha mzazi wala nini semeni tu siku mkute zenu. Muache kujirecord, alafu kwa nini ujirecord unafanya upuuzi? huoni kama wewe ni mjinga tena fala kabisa? Acheni kuleta makasiriko kwa Mange jirekebisheni wenyewe.

Wengine hapa mnakazi ya kusema Mange ni bipolar mala anamatatizo ya akili mnatunga hadi tu story twa uongo ili mradi unataka kumuua nyani hivyo unamchagulia jina baya. Mange hana matatizo yoyote ya akili, ni character yake tu kama kila mtu alivo na yake, pengine nyie ndio bipolar hamna akili msiojua kuchanganua mambo, mwenzenu anaona potential in every situation na yuko real siku zote. IQ ya wa Tz wengi ni ndogo sana na wanawaza kijamaa sana ndio maana hata maendeleo yanachelewa kwa poor thinking capacity na wivu.

Nina mengi ila wacha niishie hapa kwa sasa, ila acheni unafki wote mnajifanya kumchukia na kumponda Mange while mnamfatilia, wengine hapa wanamuelezea wakiulizwa kama wanamfatilia insta au wana App wanajifanya eti hapana[emoji16] , duh haya bwana mfatilieni kimya kimya, najua 99% ya wote hapa mnangoja arudi muone atapost nini.
Huu muandiko WA Mange

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
achana nae huyo fal* ana personal issue na mange inaonekana, na hapa watanzania wenye makasiriko unadhani wanakasirikia maadili? walaa, hapo kinachowauma wengi ni vile mange sasa anaingiza pesa nyingi ambazo wao inawezekana maisha yao yote hata walipwe pensheni hazitafika. Hujui wivu wa wabongo[emoji28]
Hii ni kweli ....eti maadili

Kinachowauma ni hizo hela anazoingiza, hakuna kingine
 
Huu ni ukweli mchungu[emoji16][emoji16][emoji16]
 
I agree...
Its the cash that flows into her Accounts.

But then, wanawake tuzijue thamani zetu jamani. Thamani zetuuu... nimejifunza tusiwe vipofu wa akili. Tusiwe vilema wa hisia zetu wenyewe. Tupende kwa akili. Tujifunze kukataa jambo tunaloona kabisa litatukosea heshime either ni leo ama kesho. Uwoya mwenyewe looks so unbothered ilihali watu wanampigania balaa halaf aliyemdhalilisha yuko nae beneath. Maybe kuna kitu behind the scenes anajilinda. Maybe kuna makubwa zaidi. Pia hizi lifestyle za wadada wa mjini jamani zinatuharibia sana mabinti wadogo. . Watafanya chochote kile in the name of money

Best solution ya kumkomesha Mange ni sisi wenyewe kujipenda. Tusikubali kurekodiwa. Tukisema tunablock njiaa hii ya malipo still atapata mbinu ingine. Ulimwengu wa sasa teknolojia iko juu sana. App imefungiwa muda sana lkn kupitia VPN bado inaoperate. Sasa hapa amekomoleka? Na tena isitoshe kwa akili mbovu za Mange anaweza hata fanya app bure bila malipo kukomoa zaidi. Na mbaya zaidi ameshasema ana mavideo hajayaachia aliyaweka vault kuwasitiri kwakua ni vigogo. Naona anapambana kwanza ili ikikaa vzr aachilie. Inasikitisha hadi wamama wamechachuka balaa. Tena umri wa wajukuu kbs.
Tujipende kwanza sisi wenyewe
 
Nimekuvutia picha ulivyokua serious unaandika huu upuuzi, Mtu akipita anakuona upo busy mwenyewe anasema huenda unajibu email ya Donor flani au unatuma report flani kumbe unamtetea Mange, [emoji2]

Kama bado hujaona tofauti ya Mange akipost hizo videos na hao waliokua wanavujisha kimachale, bado una ufinyu sana wa kuelewa na kuchanganua mambo, sio makosa yako lakini ni malezi duni na vyakula duni tangu utotoni,

Mtu anayesheherekea kuona wengine wanadhalilishwa, wanatukanwa, wanafedheheshwa, ni lazima ana kasoro kubwa kwenye akili yake pale pale tunarudi kwenye Mental Health inapozalika Mental Disorder, bado hamjachelewa tafuteni tiba haraka madhara hua ni makubwa hapo baadae.
Huu ni ushamba mwingine . Kwanini una mi attack mtu na sio ku attack wazo lake?. Yaani watu wengi ambao hawana emotional control huwa mnapenda sana hii kitu . Kama hukubaliani na wazo la mtu , pinga wazo lake na sio kumpiga mtu na maneno eti alikosa lishe bora utotoni. After all aliye type apo humjui in person na ingewezekana mkaonana unakuta kakuzidi kila kitu. Tuache izo swaga za kuwa keybord worriers.

Maturity is when we start to understand small things and not when we start to speak big things
 
achana nae huyo fal* ana personal issue na mange inaonekana, na hapa watanzania wenye makasiriko unadhani wanakasirikia maadili? walaa, hapo kinachowauma wengi ni vile mange sasa anaingiza pesa nyingi ambazo wao inawezekana maisha yao yote hata walipwe pensheni hazitafika. Hujui wivu wa wabongo[emoji28]
That's bitter truth ,tukubali tukatae ni personal issues hakunaa lolote lile

Tujifunze kubadilika sisi ,tujiheshimu,tulinde maadli yetu ya kitanzania
Tuangalie utu na miiko yetu ikoje
Mke wa mwijaku alivujisha utupu wa menina Ila hajafungwa na bado maisha yanaendelea na sijaskia watu Kama walimpopoa mawe kiasi hichooo Tena hao waanafiki nilidhani wataandama au kuongea mwijaku ashtakiwa Tena au menina akate rufaa hatujaona hyo kitu

Watanzani tuache unafiki na tukiendelea na huu upuuzi tusubiri mapicha ya uchi ya vigogo wetu na hii ni alert tuwafunze wanetu na sisi pia tujiheshimu
Starehe zisizo na mpangilio tupunguze,tupunguze dhambi maana zimezidi
 
Huwa najiuliza wanaofuata hizo habari za udaku au kuona utupu wa wengine Wana akili Gani sipatagi jibu. Wamfungie milele tu huyu mama akili yake haifai
 
Ila baadhi ya watanzania ni wanafki sana (wengi) nimesoma baadhi ya comment kuna watu wako sooo bitter ni kama wana personal issue na mange sasa wanataka kila mtu amchukie, wanakazi ya kuonesha ubaya wa mange tu utadhani wao ni angels. Folks, hakuna mtu anaweza pendwa au kuchukiwa na kila mtu, me nampenda Mange kwa sababu zifuatazo

Watanzania wengi wanajifanya wana maadiri lakini ni wachafu sana, then kuna mtu akacomment ati hatujafikia kua kama marekani, unadhani hizo nchi zisizojari maadiri waliamka tu wakajikuta? hapana walianza kidogo kidogo. Leo hii wengi mnajua vitu vingi sana sababu ya Mange (hapa wale wakujifanya wajuaji watajifanya hawamfatiliagi mange wanafki wakubwa[emoji57])

Mange ameonesha mambo mengi kuanzia kwenye siasa hadi kijamii ikiwemo huo udaku, wengi hapa mnamfatilia ila hapa mnajifanya mmeumia kama huyo mtoa mada, acheni unafki acheni unafki, mnamfatilia na ndio sababu kila mkiona mada ya kuhusu Mange mnajaa kuchungulia.

Na hapa kinachowauma wengi ni kuona sasa Mange anaingiza pesa nyingi kirahisi, wamekazania afungiwe App, mala afungiwe malipo bla bla bla wanajifanya ati atadhibitiwa kumbe shida yao asipate hizo pesa, acheni wivu, kuna watu hawajui hata kama kuna hiyo App au Mange sababu hawafatilii hayo mambo, ila nyie mnafatilia ndio mana mnajua, hakuna alielazimishwa kumfollow au kuwa na hiyo App ila sababu na nyie ni wambea na mnapenda kumfatilia ndio mana mnahajua, acheni unafki na wivu.

Wengine hapa ambao wako bitter ni wale wanaojijua either wanavideo zao walitumiana na michepuko au wanamauchafu yao walofanya na wanawasiwasi yasijefika huko, au huwa wanafanya hayo mambo ya kujirecord, wanajifanya ooh siku ukute ya mzazi, hakuna cha mzazi wala nini semeni tu siku mkute zenu. Muache kujirecord, alafu kwa nini ujirecord unafanya upuuzi? huoni kama wewe ni mjinga tena fala kabisa? Acheni kuleta makasiriko kwa Mange jirekebisheni wenyewe.

Wengine hapa mnakazi ya kusema Mange ni bipolar mala anamatatizo ya akili mnatunga hadi tu story twa uongo ili mradi unataka kumuua nyani hivyo unamchagulia jina baya. Mange hana matatizo yoyote ya akili, ni character yake tu kama kila mtu alivo na yake, pengine nyie ndio bipolar hamna akili msiojua kuchanganua mambo, mwenzenu anaona potential in every situation na yuko real siku zote. IQ ya wa Tz wengi ni ndogo sana na wanawaza kijamaa sana ndio maana hata maendeleo yanachelewa kwa poor thinking capacity na wivu.

Nina mengi ila wacha niishie hapa kwa sasa, ila acheni unafki wote mnajifanya kumchukia na kumponda Mange while mnamfatilia, wengine hapa wanamuelezea wakiulizwa kama wanamfatilia insta au wana App wanajifanya eti hapana[emoji16] , duh haya bwana mfatilieni kimya kimya, najua 99% ya wote hapa mnangoja arudi muone atapost nini.
[emoji16][emoji16][emoji16]nimependa hapo Kuna wasomjua mange pia maana hawafatilii kweli kabisaa,,wa kwanza mama angu,baba angu na anko wangu yaani kabisaa umepita mule mule wengi ni wambea humu na tuna mavideo yetu ya uchafu so lazima tujilinde hapa ni chuki tuu kilichotawala hakuna Cha maadili Wala utu wanachopigania but ni wao wneyewe tu against mange
Ni wivu tu umetawala
Inshort ni wambea Kama sisi wengine Ila wao ni against mange
 
Back
Top Bottom