Ila baadhi ya watanzania ni wanafki sana (wengi) nimesoma baadhi ya comment kuna watu wako sooo bitter ni kama wana personal issue na mange sasa wanataka kila mtu amchukie, wanakazi ya kuonesha ubaya wa mange tu utadhani wao ni angels. Folks, hakuna mtu anaweza pendwa au kuchukiwa na kila mtu, me nampenda Mange kwa sababu zifuatazo
Watanzania wengi wanajifanya wana maadiri lakini ni wachafu sana, then kuna mtu akacomment ati hatujafikia kua kama marekani, unadhani hizo nchi zisizojari maadiri waliamka tu wakajikuta? hapana walianza kidogo kidogo. Leo hii wengi mnajua vitu vingi sana sababu ya Mange (hapa wale wakujifanya wajuaji watajifanya hawamfatiliagi mange wanafki wakubwa[emoji57])
Mange ameonesha mambo mengi kuanzia kwenye siasa hadi kijamii ikiwemo huo udaku, wengi hapa mnamfatilia ila hapa mnajifanya mmeumia kama huyo mtoa mada, acheni unafki acheni unafki, mnamfatilia na ndio sababu kila mkiona mada ya kuhusu Mange mnajaa kuchungulia.
Na hapa kinachowauma wengi ni kuona sasa Mange anaingiza pesa nyingi kirahisi, wamekazania afungiwe App, mala afungiwe malipo bla bla bla wanajifanya ati atadhibitiwa kumbe shida yao asipate hizo pesa, acheni wivu, kuna watu hawajui hata kama kuna hiyo App au Mange sababu hawafatilii hayo mambo, ila nyie mnafatilia ndio mana mnajua, hakuna alielazimishwa kumfollow au kuwa na hiyo App ila sababu na nyie ni wambea na mnapenda kumfatilia ndio mana mnahajua, acheni unafki na wivu.
Wengine hapa ambao wako bitter ni wale wanaojijua either wanavideo zao walitumiana na michepuko au wanamauchafu yao walofanya na wanawasiwasi yasijefika huko, au huwa wanafanya hayo mambo ya kujirecord, wanajifanya ooh siku ukute ya mzazi, hakuna cha mzazi wala nini semeni tu siku mkute zenu. Muache kujirecord, alafu kwa nini ujirecord unafanya upuuzi? huoni kama wewe ni mjinga tena fala kabisa? Acheni kuleta makasiriko kwa Mange jirekebisheni wenyewe.
Wengine hapa mnakazi ya kusema Mange ni bipolar mala anamatatizo ya akili mnatunga hadi tu story twa uongo ili mradi unataka kumuua nyani hivyo unamchagulia jina baya. Mange hana matatizo yoyote ya akili, ni character yake tu kama kila mtu alivo na yake, pengine nyie ndio bipolar hamna akili msiojua kuchanganua mambo, mwenzenu anaona potential in every situation na yuko real siku zote. IQ ya wa Tz wengi ni ndogo sana na wanawaza kijamaa sana ndio maana hata maendeleo yanachelewa kwa poor thinking capacity na wivu.
Nina mengi ila wacha niishie hapa kwa sasa, ila acheni unafki wote mnajifanya kumchukia na kumponda Mange while mnamfatilia, wengine hapa wanamuelezea wakiulizwa kama wanamfatilia insta au wana App wanajifanya eti hapana[emoji16] , duh haya bwana mfatilieni kimya kimya, najua 99% ya wote hapa mnangoja arudi muone atapost nini.