WEwe ni chawaKumekuwa na kasumba kwamba kila jambo linaloonekana kutrending ambalo halitokani na siasa Mange Kimambi amekuwa akisema Serikali ndio wamebuni huo mpango hili ni lakishamba na kijinga na hii kauli ninaiona kwa katibu mkuu wa CHADEMA John Heche akiingilia mambo ya mpira kwamba yanatumika ili kuzima suala la Katiba mpya.
Hivi kweli watu wasifanye Mambo yao kisa siasa? Kwamba mambo mengine yasiendee ya watu kujitafutia ugali na wengine kufurahia burudani na vitu wanavyopenda eti tu itaonekana wanatumika kuzima mijadala ya Taifa??? Mbona Mambo ya kitaifa yanapochukua nafasi kubwa kwenye mitandao ya jamii wengine wanaofanya shughuli zao za kisanaa hawalalamiki kuwa siasa inazima mambo yao?? Hivi akili zetu huwa tunapeleka wapi?
Ikitokea wanahusisha hayo mambo,wewe jitokeze na uwapatie mifano hai na ushahidi kwamba hayahusiani.Very simple!Kuwashutumu tu na kujichukiza haina maana.Kumekuwa na kasumba kwamba kila jambo linaloonekana kutrending ambalo halitokani na siasa Mange Kimambi amekuwa akisema Serikali ndio wamebuni huo mpango hili ni lakishamba na kijinga na hii kauli ninaiona kwa katibu mkuu wa CHADEMA John Heche akiingilia mambo ya mpira kwamba yanatumika ili kuzima suala la Katiba mpya.
Hivi kweli watu wasifanye Mambo yao kisa siasa? Kwamba mambo mengine yasiendee ya watu kujitafutia ugali na wengine kufurahia burudani na vitu wanavyopenda eti tu itaonekana wanatumika kuzima mijadala ya Taifa??? Mbona Mambo ya kitaifa yanapochukua nafasi kubwa kwenye mitandao ya jamii wengine wanaofanya shughuli zao za kisanaa hawalalamiki kuwa siasa inazima mambo yao?? Hivi akili zetu huwa tunapeleka wapi?
Maisha jumla katika kila kitu hadi na shetani anajumuishwa.Elewa neno siasa.
Kumbe na wewe ni takataka? Hebu soma tena ulichoandika uone kama aliyeandika ni mwenye mtindio wa ubongo au mzimaKumekuwa na kasumba kwamba kila jambo linaloonekana kutrending ambalo halitokani na siasa Mange Kimambi amekuwa akisema Serikali ndio wamebuni huo mpango hili ni lakishamba na kijinga na hii kauli ninaiona kwa katibu mkuu wa CHADEMA John Heche akiingilia mambo ya mpira kwamba yanatumika ili kuzima suala la Katiba mpya.
Hivi kweli watu wasifanye Mambo yao kisa siasa? Kwamba mambo mengine yasiendee ya watu kujitafutia ugali na wengine kufurahia burudani na vitu wanavyopenda eti tu itaonekana wanatumika kuzima mijadala ya Taifa??? Mbona Mambo ya kitaifa yanapochukua nafasi kubwa kwenye mitandao ya jamii wengine wanaofanya shughuli zao za kisanaa hawalalamiki kuwa siasa inazima mambo yao?? Hivi akili zetu huwa tunapeleka wapi?
Tuasiingiliane uhuru wetu. Nyie mna msiba endeleeni kuomboleza. Wengine nao waachwe wajirushe kwenye burudani zao. Na wengine burudani na michezo ndio ajira yao, sasa je waache kujitaftie mkate wao kisa nyie mna msiba wenu huko?Priorities ndugu yangu. Wakati nyumba yako inaungua unaenda kucheza mdundkiko?
Watu werevu huzingatia sana priorities za Wakati husika.
Kwa maelfu ya watu waliokufa, kama taifa tuna msiba. Mambo ya Yanga na Simba zisiwe priorities zetu kwasasa.
Kwa akili ya Mnyika maana yake Chadema wakiingia madarakani hakutakuwa na michezo ya soka, usanii wala maigizo. Kila dakika itakuwa siasa tu.Kumekuwa na kasumba kwamba kila jambo linaloonekana kutrending ambalo halitokani na siasa Mange Kimambi amekuwa akisema Serikali ndio wamebuni huo mpango hili ni lakishamba na kijinga na hii kauli ninaiona kwa katibu mkuu wa CHADEMA John Heche akiingilia mambo ya mpira kwamba yanatumika ili kuzima suala la Katiba mpya.
Hivi kweli watu wasifanye Mambo yao kisa siasa? Kwamba mambo mengine yasiendee ya watu kujitafutia ugali na wengine kufurahia burudani na vitu wanavyopenda eti tu itaonekana wanatumika kuzima mijadala ya Taifa??? Mbona Mambo ya kitaifa yanapochukua nafasi kubwa kwenye mitandao ya jamii wengine wanaofanya shughuli zao za kisanaa hawalalamiki kuwa siasa inazima mambo yao?? Hivi akili zetu huwa tunapeleka wapi?
Halafu uwekezaji wa hayo matamasha ni balaa.Priorities ndugu yangu. Wakati nyumba yako inaungua unaenda kucheza mdundkiko?
Watu werevu huzingatia sana priorities za Wakati husika.
Kwa maelfu ya watu waliokufa, kama taifa tuna msiba. Mambo ya Yanga na Simba zisiwe priorities zetu kwasasa.
Siku 5 baada ya ripoti ya jaji chande,likatokea liile la tunduma watu kushikwa bega na kupotea kwa nyeti.Kumekuwa na kasumba kwamba kila jambo linaloonekana kutrending ambalo halitokani na siasa Mange Kimambi amekuwa akisema Serikali ndio wamebuni huo mpango hili ni lakishamba na kijinga na hii kauli ninaiona kwa katibu mkuu wa CHADEMA John Heche akiingilia mambo ya mpira kwamba yanatumika ili kuzima suala la Katiba mpya.
Hivi kweli watu wasifanye Mambo yao kisa siasa? Kwamba mambo mengine yasiendee ya watu kujitafutia ugali na wengine kufurahia burudani na vitu wanavyopenda eti tu itaonekana wanatumika kuzima mijadala ya Taifa??? Mbona Mambo ya kitaifa yanapochukua nafasi kubwa kwenye mitandao ya jamii wengine wanaofanya shughuli zao za kisanaa hawalalamiki kuwa siasa inazima mambo yao?? Hivi akili zetu huwa tunapeleka wapi?
Ndipo nashangaaTuasiingiliane uhuru wetu. Nyie mna msiba endeleeni kuomboleza. Wengine nao waachwe wajirushe kwenye burudani zao. Na wengine burudani na michezo ndio ajira yao, sasa je waache kujitaftie mkate wao kisa nyie mna msiba wenu huko?
Tujifunze kuheshimu mambo ya watu wengine sio kila wakati ni siasa tu tutahubiri vipi Demokrasia wakati Demokrasia yenyewe haituiweziIkitokea wanahusisha hayo mambo,wewe jitokeze na uwapatie mifano hai na ushahidi kwamba hayahusiani.Very simple!Kuwashutumu tu na kujichukiza haina maana.
Hata wewe pia unaweza kuwa ni chawa wa Chama cha siasaWEwe ni chawa
Unaona ni takataka ni kwasababu ujumbe haukufurahishiKumbe na wewe ni takataka? Hebu soma tena ulichoandika uone kama aliyeandika ni mwenye mtindio wa ubongo au mzima
Wanahubiri Demokrasia ambayo hawaioneshi kwa matendoKwa akili ya Mnyika maana yake Chadema wakiingia madarakani hakutakuwa na michezo ya soka, usanii wala maigizo. Kila dakika itakuwa siasa tu.
Ila watu wanaenda kufuata burudani sio hotuba ya kisiasaHalafu uwekezaji wa hayo matamasha ni balaa.
Na sio chama cha kuua watu wasio na hatiaHata wewe pia unaweza kuwa ni chawa wa Chama cha siasa