Mange Kimambi amewazoesha vibaya sana huu msemo huu wa kijinga CHADEMA na imewakaa kichwani

Kwa hiyo unataka kutuaminisha mabishano ya mashabiki wa Yanga na Simba mitandaoni yanafadhiliwa na Serikali???
Kagoogle na uelewe hiyo term " Bread and circus " ,usiniulize maswali ya kipuuz mimi ,maswali yako unayouliza majibu yote yapo humo kwenye bread and circus concept .
Nadhani Kama unaakili timamu utaangalia kinachoendela humo kwenye nchi yako feki na utajipa majibu. Tatizo vichwa Maji watanzania hampendi kusoma ,kibaya zaidi hata kutafakari kwa kina ni tatizo kubwa pia .
 
Ila ndio una akili nyingi kushikiwa masikio na akili na Chadema? Sasa mkuu wewe na Lucas mnatofauti ipi
 
Priorities ndugu yangu. Wakati nyumba yako inaungua unaenda kucheza mdundkiko?

Watu werevu huzingatia sana priorities za Wakati husika.

Kwa maelfu ya watu waliokufa, kama taifa tuna msiba. Mambo ya Yanga na Simba zisiwe priorities zetu kwasasa.
Wasccenge tu nyinyi,mnaotamani utii kwa Simba na yanga uwe kwenu,mbona siku hizi hizo Simba na yanga hazina vibe na utii kama 1970-1990s
 
Tujifunze kuheshimu mambo ya watu wengine sio kila wakati ni siasa tu tutahubiri vipi Demokrasia wakati Demokrasia yenyewe haituiwezi
Wewe ni mbinafsi.Unataka uheshimiwe peke yako bila maelekezo halali?Inawezekana unayo tafsiri ya peke yako kuhusu demokrasia.
 
Kwahiyo inamaana hata kukonda kwa juma jux inavyotrend Serikali ndio inafadhili hayo majadiliano
 
Wewe ni mbinafsi.Unataka uheshimiwe peke yako bila maelekezo halali?Inawezekana unayo tafsiri ya peke yako kuhusu demokrasia.
Nyinyi hamtaki masuala mengine ya watu ya trending zaidi yenu huo si ndio ubinafsi wenyewe
 
Acha kumeza heater!
 
Mbona kila mwenye akili timamu anajua kuwa Simba na Yanga ni project ya CCM, zimekuwa ni ganzi ya kupumbaza mamilioni ya watanzania washinde wanajadili ushabiki wa Simba na Yanga badala ya kujadili mambo yenye tija kwa Taifa.
 
Mbona kila mwenye akili timamu anajua kuwa Simba na Yanga ni project ya CCM, zimekuwa ni ganzi ya kupumbaza mamilioni ya watanzania washinde wanajadili ushabiki wa Simba na Yanga badala ya kujadili mambo yenye tija kwa Taifa.
Kwahiyo unataka kutuambia hatuna haki ya kujadiliana masuala mengine tofauti na siasa
 
Tuliosoma sayansi za siasa mwaka wa kwanza tunaungana na Heche kusema Kuna kitu kwenye political science kinaitwa issues framing. Hiki ni kitu Chochote kinachotumika sana na watawala kwenye ulimwengu wa siasa kupumbaza watu wajinga kama mtoa hoja hapo juu.
 
Wewe umesoma theories na sio practically so unaweza ukawa unaishi na fikra zilizokufa so unataka kuniambia hata haya mabishano ya Simba na Yanga mitandaoni yanafadhiliwa na Serikali?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…