Kila sehemu na siasa zake. Toka enzi za Mrema tuhuma za ufisadi zilikuwa zinaibuka. Wakaja kila Slaa.Wino mwingi unamaliza miti😂😂
Unajua faida za kufichua ufisadi nadhani uliona kilicho tokea napel ni mfano mzuri huo .
Hiyo ina sababusha hasira kwa watu wengi na kusababisha machafuko mno.mfano kumeongeza tozo, kodi n.k
Alafu tunaona zile kodi zetu zinatumika kwenye kununulia watoto wa viongozi magari, nyumba nzuri n.k
Sasa kama wew unasema kufichua mafisadi siyo mbinu bora na inatoa watu kwenye focus .embu naomba hiyo njia bora sasa
Shida mimi na wewe tupo wangapi tunaoweza kuchukua muda kuhakiki taarifa tunayoipata kabla hatujaiamini? Wengi hawana uwezo au utashi huo wa kusumbuka hivyo.Mimi niko measured na nina uwezo wa kuhakiki mambo mengi.
Wiki ya jana akaunti ya Tanzania Leaks imeripoti Jaji Warioba amezuiwa kuongea na waandishi wa habari, amewekewa kizuizi nyumbani kwake na rais Samia.
Nijaona hii habari mbona kama uzushi?
Nikamtafuta rafiki yangu mtu wa nyumbani kwa Mzee Warioba, akaniambia hizo ni fake news tu.
So mara nyingi nina resources za ku verify mambo sitegemei hao whistleblowers wa mitandaoni.
Uzuri nchi yangu hii, Mkapa kapelekwa chuo Columbia na Uncle wangu, nimeanza kutembea corridors za Ikulu Dar tangu nipo tumboni mwa mama yangu.
Inashangaza anasema ameenda pale kuandamana ofisi kuu za IMF duniani nina uhakika kulikuwa na ulinzi wa kutosha, mkali kuliko sehemu nyingi duniani siku ile.Ila mange mnafikiii! Anawahamasisha wenzie waandamane ila yeye hakuandamana🤣🤣🤣🤣
Kwa kujikosha sasa, akasafiri kabisa ila kufika huko akavaa mask na kujificha. Real drama queen.
Peleka uchawa wako hukoWiki kadhaa zilizopita niliwataja Mange Kimambi, Humphrey Polepole na Luhaga Mpina kama watu ambao sijaamini dhamira ya maneno na matendo yao ya kisiasa. Haya maneno niliyasema siku kadhaa kabla taarifa za kupotea kwa Polepole hazijatoka.
Niliwahi kusema master plan ya siasa za CCM ni kuwa pande zote mbili za shilingi ili ku control narrative. Kwa maana hiyo, watakuwa upande wa kujisifia lakini pia watakuwa upande wa kujisema vibaya. Kumbuka usemi wa "Shetani unayemjua".
Tuwaache hao wengine wawili kwa sasa, leo ngoja nigusie zaidi kwa nini nadhani Mange Kimambi anafanya kazi tofauti na mnayodhania.
Sina kawaida ya kutoa maoni yangu bila kwanza kujiridhisha jambo husika. Kwa jinsi siku zinavyokwenda, naona kama Mange anaweza kuwa anatumika kama "agent of confusion" ambaye nia na malengo ya kumtumia ni kuwachanganya watanzania, kuwaongezea hofu na kuwafanya wasiweze kuungana katika kuchukua hatua madhubuti za kisiasa.
Nitatolea mfano mmoja issue ya hiyo kampuni sijui ya ITEL anayoiongelea sana sasa hivi. Kwa muda sasa amekuwa anasema "Abdul" mara anachota pesa BOT, mara anachota pesa CRDB, mara tozo ya airport yote anachukua yeye. Sasa hivi anasema ana hiyo kampuni iliyopewa vibali na tenda kubwa kubwa za sukari, makaa ya mawe na mambo chungu nzima. Kama kampuni ina vibali na tenda hizo zote, kwa nini waende kuhangaika na kuchota pesa Hazina au kufanya mambo uliyokuwa unaibua hapo mwanzo? Kama mtu ana tenda na vibali hivyo vyote vya thamani ya mabilioni ya pesa, atashindwa kuwa na magari ya kifahari au nyumba nzuri? Real issue hapa ni ipi?
Jambo lililonihakikishia kuwa wasiwasi wangu kuhusu Mange unaweza kuwa na kweli ni issue ya "Kapteni Tesha". Dakika nilipoiangalia ile video ya Tesha sikuiamini hata 0%. Huyo Tesha kila alichokuwa anasema ni kama alikuwa anasoma post za Mange moja kwa moja kutoka katika IG account yake. Hakuna jipya alilosema halafu anaahidi atarudi tena! Baadae eti anatumiwa vitambulisho na wanajeshi, yaani tunafanywa kama watoto wadogo.
Mange anaibua mambo mazito ambayo kwa juu unaona ya maana lakini kisiasa hayana faida sana kwa siasa zetu. Siasa za kuibua mambo ya ufisadi zimekuwepo toka enzi za Mrema lakini hazijawahi kuitisha CCM na serikali zake.
Kwa kuibua mambo mengi mengi, wananchi wanakosa na kupoteza focus. Wanakosa lengo moja ambalo linawaunganisha. Zinabaki siasa za umbea. Real issues ambazo zingeweza kuwafanya wananchi wachukue hatua zinawekwa pembeni au kusahaulika maana wanakuwa busy kuongelea mambo mengi mengi ambayo yana ukweli nusu nusu au ambayo hayana nguvu za kisiasa katika mazingira yetu.
Mange anaweza kuwa na maslahi binafsi kama pesa kutoka meta, pesa za subscriptions, hakupata connections, dili kubwa nzuri kutoka kwa Samia lakini taarifa zake ni muhimu kufichua maovu yanayoendelea na katika harakati za ukombozi wa Taifa. Maslahi binafsi yanaweza kwenda sambamba na maslahi ya umma nyakati fulani.Mange yupo sahihi analeta maovu ya Kizimkazi kadili anavoyapata
Wewe ambae sio double agent umefanya nini cha kuleta matokeo chanya zaidi ya anachokifanya mange?Wiki kadhaa zilizopita niliwataja Mange Kimambi, Humphrey Polepole na Luhaga Mpina kama watu ambao sijaamini dhamira ya maneno na matendo yao ya kisiasa. Haya maneno niliyasema siku kadhaa kabla taarifa za kupotea kwa Polepole hazijatoka.
Niliwahi kusema master plan ya siasa za CCM ni kuwa pande zote mbili za shilingi ili ku control narrative. Kwa maana hiyo, watakuwa upande wa kujisifia lakini pia watakuwa upande wa kujisema vibaya. Kumbuka usemi wa "Shetani unayemjua".
Tuwaache hao wengine wawili kwa sasa, leo ngoja nigusie zaidi kwa nini nadhani Mange Kimambi anafanya kazi tofauti na mnayodhania.
Sina kawaida ya kutoa maoni yangu bila kwanza kujiridhisha jambo husika. Kwa jinsi siku zinavyokwenda, naona kama Mange anaweza kuwa anatumika kama "agent of confusion" ambaye nia na malengo ya kumtumia ni kuwachanganya watanzania, kuwaongezea hofu na kuwafanya wasiweze kuungana katika kuchukua hatua madhubuti za kisiasa.
Nitatolea mfano mmoja issue ya hiyo kampuni sijui ya ITEL anayoiongelea sana sasa hivi. Kwa muda sasa amekuwa anasema "Abdul" mara anachota pesa BOT, mara anachota pesa CRDB, mara tozo ya airport yote anachukua yeye. Sasa hivi anasema ana hiyo kampuni iliyopewa vibali na tenda kubwa kubwa za sukari, makaa ya mawe na mambo chungu nzima. Kama kampuni ina vibali na tenda hizo zote, kwa nini waende kuhangaika na kuchota pesa Hazina au kufanya mambo uliyokuwa unaibua hapo mwanzo? Kama mtu ana tenda na vibali hivyo vyote vya thamani ya mabilioni ya pesa, atashindwa kuwa na magari ya kifahari au nyumba nzuri? Real issue hapa ni ipi?
Jambo lililonihakikishia kuwa wasiwasi wangu kuhusu Mange unaweza kuwa na kweli ni issue ya "Kapteni Tesha". Dakika nilipoiangalia ile video ya Tesha sikuiamini hata 0%. Huyo Tesha kila alichokuwa anasema ni kama alikuwa anasoma post za Mange moja kwa moja kutoka katika IG account yake. Hakuna jipya alilosema halafu anaahidi atarudi tena! Baadae eti anatumiwa vitambulisho na wanajeshi, yaani tunafanywa kama watoto wadogo.
Mange anaibua mambo mazito ambayo kwa juu unaona ya maana lakini kisiasa hayana faida sana kwa siasa zetu. Siasa za kuibua mambo ya ufisadi zimekuwepo toka enzi za Mrema lakini hazijawahi kuitisha CCM na serikali zake.
Kwa kuibua mambo mengi mengi, wananchi wanakosa na kupoteza focus. Wanakosa lengo moja ambalo linawaunganisha. Zinabaki siasa za umbea. Real issues ambazo zingeweza kuwafanya wananchi wachukue hatua zinawekwa pembeni au kusahaulika maana wanakuwa busy kuongelea mambo mengi mengi ambayo yana ukweli nusu nusu au ambayo hayana nguvu za kisiasa katika mazingira yetu.
Kwani Watanzania wewe unawaona ni watu wenye kutaka standards kuubwa hiivyo?Kwa hiyo inawezekanaje maelfu ya watu wanakubali kuweka imani yao kwa mtu mmoja ambaye hana elimu, uzoefu wala ufahamu wa mbinu za kisiasa ili awaongoze na kuwafanyia maamuzi magumu kama haya ya sasa?
Yaani mtu mmoja anayeendeshwa na hisia atuamulie mambo mazito ya mustakabali wa taifa?
Hivi si tumekuwa tunasema hadi Rais apunguziwe madaraka, na tena Rais ni taasisi kabisa yenye idadi kubwa ya watumishi, halafu tunageuka tunaenda kumuamini mtu mmoja ambaye ana simu na bando. Yeye ndiyo apokee taarifa za dunia nzima, yeye ndiyo azichakate, azitolee tafsiri na ufafanuzi, na hadi atuamulie cha kufanya.
Risiti haiwezi kuwa uthibitisho tosha maana hata huyo Mange mwenyewe anapost risiti kila siku ila bado nimetokea kuhoji dhamira yake. Ndiyo maana nasisitiza tumepewa akili, tuzitumie vizuri. Watu wenye busara walisema, usiamini kila unachoona.
Nakuelewa.Shida mimi na wewe tupo wangapi tunaoweza kuchukua muda kuhakiki taarifa tunayoipata kabla hatujaiamini? Wengi hawana uwezo au utashi huo wa kusumbuka hivyo.
Kuna wakati unatumiwa news za huko duniani, ukiisoma tu unajua kabisa hii ni fake news ila unakuta mtu ameiamini. Nawaambiaga watu, mbona ni rahisi sana kuverify news za namna hiyo?
Tukirudi kwenye mada. Propaganda machine ikiwa kazini, unahitaji nguvu ya ziada kutambua agenda ya siri nyuma ya taarifa hiyo. Siyo wengi wanaweza kufanya hivyo.
Naomba kujua hizo njia sasa?Kila sehemu na siasa zake. Toka enzi za Mrema tuhuma za ufisadi zilikuwa zinaibuka. Wakaja kila Slaa.
Nchi nyingine unasikia serikali nzima imejiuzulu kwa tuhuma ila Bongo hadi risiti mnaletewa na Mange ila maisha yanaendelea. Mara ya mwisho alijiuzulu Lowassa, ingawa hata yeye wangetaka kumlinda msingefanya kitu. Ni siasa za ndani ya chama ndiyo wakamtoa kafara.
Ndiyo maana nasema inabidi kujua siasa zetu zinataka nini na njia bora ya kuziwasilisha kwa watu.
Drama queen, key board warrior kama most of us.Inashangaza anasema ameenda pale kuandamana ofisi kuu za IMF duniani nina uhakika kulikuwa na ulinzi wa kutosha, mkali kuliko sehemu nyingi duniani siku ile.
Hakukuwa na sababu za msingi ya kutofanya anachohubiri. Kuandamana.
Propaganda na porojo. Mange ni seasoned. Anaaminika kwa kiasi kikubwa. Tumempima kwenye mzani wa muda. She is genuinely concerned hana anachofaidi na haya anayofanya. Tatizo watanzania hawaamini kuwa kuna watu sio wanafik kutoka rohoni,kama Tundu Lissu au Mange. Wapo hao watu, tatizo watanzania wengi nyie ni wanafiki na mnaishi uongo ndio maana hamuwezi kumuamini mtu mkweli. Mnahisi mnafanana wote. Lazima mumtafutie title tu.Wiki kadhaa zilizopita niliwataja Mange Kimambi, Humphrey Polepole na Luhaga Mpina kama watu ambao sijaamini dhamira ya maneno na matendo yao ya kisiasa. Haya maneno niliyasema siku kadhaa kabla taarifa za kupotea kwa Polepole hazijatoka.
Niliwahi kusema master plan ya siasa za CCM ni kuwa pande zote mbili za shilingi ili ku control narrative. Kwa maana hiyo, watakuwa upande wa kujisifia lakini pia watakuwa upande wa kujisema vibaya. Kumbuka usemi wa "Shetani unayemjua".
Tuwaache hao wengine wawili kwa sasa, leo ngoja nigusie zaidi kwa nini nadhani Mange Kimambi anafanya kazi tofauti na mnayodhania.
Sina kawaida ya kutoa maoni yangu bila kwanza kujiridhisha jambo husika. Kwa jinsi siku zinavyokwenda, naona kama Mange anaweza kuwa anatumika kama "agent of confusion" ambaye nia na malengo ya kumtumia ni kuwachanganya watanzania, kuwaongezea hofu na kuwafanya wasiweze kuungana katika kuchukua hatua madhubuti za kisiasa.
Nitatolea mfano mmoja issue ya hiyo kampuni sijui ya ITEL anayoiongelea sana sasa hivi. Kwa muda sasa amekuwa anasema "Abdul" mara anachota pesa BOT, mara anachota pesa CRDB, mara tozo ya airport yote anachukua yeye. Sasa hivi anasema ana hiyo kampuni iliyopewa vibali na tenda kubwa kubwa za sukari, makaa ya mawe na mambo chungu nzima. Kama kampuni ina vibali na tenda hizo zote, kwa nini waende kuhangaika na kuchota pesa Hazina au kufanya mambo uliyokuwa unaibua hapo mwanzo? Kama mtu ana tenda na vibali hivyo vyote vya thamani ya mabilioni ya pesa, atashindwa kuwa na magari ya kifahari au nyumba nzuri? Real issue hapa ni ipi?
Jambo lililonihakikishia kuwa wasiwasi wangu kuhusu Mange unaweza kuwa na kweli ni issue ya "Kapteni Tesha". Dakika nilipoiangalia ile video ya Tesha sikuiamini hata 0%. Huyo Tesha kila alichokuwa anasema ni kama alikuwa anasoma post za Mange moja kwa moja kutoka katika IG account yake. Hakuna jipya alilosema halafu anaahidi atarudi tena! Baadae eti anatumiwa vitambulisho na wanajeshi, yaani tunafanywa kama watoto wadogo.
Mange anaibua mambo mazito ambayo kwa juu unaona ya maana lakini kisiasa hayana faida sana kwa siasa zetu. Siasa za kuibua mambo ya ufisadi zimekuwepo toka enzi za Mrema lakini hazijawahi kuitisha CCM na serikali zake.
Kwa kuibua mambo mengi mengi, wananchi wanakosa na kupoteza focus. Wanakosa lengo moja ambalo linawaunganisha. Zinabaki siasa za umbea. Real issues ambazo zingeweza kuwafanya wananchi wachukue hatua zinawekwa pembeni au kusahaulika maana wanakuwa busy kuongelea mambo mengi mengi ambayo yana ukweli nusu nusu au ambayo hayana nguvu za kisiasa katika mazingira yetu.
Lissu sawa, Mange bado sana. Ni dhihaka kubwa kumuweka Mange na Lissu katika mizania sawa.Propaganda na porojo. Mange ni seasoned. Anaaminika kwa kiasi kikubwa. Tumempima kwenye mzani wa muda. She is genuinely concerned hana anachofaidi na haya anayofanya. Tatizo watanzania hawaamini kuwa kuna watu sio wanafik kutoka rohoni,kama Tundu Lissu au Mange. Wapo hao watu, tatizo watanzania wengi nyie ni wanafiki na mnaishi uongo ndio maana hamuwezi kumuamini mtu mkweli. Mnahisi mnafanana wote. Lazima mumtafutie title tu.
Ndo nishawaweka sasa, tafuna wembe.Lissu sawa, Mange bado sana. Ni dhihaka kubwa kumuweka Mange na Lissu katika mizania sawa.
Hao watu kama wanachanganywa na kuongelea mambo mengimengi basi ni mazumbukuku. Kwa hiyo watanzania ni kama matahira wakiambiwa hili baya na wakaongelewa na jambo lingine wanasahau baya la mwanzo!?Wiki kadhaa zilizopita niliwataja Mange Kimambi, Humphrey Polepole na Luhaga Mpina kama watu ambao sijaamini dhamira ya maneno na matendo yao ya kisiasa. Haya maneno niliyasema siku kadhaa kabla taarifa za kupotea kwa Polepole hazijatoka.
Niliwahi kusema master plan ya siasa za CCM ni kuwa pande zote mbili za shilingi ili ku control narrative. Kwa maana hiyo, watakuwa upande wa kujisifia lakini pia watakuwa upande wa kujisema vibaya. Kumbuka usemi wa "Shetani unayemjua".
Tuwaache hao wengine wawili kwa sasa, leo ngoja nigusie zaidi kwa nini nadhani Mange Kimambi anafanya kazi tofauti na mnayodhania.
Sina kawaida ya kutoa maoni yangu bila kwanza kujiridhisha jambo husika. Kwa jinsi siku zinavyokwenda, naona kama Mange anaweza kuwa anatumika kama "agent of confusion" ambaye nia na malengo ya kumtumia ni kuwachanganya watanzania, kuwaongezea hofu na kuwafanya wasiweze kuungana katika kuchukua hatua madhubuti za kisiasa.
Nitatolea mfano mmoja issue ya hiyo kampuni sijui ya ITEL anayoiongelea sana sasa hivi. Kwa muda sasa amekuwa anasema "Abdul" mara anachota pesa BOT, mara anachota pesa CRDB, mara tozo ya airport yote anachukua yeye. Sasa hivi anasema ana hiyo kampuni iliyopewa vibali na tenda kubwa kubwa za sukari, makaa ya mawe na mambo chungu nzima. Kama kampuni ina vibali na tenda hizo zote, kwa nini waende kuhangaika na kuchota pesa Hazina au kufanya mambo uliyokuwa unaibua hapo mwanzo? Kama mtu ana tenda na vibali hivyo vyote vya thamani ya mabilioni ya pesa, atashindwa kuwa na magari ya kifahari au nyumba nzuri? Real issue hapa ni ipi?
Jambo lililonihakikishia kuwa wasiwasi wangu kuhusu Mange unaweza kuwa na kweli ni issue ya "Kapteni Tesha". Dakika nilipoiangalia ile video ya Tesha sikuiamini hata 0%. Huyo Tesha kila alichokuwa anasema ni kama alikuwa anasoma post za Mange moja kwa moja kutoka katika IG account yake. Hakuna jipya alilosema halafu anaahidi atarudi tena! Baadae eti anatumiwa vitambulisho na wanajeshi, yaani tunafanywa kama watoto wadogo.
Mange anaibua mambo mazito ambayo kwa juu unaona ya maana lakini kisiasa hayana faida sana kwa siasa zetu. Siasa za kuibua mambo ya ufisadi zimekuwepo toka enzi za Mrema lakini hazijawahi kuitisha CCM na serikali zake.
Kwa kuibua mambo mengi mengi, wananchi wanakosa na kupoteza focus. Wanakosa lengo moja ambalo linawaunganisha. Zinabaki siasa za umbea. Real issues ambazo zingeweza kuwafanya wananchi wachukue hatua zinawekwa pembeni au kusahaulika maana wanakuwa busy kuongelea mambo mengi mengi ambayo yana ukweli nusu nusu au ambayo hayana nguvu za kisiasa katika mazingira yetu.
Pumba tupu.Wiki kadhaa zilizopita niliwataja Mange Kimambi, Humphrey Polepole na Luhaga Mpina kama watu ambao sijaamini dhamira ya maneno na matendo yao ya kisiasa. Haya maneno niliyasema siku kadhaa kabla taarifa za kupotea kwa Polepole hazijatoka.