GE2025 Mange Kimambi anaweza kuwa ni "Double agent" anayewasaidia anaowasema 'vibaya' kila siku

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Chai
 
Huyo ni Jezebeli,Shetwani laanakum.
Kukuuza ni sekunde tu
 
Wamefanya parts zao, ni muhimu ikaheshimiwa na wengine waongeze skills zao kwenye mapungufu yake! Kama wewe mkuu unaweza kujazia unapoona kaharibu, chuzi linakubali pale viungo vinapowekwa sawa na kubalance

Kila binadamu ana limits...
 
Mleta Post uko sahihi Kuna kitu hakipo sawa somewhere.

Kuna mambo yanafanyika kwa usiri mkubwa sana, yanaweza kuwa Yana faida kwa Nchi ama laa,

alafu sisi tunazugwa na wanaharakati .

Siasa za CCM ni zilezile ,

Mpaka December na kuelekea March 2026 , labda tunaweza kuelewa walikuwa wanamaanisha ?
 
Hao watu kama wanachanganywa na kuongelea mambo mengimengi basi ni mazumbukuku. Kwa hiyo watanzania ni kama matahira wakiambiwa hili baya na wakaongelewa na jambo lingine wanasahau baya la mwanzo!?
Ni uwezo unaotofautiana wa kufikiri na kung'amua mambo.

Siyo kila mtu ana uwezo wa kuchukua hoja mbili au zaidi zinazogongana nakajipapa muda wa kutosha kuzitafakari kabla hajaamua ipi aiamini. Ni wachache sana wenye uwezo huo.
 
Hofu imetanda, Wananchi wameamua kumfukuza mwizi kimya kimya. Samia anajiandaa kukimbia nchi.
 
Double agent hadi analindwa na FBI?

Achaga uzwazwa.
Una uhakika gani yule mtu kwenye video yake ni FBI wa kweli? Ulimkagua kitambulisho? What if alipanga na mtu mwenye radio call watufanyie drama? Binafsi namhisi vibaya sana kwamba KWELI ni DOUBLE AGENT. Tusisahau aliwahi kuwa CCM na Magufuli, aliyekuwa akimsema, alipokufa, akarudi CCM kuwa chawa wa Samia. Na je, unadhani Abduli amemjuaje mpaka anwani yake ya nyumbani?

Shida wa TZ wengi wako impressionable sana, kama watoto. Wanakera kweli, 😡😡😡
Mijitu mizima inashindwa kumsoma tapeli kama Mange Kimambi??
Wanadangika kirahisi mpaka inatisha.

Ameshatudanganya kuhusu JWTZ, wala hakuja kujisafisha. Social media zimejaa propaganda zake sana, kama vile CCM wanalipa watu wa kumsifia na kumchafua simultaneously!! YES, inawezekana!

Halafu, kwanini ni yeye tu ametangazwa hadharani na AG kuwa atafutwe?? Kwanini hajamtaja Rachel Dangwa au Maria Sarungi au wakosoaji wengine?? Hamuoni ni deal wameingia Mange anaponda huku wao wanajibu kule!

Ndiyo maana CCM wamefanikiwa kutuibia na kutukandamiza miaka yote 64!

BELIEVE MANGE KIMAMBI AT YOUR OWN RISK!
Double agent hadi analindwa na FBI?

Achaga uzwazwa.
 
Wewe kweli kilaza. Wala hujawaza kwa mapana kabisa. Nani kakuambia CCM wakishirikiana na Mange wanashindwa kusuka huo mpango nyuma ya pazia? Kama waliweza kukodisha waandamanaji feki Washington, unadhani wangeshindwa kumlipa mtu acheze ile drama ya FBI?
 
Aisee, kwanza hongera sana kwa kuwa mchambuzi bora kabisa!

Sikutegemea kama kuna mTanzania
mwenye uwezo mkubwa wa kufikiri kama wewe kwani nilishakata tamaa kuwa wa TZ wote ni gullible na hawajielewi, kiasi cha kumfuata Mange Kimambi kama nyumbu.

Mange aliwaambia watu kwamba watoke kuandamana, jeshi liko upande wetu, wakatoka wakauwawa.
Hiyo ni baada ya kum hype Cpt Tesha na kuonyesha ID x2 za wanajeshi.

Kama hiyo haitoshi, baada ya watu kuuwawa, hakuja na maelezo ya kujieleza kwanini alituhakikishia kuwa jeshi li upande wetu halafu likatugeuka. Hii kwangu ni REF FLAG kubwa sana.

Pili, ukimponda Mange kwenye sehemu zinazojifanya kuwa huru kama X, club house au instagram, (some platforms being worse than others) unashangaa unavamiwa na "mashabiki wake" eti wanamtetea! Na wanaougeuza kama adui, hata kabla hujakamilisha uchambuzi wako.

Hiyo naiona kama "Mange Kimambi squad" ambayo imeundwa na CCM na sio "die hard fans halisi"

Zaidi ya hayo, ilikuaje Abduli akajua anwani ya nyumbani kwa Mange?
Nani alimwonyesha huko?

Wananchi forum aliyofungua, inajifanya iko balanced kwenye kutoa habari lakini, mbona inatoa habari za CCM wakati lengo lilikuwa kuhabarisha kuhus taarifa zinazozuiwa na CCM? Halafu wanawaongelea kina Nchemba na Samia with impartiality wakati ni serikali haramu. Yaani kwenye page yake kama Mange anawaita HARAM halafu kwenye gazeti lake la Wanachi forum wanakua HALAL?!

Halafu, alisajilije hiyo Wananchi forum TZ bila CCM kutoa kibali??
What if nia yake ni ku check boxes za ku demonstrate kuwa TZ hamna censorship ya arts/mass media?

Anasema ndugu aliyemsajilia Wananchi forum alitafutwa ili atekwe na CCM wakakuta ameshasafiri nje ya nchi kwenda kwenye biashara zake, kwahivyo hakurudi TZ? Alivyorudi, watekaji walimsamehe au ilikuaje?

Track record yake ni mbovu, alikuwa CCM na tunajua, alisema amehama chama kipindi cha Magu, ila Magu alivyofariki, alibadili msimamo akasema bila aibu, amekuwa chawa wa Mama. Alienda hata kumwona Samia alipoenda Marekani, leo anajidai, hajui Abduli amejuaje anapoishi 😳

Mambo mengi mno anayofanya na kusema haya add up. The only way to make sense of all this is if she actually is a DOUBLE AGENT!

Wanaomwamini huyu dada, wamuamini at their own risk.
 
Duuuh... kumbe wewe ndio muasisi wa uharibifu.
 
 

Attachments

  • 20251114_065928.jpg
    93.4 KB · Views: 17
Kilaza utakua ni wewe uliyeshindwa pia kuelewa kwanini hiyo risiti ilifutwa baada ya kutolewa na Mange.

Na ulivyo kilaza mkubwa unasahau juzi tu hapa yule mwanasheria kilaza mkuu aliyesema gari lake lilichomwa alisema wako mawindoni kumsaka Mange huku wakifuatilia kama kuna extradition treaty.
 
Further confirmation kuwa Mange Kimambi ni double agent.

Huyu dada hana asiye na personality wala charisma, there is NO WAY anaweza kuwa na "die hard fans" kiasi cha kujifanya wana uchungu naye sana kama hawa wa hapa 🤣

Hawa na UVCCM wamelipwa kuja kujifanya mashabiki kuendelea kutu confuse! Matrix19 na Vesuvius
 
Respectfully, take this!
 

Attachments

  • 20251114_065928.jpg
    93.4 KB · Views: 16
Sijaona sababu kujichekesha hapo, pia hakuna mahali katikq huu uzi au popote humu mimi niliwahi kusema ni die hard fan wa Mange , nilitable facts zangu kupinga kuwa huyu Mange ni double agent na si vinginevyo.

Umeshindwa kudefend hoja zangu kuu mbili baada ya kudandia hoja bila kuja na majibu yenye mantiki.

Nimekuuliza double agent aliyetoa risiti ya malipo ya bilioni 2.4 ambayo ilifichwa miaka 4 ghafla baada ya kuwa public ikafutwa katika kanzidata ya TRA , je hapo double agent hakujua hilo?

Hoja nyingine ilikuaje mwanasheria mkuu w la serikali kwa jazba anakuja public anadai wanamsaka huyo mnayesema ni double agent?
 
Mjinga kama wewe unadhani ni "mpaka" u declare kuwa die hard fan to be one.

Huelewi concept ya ku read between the lines.

Hujatoa hoja yoyote ya maana inayostahili wala kufaa kujibiwa kwani majibu yako wazi ila unalazimisha kuyapindisha!

Risiti? Kuna risiti na ukweli kuhusu risiti yenyewe. Kama kweli ni double agent unadhani CCM hawawezi kumuandalia hizo risiti aje ku post? Hivi huna concept ya theatrics?

Mtu kama wewe either ni impressionable kupita kiasi/mjinga au unalipwa ku peddle hii Mange Kimambi propaganda. There are no 2 ways about it. Halafu kushinda hapa kuja kumtetea is yet another reason to second guess you, kuwa unalipwa.

Mimi nakujibu ili kufungua machob ya wa TZ naive wanao maanisha mema.

Nimefurahi sana kuona m TZ kama Keynez wana scope pana sana ya kufikiri, tofauti na wa TZ wengi. Naiveity ya wa TZ ni kitu ambacho CCM wanaendelea kunifaika nacho mpaka leo 64yrs post independence, which is very PITIFUL!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…