Mazingira tuliyomo ni magumu ya malofa kama nyie kuamini wagonjwa wa akili kama maria na mange muingie mkenge na muichome nchi yenu na kuiba mali za watanzania wenzentu mkidai so called Haki..wapumbavu mwambieni mpumbavu mwenzenu mange kua hata kama ukiwa mkristo sio tiketi ya kuruhusiwa kufanya uhalifu nchini na kutaka kupindua serikaliKatika mazingira tuliyomo, maswali ya aina hii huulizwa na wagonjwa wa akili
Mazingira tuliyomo ni ya useful idiots like you kutamalaki kiasi cha kuwa mtaji muhimu wa mafia group iliyojimilikisha nchi yetu!
Samia ni mzima kweli kichwani?Unawezaje kumwambia Rais wa nchi nyingine sababu amewalipua kwa mabomu MAGAIDI kwenye nchi nyingine halafu umuombe msaada kwa mana ya kwamba naye arushe mabomu nchini kwetu
Hawa watu ni wazima kweli? Mnaweza kudhania mna deal na watu kumbe tayari ni mazombi ama wamewehuka...
Watu na familia zao wanafurahia krismasi wako bize wanatuma video za machafuko wakidai eti watu wameamka ..nawaonea huruma hao na familia zao...wakati mwingine hata familia ya mzee Sarungi ambaye amekuwa mtu wa heshima nchi hii ana histtoria kubwa wakiona ndugu yao anawehuka kwa kiasi hiki ni jambo la kuumiza sana..
Zombi ni yule bi chura kiziwi anayeogelea kwenye damu za mliowaua bila hatiaHawa watu ni wazima kweli? Mnaweza kudhania mna deal na watu kumbe tayari ni mazombi ama wamewehuka...
CCM ni chama cha magaidi inabidi mlipuliwe wote mapimbi nyie!Njoo hapa billionaires club vip Kigali unywe bia wewe fara nikuelezee ugonjwa alionao fara wenu mange...anamuandikia trump atulipue watanzania kwa mabomu...huyo ni mtu ama zombie tu...kaona maandamano yamefeli watanzania wamechagua amani, anataka tufe wote ...na pimbi fara kama wewe unaona ana akili sana
Alipue macccm sio watz wote, usichanganye mambo!Huwez kumuambia trump atulipue watanzania...tutaenda kuishi wapi...yan ni ugonjwa wa akili kabisa huo...eti wakristo wamekufa wengi...
As a moron, you ain’t worth anyone’s time!Mazingira tuliyomo ni magumu ya malofa kama nyie kuamini wagonjwa wa akili kama maria na mange muingie mkenge na muichome nchi yenu na kuiba mali za watanzania wenzentu mkidai so called Haki..wapumbavu mwambieni mpumbavu mwenzenu mange kua hata kama ukiwa mkristo sio tiketi ya kuruhusiwa kufanya uhalifu nchini na kutaka kupindua serikali
Wanaojaribu kuandaa maandamano wengi wao watoto wa kishua hawana uhusiano na maisha ya mtu wa kawaida wa kule Mbagala au Gongo la mboto, hawajui anaamka vipi au anaishi vipi.Hako ka maria ni katoto ka kishua, mimi nakajua tokea kanasoma sekondari Zanaki
Hakajui chochote kuhusu maisha ya kitaa, ndio maana kanapostiposti ujinga sana wowote mbele yake, hata kamalaya mange kidogo kanajua maisha ya kitaa.
Maisha yake yote kameishi Masaki, na hakajawahi kupanda daladala wala boda, yaani hata sijui kama kanajua kuna chakula kinaitwa supu ya mapupu
MakuUnawezaje kumwambia Rais wa nchi nyingine sababu amewalipua kwa mabomu MAGAIDI kwenye nchi nyingine halafu umuombe msaada kwa mana ya kwamba naye arushe mabomu nchini kwetu
Hawa watu ni wazima kweli? Mnaweza kudhania mna deal na watu kumbe tayari ni mazombi ama wamewehuka...
Watu na familia zao wanafurahia krismasi wako bize wanatuma video za machafuko wakidai eti watu wameamka ..nawaonea huruma hao na familia zao...wakati mwingine hata familia ya mzee Sarungi ambaye amekuwa mtu wa heshima nchi hii ana histtoria kubwa wakiona ndugu yao anawehuka kwa kiasi hiki ni jambo la kuumiza sana..
Mbona tarehe 9 na 25 hakufa mtu hata mmoja?. Mkijifanya viburi vichwa ngumu mtaishia kuumia.Karma:Ccm wametua nao titawaua.mmejifanya mna vifaru policeccm,Jwtccm.mneua watoto maskini hawana wembe:Karibu mataifa magharibi US,EU karma
Kwenye vita hakuna kuchaguliana silaha. You are very judgemental!Unawezaje kumwambia Rais wa nchi nyingine sababu amewalipua kwa mabomu MAGAIDI kwenye nchi nyingine halafu umuombe msaada kwa mana ya kwamba naye arushe mabomu nchini kwetu
Hawa watu ni wazima kweli? Mnaweza kudhania mna deal na watu kumbe tayari ni mazombi ama wamewehuka...
Watu na familia zao wanafurahia krismasi wako bize wanatuma video za machafuko wakidai eti watu wameamka ..nawaonea huruma hao na familia zao...wakati mwingine hata familia ya mzee Sarungi ambaye amekuwa mtu wa heshima nchi hii ana histtoria kubwa wakiona ndugu yao anawehuka kwa kiasi hiki ni jambo la kuumiza sana..
Backup hoja yako kwa sheria na vifungu vinavyotoa uhalali wa hayo unayosimamia.Waliouliwa ni wahalifu waliokua wanachoma nchi na kutaka kupindua serikali
Wanakosa ushawishi wa mtanzania wa kawaida anayetakiwa aingie barabarani kuandamana, wanapowaambia 'nyinyi nendeni' au 'nyinyi tangulieni' maana yake huyo anayetakiwa kuingia mtaani lazima kwanza ahisi wewe unayemshauri upo katika ngazi sawa na yeye kimaisha.Wameelimika kuliko wewe, lazima. Wamesoma, na wamesafiri sana, wana exposure kubwa sana.
Hata wazazi wao walikuwa wasomi. Mmoja alikuwa Professor yaani PhD ya kweli.
Sasa offspring kama hiyo utalinganisha na wewe? Sorry it is fact
"Failed"?Rubbish...insanity ...maandamano yamefeli...tarehe 9, failed, 25 failed ..have you asked your self why...sababu watanzania most of them wameona walikua wnaaingizwa kwenye mtego wa kuichafua nchi yao wenyewe na kua sehem ya kikundi Cha wahalifu Cha kupindua serikali na nchi...
Ila hao kwa uwezo wao wangechaguwa kuunga mkono ssm, wangekuwa mawazirii wakubwa. Ni mwanamke gani ktk uongozi huu anakaribia uwezo wa Maria Salungi? tukiacha ushabiki ,anzia na huyo Asha Migiro na wengine woote.Sijui,