🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Unawezaje kumwambia Rais wa nchi nyingine sababu amewalipua kwa mabomu MAGAIDI kwenye nchi nyingine halafu umuombe msaada kwa mana ya kwamba naye arushe mabomu nchini kwetu
Hawa watu ni wazima kweli? Mnaweza kudhania mna deal na watu kumbe tayari ni mazombi ama wamewehuka...
Watu na familia zao wanafurahia krismasi wako bize wanatuma video za machafuko wakidai eti watu wameamka ..nawaonea huruma hao na familia zao...wakati mwingine hata familia ya mzee Sarungi ambaye amekuwa mtu wa heshima nchi hii ana histtoria kubwa wakiona ndugu yao anawehuka kwa kiasi hiki ni jambo la kuumiza sana..
Failed d9, failed d25, akina mange hawajatosheka na mabilioni waliopewa wanakuhamasisha wewe kapuku ukaandamane uichome nchi yako ..."Failed"?
Umezungumza na Samia Suluhu Hassan kakuhakikishia hayo, au unajisemea tu mwenyewe kwa vile ni nguruwe tu unayefugwa naye, huku ukitegemea utaendelea kupata makombo ya chakula anayokutupia chini?
Ungekuwa ni mtu mwenye akili timamu, wala usingethubutu kuandika na kuwa na matumaini kuwa kuna kilicho-'fail'.
Naona hapo chini, nguruwe mwenzio, 'Steven Joel Ntamsana' akifikiri makombo ya Samia mtaendelea kuyafaidi. Siyo Tanzania hii, katafuteni nchi nyingine; sana sana labda megueni hicho kipande chenu, mkavurugane huko wenyewe kwa wenyewe.
maria huyo anaeshawishi wananchi wapindue serikali yao yeye akiwa ulaya? Ndio ana akili?Ila hao kwa uwezo wao wangechaguwa kuunga mkono ssm, wangekuwa mawazirii wakubwa. Ni mwanamke gani ktk uongozi huu anakaribia uwezo wa Maria Salungi? tukiacha ushabiki ,anzia na huyo Asha Migiro na wengine woote.
😂😂😂😂🍻🍻🍻Wanakosa ushawishi wa mtanzania wa kawaida anayetakiwa aingie barabarani kuandamana, wanapowaambia 'nyinyi nendeni' au 'nyinyi tangulieni' maana yake huyo anayetakiwa kuingia mtaani lazima kwanza ahisi wewe unayemshauri upo katika ngazi sawa na yeye kimaisha.
Wanapoonwa kwamba wao ni matawi ya juu moja kwa moja ujumbe wao umeshadharauliwa na hawa vijana wa huku mitaani. Matokeo yake vijana ile juzi wakawa wanawatumia ujumbe wa kuwachora wakiwaambia tupo tayari hapa Ubungo wakati ukweli vijana wapo Coco Beach wanapunga upepo.
beer za kununuliwa ndio zimekuponza hadi unauza utu wakoNjoo unywe bia upunguze stress za maandamano ya kuichafua nchi na kupindua serikali kufeli 😂🍻
Duuh mbona umeshindwa kutoa hoja ikaeleweka? Sijui hata umeongea nini maana naona MIXX BY YAS.Unawezaje kumwambia Rais wa nchi nyingine sababu amewalipua kwa mabomu MAGAIDI kwenye nchi nyingine halafu umuombe msaada kwa mana ya kwamba naye arushe mabomu nchini kwetu
Hawa watu ni wazima kweli? Mnaweza kudhania mna deal na watu kumbe tayari ni mazombi ama wamewehuka...
Watu na familia zao wanafurahia krismasi wako bize wanatuma video za machafuko wakidai eti watu wameamka ..nawaonea huruma hao na familia zao...wakati mwingine hata familia ya mzee Sarungi ambaye amekuwa mtu wa heshima nchi hii ana histtoria kubwa wakiona ndugu yao anawehuka kwa kiasi hiki ni jambo la kuumiza sana..
Uwepo wako hapa JFna michango dhaifu aina hii haitamsaidia chochote Samia kubaki madarakani kwa nguvu.Failed d9, failed d25, akina mange hawajatosheka na mabilioni waliopewa wanakuhamasisha wewe kapuku ukaandamane uichome nchi yako ...
Hicho sio kiwanja nilikuepo hapo sanaNjoo hapa billionaires club vip Kigali unywe bia wewe fara nikuelezee ugonjwa alionao fara wenu mange...anamuandikia trump atulipue watanzania kwa mabomu...huyo ni mtu ama zombie tu...kaona maandamano yamefeli watanzania wamechagua amani, anataka tufe wote ...na pimbi fara kama wewe unaona ana akili sana
Wewe ndo utakuwa siyo mzimaUnawezaje kumwambia Rais wa nchi nyingine sababu amewalipua kwa mabomu MAGAIDI kwenye nchi nyingine halafu umuombe msaada kwa mana ya kwamba naye arushe mabomu nchini kwetu
Hawa watu ni wazima kweli? Mnaweza kudhania mna deal na watu kumbe tayari ni mazombi ama wamewehuka...
Watu na familia zao wanafurahia krismasi wako bize wanatuma video za machafuko wakidai eti watu wameamka ..nawaonea huruma hao na familia zao...wakati mwingine hata familia ya mzee Sarungi ambaye amekuwa mtu wa heshima nchi hii ana histtoria kubwa wakiona ndugu yao anawehuka kwa kiasi hiki ni jambo la kuumiza sana..
Maria na mange Wana uwezo Gani zaidi ni wahaini wanaotumika na kikundi Cha watu kwa maslahi yao selfish zaidi ni kupiga hela tu kwa NYUMBU kuandamana...Duuh mbona umeshindwa kutoa hoja ikaeleweka? Sijui hata umeongea nini maana naona MIXX BY YAS.
Sasa kama kujenga hoja huwezi unawezaje kupima uwezo wa Maria na Mange?
Huyo Mange alifanikiwa kuwalengesha vijana wakaichoma Tanzania tarehe 29 October akadhani ataweza tena kuichoma tarehe 9 Desemba, mfumo ulipoingia kazini akapoteza akaunti yake ya Whatsapp akashindwa kuwasiliana na Wakenya.Mazingira tuliyomo ni magumu ya malofa kama nyie kuamini wagonjwa wa akili kama maria na mange muingie mkenge na muichome nchi yenu na kuiba mali za watanzania wenzentu mkidai so called Haki..wapumbavu mwambieni mpumbavu mwenzenu mange kua hata kama ukiwa mkristo sio tiketi ya kuruhusiwa kufanya uhalifu nchini na kutaka kupindua serikali
Samia atabaki na atamaliza muda wake kama Katiba inavyosema , ataondoka atakuja mwingine hivyo hivyo kama desturi inavyofahamika, hajakaa kwa nguvu amefata Yale yote yanayotatikana kufanyika, sema ni wapumbavu wachache waliopo nje ya nchi walikua na chuki na nchi hii Hadi kutaka iingie kwenye machafuko na kupindua serikali na kutumia wahalifu kuharibu nchi, wahalifu waliokua wanaiba maduka, ATM, kuchoma biashara za watu, kuchoma sheli, na wahaini wakadhibitiwa, nchi ikabaki salama ..huko ni kukaa kwa nguvu...? Kukitokea machafuko hapa wewe na umaskin wako unaweza kukodi private plane ikuondoe nchini wewe na familia yako? Waliohamasisha wametuliza mikundu nje ya nchi wamepokea mlungula ..Bado haaziwatoshi walitaka tena nchi ichafuke tarehe 9, na 25, watanzania waliowengi asilimia kubwa wema wakashatukia upumbavu wao na kutokukubalia kutumika na wapumbavu hao (mental)Uwepo wako hapa JFna michango dhaifu aina hii haitamsaidia chochote Samia kubaki madarakani kwa nguvu.
Kama kakuajili kufanya kazi duni namna hii, hiyo pesa inapotea tu bure.
Huna mchango wowote wa kuzuia ukombozi wa Tanzania. Kwa hiyo sioni maana yoyote ya mimi kuendelea na nguruwe hapa JF.