Afanye wapi,mmewe darasa la saba sema tu ni muuza ngano,pesa ya kuumiza vijana wa watu,Mungu atalipa tu ne day malipo ni hapa hapa dunianiMh jamani kusema ukweli shamim anatakiwa abadilke watu wanamlaamlamkkia Sana kuhusu hzo nyodo and by the way mumewe nasikia ni tajiri Sana anafanya wap
ahahaa endelea tu kukaa shamba uvune mazao,mjini tunavuna umbea tena wa bureee,ukiukosa JF basi nenda kwa binti manongi au kwa mange,ukimalizia Instagram umeshiba.
Me sirudi tena kule...tena alonihamisha mjini nyoko zake huko aliko...nshaanza kunenepa kwa umbea.
Hapo aliposema bora ungemkubali Ivan ndipo aliponichekesha aisee. Mange mjinga sana.
Mi nakumbuka tu linah alivyokua analalamika eti I'm hurted, hahahah ahaha
mhh maakubwa kumbe marange yote na mishauzi ya teaparty hela chafu mhh wala sitoadmire dada wa mujini mimi tunataka pesa za halai ndo zinahitaji mishauzi siyo njia za panyaaaAfanye wapi,mmewe darasa la saba sema tu ni muuza ngano,pesa ya kuumiza vijana wa watu,Mungu atalipa tu ne day malipo ni hapa hapa duniani
Mleta Uzi ndiye yule kijana,anaepigwaga makofi na shishi baby Shilole?,au majina kufanana?,umejiunga Jana,karibu JF..
Me sirudi tena kule...tena alonihamisha mjini nyoko zake huko aliko...nshaanza kunenepa kwa umbea.
mim kabisaaaaa labda Kule jukwaa la dini
dadeeeki siku hiz mange ananichekeshaa balaaaaaaaaaa