Mange Kimambi na wadada wa mjini ni shida

Mange Kimambi na wadada wa mjini ni shida

Mh jamani kusema ukweli shamim anatakiwa abadilke watu wanamlaamlamkkia Sana kuhusu hzo nyodo and by the way mumewe nasikia ni tajiri Sana anafanya wap
Afanye wapi,mmewe darasa la saba sema tu ni muuza ngano,pesa ya kuumiza vijana wa watu,Mungu atalipa tu ne day malipo ni hapa hapa duniani
 
ahahaa endelea tu kukaa shamba uvune mazao,mjini tunavuna umbea tena wa bureee,ukiukosa JF basi nenda kwa binti manongi au kwa mange,ukimalizia Instagram umeshiba.

Me sirudi tena kule...tena alonihamisha mjini nyoko zake huko aliko...nshaanza kunenepa kwa umbea.
 
Huyu mange nae sasa kama wema ndo kanogewa na hizo shomboo mhhh mjini kazi
 
Mleta Uzi ndiye yule kijana,anaepigwaga makofi na shishi baby Shilole?,au majina kufanana?,umejiunga Jana,karibu JF..
 
Afanye wapi,mmewe darasa la saba sema tu ni muuza ngano,pesa ya kuumiza vijana wa watu,Mungu atalipa tu ne day malipo ni hapa hapa duniani
mhh maakubwa kumbe marange yote na mishauzi ya teaparty hela chafu mhh wala sitoadmire dada wa mujini mimi tunataka pesa za halai ndo zinahitaji mishauzi siyo njia za panyaaa
 
Back
Top Bottom