Victoire
JF-Expert Member
- Jul 4, 2008
- 24,386
- 57,588
Afanye wapi,mmewe darasa la saba sema tu ni muuza ngano,pesa ya kuumiza vijana wa watu,Mungu atalipa tu ne day malipo ni hapa hapa dunianiMh jamani kusema ukweli shamim anatakiwa abadilke watu wanamlaamlamkkia Sana kuhusu hzo nyodo and by the way mumewe nasikia ni tajiri Sana anafanya wap