Mange Kimambi: Nikiongea mengi kuhusu Kapteni Tesha nitaharibu. Jueni yuko Uraiani nje ya nchi

Mimi ni mlipa kodi mzuri tu kwa TRA.

Nimetoa na bado naendelea kutoa misaada ya kunyanyua watu.

Na mambo mengine mengi tu ambayo sihitaji kukutajia.

Wewe endelea kumsubiri huyo Tesha wako.

Sisi wengine hatusuburi mtu. Tunafanya wenyewe.
Upo humu jamii forum tangia mwaka 2006. Naamini asilimia 100% wewe ni mzee halafu unazarau kitu alichofanya kijana mdogo tu ambae wewe mpaka umezeeka hujafanya Kwa ajili ya nchi Yako unajua gharama ya kuongea maneno kama yale aliyoongea tesha katika jwtz je umeshasikia mwanajeshi yeyote tofauti na tesha akiongea live bila kujificha ndio ujue tesha kafanya kitu kikubwa au huwa unaamka tu na huo uzee wako unakuja kutoa stress tesha kafanya kitu kikubwa sana Kwa nchi yake na ana umri mdogo kabisa yule ila wewe mzee eti unasema tesha hajafanya kitu unastress za uzee nini
 
Kasema lini Museveni anataka kupewa Bukoba? Naona imekuwa mtindo siku hizi wa kumuwekea Mange maneno ya uongo kumdiscredit. Lete ushahidi wa yeye kusema au kuandika hivyo na Johari alete wa Mange kujitapa kuwa katuweza (kaiweza serikali) kwa kuandaa maandamano na kusema kuwa atarudi tena. Sijui huwa mnatafuta uhalali wa points zenu kwa uongo?!
 
Mimi ni mlipa kodi mzuri tu kwa TRA.

Nimetoa na bado naendelea kutoa misaada ya kunyanyua watu.

Na mambo mengine mengi tu ambayo sihitaji kukutajia.

Wewe endelea kumsubiri huyo Tesha wako.

Sisi wengine hatusuburi mtu. Tunafanya wenyewe.
Umefanya nini so far zaidi ya kubeza juhudi zote? Sio wewe ambae ulibeza pia kuwa hakuna wataoandamana? Kila siku unabeza na huna alternative solution?! Kujikuta unajua kila kitu, unaboa.
 
Hana anachoongeza kwenye juhudi hizi zaidi ni huwa anabeza kila kitu. Kukosoa tu kukicha halafu haleti njia mbadala. Aende kule. Si Tesha tu hata vijana wadogo wa Kitanzania walioandamana wamemuaibisha ile juzi, amebakia kujificha nyuma ya JF huku anasikilizia matokeo kwa yanayoendelea ili aje atoe ujuaji wake kwa maandishi tu.
 
Yani hilo Zee linaboa. Naona umeshalieleza vya kutosha, achana nalo. Akikosa points za kuzodoa approaches za wenzie, huwa anakuja na kingereza. Ndio anachokijua duniani hapa. Lipenda sifa la kwenye keyboard tu, hana mchango wowote kwa wakati huu.
 
Majamaa makatili mno,hata mimi nimeona leo hiyo video. Nathani unasema hii hapa chini
Yaani kama unavyosema Polepole itakuwa walimuua kifo cha kumpa maumivu mno.Nikikumbuka zike live zake .Acha tu.
View attachment 3499214
Huyu Samia ni msenge sana kmmmk Mtoto mdogo kama huyu ameafanya kosa gani la kustahili adhabu nzito kama hii?. dah! Inaumiza Sana.
 
Umeeleza vyema, lakini katika vusababishi hauwezi kuacha kuzitaja ofisi zifuatazo.
1. Ofisi ya msajiri wa vyama vya siasa. - ofisi hii imetumika pakubwa sana kukoleza joto na hasira ya umma dhidi ya serikali, fikiria huyu mtu kwa sababu za kijinga kabisa akasimamisha uongozi wotee wa juu wa chadema, akasimamisha ruzuku, double standard ya maamuzi baina ya Samia na Mh Mpina kuhusiana na mchakato wa kugombea urais. Huu ulikuwa ni ujinga wa kiwango kikubwa mnoo kuwahi kufanywa na ofisi.

2. Mahakama ya Tanzania- kama kuna ofisi inatakiwa ijitathimini basi ni hii Mahama ya Tanzania. Wadau walipeleka malalamiko kuhusiana na sheria ya uchaguzi wakipinga ma DED kusimamia uchaguzi lakini wao wakabariki wakasema haina shida waendelee.
Fikiria maamuzi ya kesi kadhaa za watu kupotea. Mahakama imekuwa ikiungana na watekaji kwa maana ya jamhuri kuhalalisha utekaji. Hii ilijenga hasira kubwa sana.
Rejea kesi ya Tundu, kilichokuwa kinafanyika Mahakamani, mahakimu na majaji wamekuwa wakiubariki uhuni. Wanashindwa kutafasiri na kusimamia sheria. Matokeo yake kuna jamii inaona viongozi wao wanakandamizwa.

Sasa GEN Z wameitisha maandamano phase 2. Madai yameongezeka, sasa wanadai miili ya ndugu zao. Na miili haipo ilishafukiwa. Fikiria hii kitu ni nini kinafuata???
Tumekabidhi nchi watu waliozaliwa 1960, wakaenda Rukwa kwa ya kwanza 1997, na wakarudi mara ya pili 1915. Hawa watu ni tatizo.
 
Tunakusanya majina ya waliouliwa na ndugu zao tuunde Jeshi.

Hakuna Maridhiano na CCM
Nitakuwa kuruta Namba moja, hakuna kuridhiana na shetani. Wakaridhiane na Akina Yeriko, Doyo na wa pumba u wengine Akina Zito
 
Umefanya nini so far zaidi ya kubeza juhudi zote? Sio wewe ambae ulibeza pia kuwa hakuna wataoandamana? Kila siku unabeza na huna alternative solution?! Kujikuta unajua kila kitu, unaboa.
We mwenyewe umefanya nini?

*** you 🖕.
 
Una hasira na mimi eh!

Too bad huwezi kunifanya chochote.

Baki kulia lia tu. Silly old ho 🖕.
 
Huyo Tesha kafanya nini zaidi ya kuongea tu?

Mnanikasirikia mimi kwa kusema ukweli.

Na kwa vile hamna hoja za kuupinga ukweli nisemao, mnaishia kunishambulia mimi binafsi.

Ooh sijui Mzee, sijui nini.

Ukiona unakasirika, halafu badala ya kupangua hoja zangu kwa hoja, unaishia kunishambulia mimi binafsi, hapo tayari nimeshakushinda ki hoja.

Vijimatusi vyako kwangu ni ujisalimishaji wa kifikra.

Na sitegemei unielewe hapo.

Huyo Tesha wenu hana msaada wowote ila kwa vile mko majuha kama mawe, endeleeni kuwekeza matumaini yenu kwake.

Mjinga akifunzwa, anaacha kuwa mjinga.

Juha ni juha tu. Hasaidiki hata iweje.
 
Kumbe wajinga nao wanazeeka.
 
Kipindi anabeza sana kuhusu maandamano niliwahi kusema watu wa aina yake ni watu wa ajabu sana, haeleweki yupo upande gani.

Kuna muda anasimama na watz na kuna muda naona kabisa anafurahia hali ilivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…