Mange Kimambi: Paula Kajala hajaenda Uturuki kusoma, anafanya kazi Airbnb

"Tanzania kuna viwanda vya uongo" by JK.

Kabla hujasapoti kitu kama B12 au Mr.Amplifaya kuwa mashoga ni bora ujiridhishe na hizo habari. Kuna mtu akikuchukia anaweza kukuzushia kitu cha aibu hapo huwezi kuchomoka.
Chuki ni mbaya sana.
 
kabisa, kuna watu wenye degree za chuki, masters za uongo na PhD za umbea
 
[emoji848][emoji119]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mange ana followers milioni 5.

Mimi kwenye page yangu ya kufundisha watu ufugaji wa nguruwe nina followers 27.

Bongo nyoso.
Easy!

Anza kuuza udaku hata kama ni uzushi.

Anza harakati kali dhidi ya CCM na Rais.

Hakuna kitu kinalipa na ku-pull attention nchi hii kama Mpira, Harakati kali dhidi ya Rais na Udaku.

Wabongo ni mabingwa sana wa MIHEMKO ya nyuma ya Keyboard.

Ukiweza hata pesa wataanza kukutumia "MIHAMALA"
 
Na wew unaleta habari za mange kimavi apa ?? Ukute wazazi wako wanakutegemea uwe baba wa watoto na uwatunze wazazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…