Mange Kimambi: Viongozi wa Chadema walio baki nje hawafikii hata nusu ya Lissu

Maandamano ya amani yatasaidia nini ? Mbowe aliongoza hayo maandamano wakapewa na ulinzi wa polisi , nini kilibadilika ?
 
Aaah wapi. Bado wataona tu kasoro, labda waongozwe na Malaika.
Ukosoaji ni sehemu ya maisha. Hata Mungu anakosolewa.

Kuna tifauti ya ukosoaji na hoja za wahusika kuwa na nguvu.

Kama unategemea kila mtu akusifie, basi wewe utakuwa zamwamwa.
 
Yupo sahihi 💯📌 hata level ya IQ baina ya lissu na viongozi wenzake inautofauti kubwa sana Tena sana

Hilo linachangia pia kuweza kuchelewesha plan when lissu anapokuwa korokoroni Kama hivi ilivyo sasa
 
CHADEMA msingi wake si ni PEOPLE'S POWER?, sasa wanashindwaje kuitumia hiyo peoples power.

Heche Songesha watu kitaa, hizi habari za "Nyomi" mikutanoni hazina ishu.
Sasa hivi serikali ya CCM ipo on its feets locally na Internationally, huu ndo muda muafaka wa kupandisha joto la kisiasa ili tupate change tunayoitaka.
 
CCM haitaki type ya JPM hivyo lissu angeshakua amefanyiwa figisu kama Gwajima, Mpina au Majaliwa.
Hakuna mwenye unafuu kati ya hao, wote ni wapigaji tu. Tofauti JPM alikuwa anataka aibe peke yake na kakikundi kadogo ka marafiki zake eg Mfugale, Kijazi, Makonda, Chamuriho etc
 
Yupo sahihi 💯📌 hata level ya IQ baina ya lissu na viongozi wenzake inautofauti kubwa sana Tena sana

Hilo linachangia pia kuweza kuchelewesha plan when lissu anapokuwa korokoroni Kama hivi ilivyo sasa
Mange anasema viongozi wote wa CDM hawafikii hata pumbu moja la Tundu.
 
Hakuna mwenye unafuu kati ya hao, wote ni wapigaji tu. Tofauti JPM alikuwa anataka aibe peke yake na kakikundi kadogo ka marafiki zake eg Mfugale, Kijazi, Makonda, Chamuriho etc
Unamchukia sana Magufuli but ukweli siku zote ujiuza uongo una tabia ya kuvuma mapema ukweli ushinda mwisho ayo maneno wananchi kwa sasa wakakuelewa Magufuli Huyu ndo God father tulitakiwa tubaki nae baada ya Mkapa Magufuli ni mchapa kazi tu mpaka tukaingia Uchumi wa Kati nchi ilikua na heshima kuna Marais wengi wa nje walimuiga Magufuli kuhusu kujikinga na corona maana huu ungonjwa Magu alisema tutaishi nao mpaka sasa corona hipo tusijifungie Wakaja wengi kuiga Magufuli tuliona hata USA ilikuja kukili kwamba corona virus ni tutaishi na vyo ndo maana kuna wave za corona Huyu mzee aliona mbali mwacheni apumzike
 
Hakuna mwenye unafuu kati ya hao, wote ni wapigaji tu. Tofauti JPM alikuwa anataka aibe peke yake na kakikundi kadogo ka marafiki zake eg Mfugale, Kijazi, Makonda, Chamuriho etc
Lissu ameiba nni mkuu
 
Magufuli ndiye influencer wa siasa tulizo nazo hivi Sasa nchini before yake ukiachana na nayakati za Nyerere hapakuwahi kuwa na Raisi mwenye guts kubwa kama zake za kuweza kuteka watu na kuwauwa kama vifaranga

Zile siasa za magufuli ndio zimewafanya walioshikilia mpini na wao kubadilika nakuona kumbe inawezekana kufanya kama alivyokuwa anafanya magu na Raia wasifanye chochote matokeo yake Leo hii tumefika hapa tulipo kama Taifa ,

Ni wazi kwamba Baada ya late mkapa raisi aliyefuata aliruhusu mambo mengi ya hovyo like Ufisadi uuzwaji drugs ulikuwa ni wakiwango kikubwa sana Bribe and the likes but Kwenye suala la Kuangamiza watu na kuwauwa kiholela hapakuwa na matukio makubwa na mengi ya kutisha kama ilivyokuwa wakati wa mwendazake

Wajua Kwa binaadamu ni rahisi kuvumilia baadhi ya mambo na huwenda ikamchukua muda mrefu kudai haki zake pindi Pasipo kutaka kufanya mapinduzi Kwa haraka endapo tu itakapo kuwa hakuna tishio la kuuwawa Kwa Raia wenzao lakini inapofikia hatua watu wanauwawa kama kuku halafu gavooo imwuchuna tu na kutoa kebehi Kwa victims, Yaani hapo lazima haiwezi kuchukua muda Nchi itawaka moto tu
 
Mambo ya kizamani sana 😄

Mikutano ya kazi gani ktk situation kama hii !!!?
 
Ebu niambie kilichotokea tarehe 29 kuanzia uharibifu na mauaji yaliyo tokea ,hayo maandamano yangekuwa yameratibiwa na kutangazwa na chadema wangekuwa na hali kwa sasa?
Siasa ni mchezo mchafu na unahitaji mahesabu makali sana.
 
Kuna mwingine anashika ngao ya Rais kwamba anajiona anafaa kuliko kibaraka Lisu mpaka hapo tayari kunafukuta.
 
Acha unafiki we mwanamke, Lissu hateseki anakula vizuri, analala pazuri wako wanaoteseka kule gerezani, pili Lissu amejitakia hawezi kuachwa kwamba anaogopwa? Yule mnyaturu ana siasa za hovyo, hawezi kuendesha siasa safi?
 
Mpambanaji gani alioama chama?

Yericko?
Salum Mwalimu?
 
Mwangosi wakati anakufa kuuliwa na police ulikua mdogo wakina Mgimwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…