Mange: Listi ya niliogombana nao, yupi naweza kuelewana nae?

Mange: Listi ya niliogombana nao, yupi naweza kuelewana nae?

Ungesoma posts vizuri zilizopita ungeona nini kilileta group na umekuta nilikutumia mwaliko ukajiunga.

Hakuna tabu naweza kuliamishia kwenu, nasubiri warumi ambaye pia nilimtumia kujiunga akijiunga nalihamishia kwake yeye ndie ataweza au pia nifah au mwingine yoyote.

Kuna wambea kama 10 bado hawajakubali au hawajaona request ya kujiunga wakajiunga zipo pending.

Au mtachagua nani ashike usikani. Hakuna tabu

HYo request inapatikana wapi? Mi sijaona aiseeh,sijapat notification yeyote kwa kweli
 
Last edited by a moderator:
Shoga J.lee ngoja carrie atakuunga.Ukishaona notification ya group wewe jiunge, tukishakamilika ndio tutaanza umbea sasa.

Jamani sio kila mtu anaalikwa, kitu cha special invitees, yani humo wambea first class tu, chezeya weye, tumepanda bei siku izi hahaa ahaha, ngoja nikajiunge kwenye website, nataka nishushe vitu matata mpaka picha humo, nataka nizindue kwa kishindooo
 
Last edited by a moderator:
ok nimekupata haina shida hata ukiwa wewe ulieanzishaa ,sema Tu wambea wa east Afrika hatukupewa taarifa kua group linaanza,nimekupata hakuna kinachoharibikaaa

Wambea waheshimiwa, halafu wote tukishajiunga, tunaanza kuchagua viongozi wa juu mpaka chini, ukiwa unatega sana kundini bila sababu tunaku terminate fasta, yani humo full balaa yani
 
Cheki PM, shukurani.

Nimeiona mpenzi.Nisamehe tu maana mimi nikiingia PM hua sitoki maana kumefurika jamani sio mchezo!
Sasa ndio inabidi niwajibu wote, wewe pia nimeshakujibu.
 
Jamani sio kila mtu anaalikwa, kitu cha special invitees, yani humo wambea first class tu, chezeya weye, tumepanda bei siku izi hahaa ahaha, ngoja nikajiunge kwenye website, nataka nishushe vitu matata mpaka picha humo, nataka nizindue kwa kishindooo

Hahahahahaa, watajuuuta maana mimi ndiye group Admin.
Hakuna mbea mpya huko, watanichukiaje jamani?
Lawama zikizidi nitampa mtu mwingine ila kwa sasa wajipange sana.Kuna mvimba macho mmoja asahau tu hilo group maana sitomkubalia hata akiwaambia mods!....uwiiiiiii!
 
Hahahahahaa, hatutaki id's mpya.Na wao wajiunge waanzishe lao au wakomae huku halafu tutawaangalia kama wanafaa.
Jamani hili jambo sio mchezo, hasa tukiwa tunaelekea kwenye ile sheria inabidi tupate uhuru.
Huku jukwaani hatujiamini hadi tunaanza kuongea mafumbo mtu unachekecha kichwa kama uko kwenye chumba cha mtihani.....
Ndio maana hizi id tusizozijua tuachane nazo kabisa, wengine usalama wa taifa, ohoooo!

Ndio katibuuu, mpaka kitaeleweka tu, taratibu mpaka bunge la tanzania litutambue na kupitisha ahahahah ahahah chezeya umbea weye, hahahah, halafu jaman tunajijua tupo wangapi au?
 
Wambea waheshimiwa, halafu wote tukishajiunga, tunaanza kuchagua viongozi wa juu mpaka chini, ukiwa unatega sana kundini bila sababu tunaku terminate fasta, yani humo full balaa yani

Ha ha ha ha ha warumi utaua watu jamani!
Basi kuna mtu huku jana tulimsema sio mbea leo nikamkuta sehemu anapiga umbea.Hili group litaleta balaa humu.
 
Last edited by a moderator:
Itabidi atupe taarifa.Haiwezekani wakubaliwe watu tusiowajua.

Inabidi tujijue kwa kweli, sio kila mtu anaingia, wengine waandishi wa habar humu, maana nataka nianzishe topic hot zile kabisa kwa ajili ya kutambulisha group letu, au sio wambea wenzangu?
 
Wambea waheshimiwa, halafu wote tukishajiunga, tunaanza kuchagua viongozi wa juu mpaka chini, ukiwa unatega sana kundini bila sababu tunaku terminate fasta, yani humo full balaa yani

mmmmnhhh!!!
 
Inabidi tujijue kwa kweli, sio kila mtu anaingia, wengine waandishi wa habar humu, maana nataka nianzishe topic hot zile kabisa kwa ajili ya kutambulisha group letu, au sio wambea wenzangu?

NDIOOOOOO! Uwiiiiii warumi ndio maana nakupendaga.
Tumechoka umbea wa JF kuandikwa kwa shigongo kila siku.Sasa hivi watatukoma.
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha ha ha warumi utaua watu jamani!
Basi kuna mtu huku jana tulimsema sio mbea leo nikamkuta sehemu anapiga umbea.Hili group litaleta balaa humu.

AHahahahah watakoma mwaka huu, wametusema sana, tunawaachia jukwaa lao tunaenda zetu level nyingine, tunaenda kuchukua masters ya gossipiology
 
Last edited by a moderator:
Mhhhhhh, hebu pitia kwa warumi kwanza mwenzangu.
Yeye ndie mwenyekiti wa wambea wote, akikubali mimi nakupitisha tu.
warumi njoo ntaumwa jamani nikikosa maubuyu mwenzenu.
 
Last edited by a moderator:
NDIOOOOOO! Uwiiiiii warumi ndio maana nakupendaga.
Tumechoka umbea wa JF kuandikwa kwa shigongo kila siku.Sasa hivi watatukoma.

Watajibeba mwaka huu *****, au sijui niweke kule instagram sasa ivi? Maana ule umbea mrefu na picha juu nakwambia, nimeweka private kule au mnaonaje?
 
Last edited by a moderator:
Watajibeba mwaka huu *****, au sijui niweke kule instagram sasa ivi? Maana ule umbea mrefu na picha juu nakwambia, nimeweka private kule au mnaonaje?

Hakuna shida binamu fanya hivyo.Maana na mimi nataka nitoke huku umeme hakuna.
 
Hahahahahaa, watajuuuta maana mimi ndiye group Admin.
Hakuna mbea mpya huko, watanichukiaje jamani?
Lawama zikizidi nitampa mtu mwingine ila kwa sasa wajipange sana.Kuna mvimba macho mmoja asahau tu hilo group maana sitomkubalia hata akiwaambia mods!....uwiiiiiii!

hhhhhaaaaaaa namhisi hisi sijui ni yeyeee lol umbea unanikabaaaaa
 
Back
Top Bottom