warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
Ungesoma posts vizuri zilizopita ungeona nini kilileta group na umekuta nilikutumia mwaliko ukajiunga.
Hakuna tabu naweza kuliamishia kwenu, nasubiri warumi ambaye pia nilimtumia kujiunga akijiunga nalihamishia kwake yeye ndie ataweza au pia nifah au mwingine yoyote.
Kuna wambea kama 10 bado hawajakubali au hawajaona request ya kujiunga wakajiunga zipo pending.
Au mtachagua nani ashike usikani. Hakuna tabu
HYo request inapatikana wapi? Mi sijaona aiseeh,sijapat notification yeyote kwa kweli
Last edited by a moderator: