Khaaaaa! Jamani leo nimepitwa sana.Sasa alichokua anafichaficha ni nini?
Halafu niliwahi sikia eti Lance amewahi kulala na Bhoke! Yasiwe ya kweli tu jamani...
Haaa, hilo la kulala na bhoke sidhani, alivyo na domo yule na anavyopenda hela asinge kaa kimya, si unakumbuka ile E-mail yake alivyokiri kwa Mwamvita hampendi Lance ila anakaa nae kwa shida tu hata unyumba hampi miezi mitatu inaisha hadi mzungu analalamika, anasubiri akishapata pesa safi asepe zake, Lance angelala na bhoke mange angetajirikia hapo maana angetaka hela kubwa kuzima soo, na angekuwa kishatajirika na kumuacha mzungu. Halafu umenoice picha zake za sasa anajitahidi sana kuficha mkono vidole visionekane maana hana tena pete ya ndoa, ile proud ya ORIGINAL DIMOND kwisha.