Manguli wa mapenzi msaada wa haraka unahitajika kwangu naomba njooni mnisaidie

Sijamaliza kusoma uzi nimetishia pale ulivuosema wewe ni mfupi, hapo tatizo ni kwamba UNA KIBAMIA
 
Oa wote
 
Mpaka hapo unaongozwa na tamaa.
1. Tamaa ya sifa
2. Tamaa ya ngono

Huoi kwa malengo bali tamaa.
Siwezi kukuambia uchague yupi na umuache yupi kwa sababu;

Ukimchagua huyo mzuri, siku akipata dosari uzuri ukaisha, basi utamtupilia mbali.

Ukimchagua huyo mtamu kitandani, siku utamu ukiisha utamtupilia mbali.

Kiufupi tu nikuambie, bado unasafari. Tafuta mwanamke mwenye hekima, heshima, anayejitambua na ambaye anaweza kukushauri jinsi ya kuishi.

Ahsante!
 
Ohoooooo, kidogo nakuelewa
Sample yako bado ni ndogo sana. Yaani una wanawake wawili tu ndio unataka uchague mke? Sasa hapo unachagua nini? Ulitakiwa uwe nao angalao 6 - 10 hapo ndio unaweza kufanya uchaguzi! Vigezo vya kuangalia ni vingi sana huwezi kuvipata kwa watu wawili. Ongeza sample acha uzembe.
 
Mimi ningekuwa wewe hapo ningemchukua huyu namba B maana anakujali licha ya kuwa si mzuri machoni mwako na wenzako......

Tambua kwamba A ni chaguo la wengi atakupasua kichwa sana.
Tatizo la B hakuna nguo anaweza vaa akapendeza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…