Manguli wa mapenzi msaada wa haraka unahitajika kwangu naomba njooni mnisaidie

Sawa mkuu
 
Mke
1:mcha mungu
2:mwenye akili ya maisha/easy to guide
3: kwakua ni mcha mungu hata mavazi yake yatakua ya heshima
4:anaweza asiwe Mtundu kitandani lkn unaweza mfundisha unavyotaka,wengine wakiwa na wapenzi wao hua wanadeka mpk uanzishe wewe mwanaume.
In summary
Anaekupa mapenzi mengi sasa hamtadumu nae kwakua kuna kitu anakitaka Kutoka kwako once ukimuweka ndani atakubadilikia km humjui
 
Kumbe kuna watu mnaakili humu na hamsemi,.

Nilichojifunza kwako ni kuwa hawa wote wawili hawanifai
 
Kwa hiyo Unataka wa kulinga nae kwa washkaji na sio wa kufanya nae maisha? Sifa zitakuponza. Maisha ni kuridhika wewe mwenyewe, maisha ni yako wewe sio ya washkaji
 
waoe wote wawili ili upate huo mchanganyiko wa muonekano barabarani na ridhiko kitandani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…