Manusura wa utawala wa awamu ya tano waliokimbilia nje wote ni kama Mwenyezi Mungu amewabariki

Andika vitu ulivyo na uhakika, usidanganye watu.

Ni kweli Lisu, Lema na Ngurumo, mwanzoni waliishi kwa kutegemea posho ya ukimbizi. Lakini baadaye, wote walianza kufanya kazi. Mpaka sasa wanaishi kwa kutegemea kazi. Na hata kurudi inakuwa ni mtihani maana huko wanafanya kazi, watakapofika hapa itabidi waanze maisha upya kufikiria watafanya kazi gani kujipatia kipato, na wapi.

Fikiria hata yule marehemu, binti yake mzee Malechela, alidhalilishwa na kufukuzwa kazi na marehemu Magufuli lakini Mumgu alimbariki, akapata ajira nzuri zaidi. Ni bahati mbaya tu Mungu, kwa mapenzi yake alimchukua.

Funzo ni kwamba, mwanadamu anaweza kukuharibia kwa muda fulani, lakini hawezi kuteketeza mafanikio yako.
 
Kuna watu humu naheshimiana nao ila nikiwakuta kwenye threads flani humu napata mashaka sana na utashi wao. Mtu anaandika kitu hadi najiuliza na hii ng’ombe ina familia nyumbani?
 
Je kama wanaishi nje kwa kupakuliwa
 

Kiuhalisia ule utawala ulikuwa wa kilaghai na wa kufifisha akili za watu.

Yaani alianzisha sera mbaya za kiuchumi, za kuwafukarisha watu, za kuwafanya watu wakose ajira za uhakika, halafu wakiwa mafukara, wanatanga tanga mitaani, amefanikiwa kuwafanya wanyonge, halafu anasema anawapenda, watembeze vitu vyao mitaani na wengine wapange mitumba barabarani.

Ni sawa na mtu anakukata miguu, halafu umekuwa mlemavu anasema anakupenda sana, wewe upo huru kukaa popote uwe unaomba.
 
Kuna watu humu naheshimiana nao ila nikiwakuta kwenye threads flani humu napata mashaka sana na utashi wao. Mtu anaandika kitu hadi najiuliza na hii ng’ombe ina familia nyumbani?
Mbona wapo waliowahi kuwa viongozi wako wa nchi wenye utashi wa hovyo kuliko hata hao unaowashangaa na nyumban wana familia zinawaangalia.
 
Sasa ukikosa kuuawa si ndo utaifikia future.Kwa hiyo kuwa salama ugenini kwako si kitu.Na bado huwezi kufananisha hizo unazoziita posho na uchafu uliopo kwenye maisha ya kitz.
 
Sukuma gang at work
 
Ni kama Daudi alivyofukuzwa na Sauli. Daudi akazidi kubarikiwa zaidi
 
Kikubwa ni kuwa yule nduli hayupo tena duniani baada ya kuondoshwa na Mungu kupitia maombi ya Watanzania
 

Yaan mtu akisafiri tajiri
 
Wee utakua cheti feki. Yaani hapo unaona umeandika kitu cha maana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…