Manusura wa utawala wa awamu ya tano waliokimbilia nje wote ni kama Mwenyezi Mungu amewabariki

Ponguza upumbavu,ili uwe muelewa!

Sio kila anaeishi Ughaibuni basi ni amefanikiwa!

Huko nako kuna mitaa ya mabanda!

Bahati mbaya Ufipa,akili mnashikiwa na Mnyika!

Hao wote uliowataja,kule waliko wanaishi kwa kupewa Posho!

Na Lissu anaishi kwa kuifitinisha serikali ya Tanzania na mabeberu yake!...
kina Robert Amsterdam!

Muwe mnafikiria kwa kichwa sio ma*alio.
Andika vitu ulivyo na uhakika, usidanganye watu.

Ni kweli Lisu, Lema na Ngurumo, mwanzoni waliishi kwa kutegemea posho ya ukimbizi. Lakini baadaye, wote walianza kufanya kazi. Mpaka sasa wanaishi kwa kutegemea kazi. Na hata kurudi inakuwa ni mtihani maana huko wanafanya kazi, watakapofika hapa itabidi waanze maisha upya kufikiria watafanya kazi gani kujipatia kipato, na wapi.

Fikiria hata yule marehemu, binti yake mzee Malechela, alidhalilishwa na kufukuzwa kazi na marehemu Magufuli lakini Mumgu alimbariki, akapata ajira nzuri zaidi. Ni bahati mbaya tu Mungu, kwa mapenzi yake alimchukua.

Funzo ni kwamba, mwanadamu anaweza kukuharibia kwa muda fulani, lakini hawezi kuteketeza mafanikio yako.
 
Kuna watu humu naheshimiana nao ila nikiwakuta kwenye threads flani humu napata mashaka sana na utashi wao. Mtu anaandika kitu hadi najiuliza na hii ng’ombe ina familia nyumbani?
 
Huwezi amini fadhili za Bwana ni za milele. Manusura wote wa mkono wa chuma wa awamu ya tano waliokimbilia nje ya nchi kuokoa roho zao Mungu hakuwatindikia wao na familia zao.

1. Tundu Antipas Mughway Lissu.
Anapanda mwewe daily mitoto iko USA unyamwezini. Yani lisu huyu kawa more international sio kama yule wa 2017 kurudi nyuma lissu yule alikuwa lissu local huyu wa sasa ni Lissu international. Ama kweli kumpiga chura teke ni kumuongezea mwendo.

2. Roma Mkatoliki.
Yuko mambele ma USA huko sio roma yule tena wa simba na yanga jukwaani huyu ni roma mnyamwenga Roma wa ulimwengu wa kwanza sio yule roma wa kuvunja nazi mkata msata mpaka kubwaga manyanga.

3. Mbunge God bless Lema
Kutoka kuwa mu arachuga mpaka kuwa mcanada yani USA kwà juu mtu wa kuishi ma otawa ubaridini daaah kweli Muache Mungu aitwe Mungu.

4. Ansbert Ngurumo.
Mwamba yuko Mahelsinki finland ukitaka paite ufini au ufinidini maubaridini huko anakula ma rain deer ya kuchoma na ma barbeque ya ajabu full mamikaa ya mbele mamikaa yenye kaboni og daah walahi awamu ya tano ilibugi sana.

Kiufupi miamba yote imeongezeka maexposure maconection na watu wa mambele maneeeeener.!!!
Mungu pekee anajua hatma yako usimuogope mwanadamu.
Je kama wanaishi nje kwa kupakuliwa
 
Jiwe alijali sana maendeleo ya vitu, hakuwa na chembe yoyote ya huruma kwa wale aliodhani kuwa ni mahasimu wake. Maendeleo ya watu kwake ilikuwa kulighilibu kundi la walalahoi aliloliita la wanyonge.

Aliwaruhusu wafanye shughuli zao kiholela na kishaghalabaghala hali iliyopelekea uchafuzi mkubwa wa mazingira na mipango ya miji kuvurugika, yaani "extra-legal environment" hali iliyopelekea kodi zisilipike vizuri, na gharama zake ikabebeshwa sekta ambayo aliichukia mno, na kuwaita waliomo ndani yake wapiga dili na wameeibia sana serikali.

Kiuhalisia ule utawala ulikuwa wa kilaghai na wa kufifisha akili za watu.

Yaani alianzisha sera mbaya za kiuchumi, za kuwafukarisha watu, za kuwafanya watu wakose ajira za uhakika, halafu wakiwa mafukara, wanatanga tanga mitaani, amefanikiwa kuwafanya wanyonge, halafu anasema anawapenda, watembeze vitu vyao mitaani na wengine wapange mitumba barabarani.

Ni sawa na mtu anakukata miguu, halafu umekuwa mlemavu anasema anakupenda sana, wewe upo huru kukaa popote uwe unaomba.
 
Kuna watu humu naheshimiana nao ila nikiwakuta kwenye threads flani humu napata mashaka sana na utashi wao. Mtu anaandika kitu hadi najiuliza na hii ng’ombe ina familia nyumbani?
Mbona wapo waliowahi kuwa viongozi wako wa nchi wenye utashi wa hovyo kuliko hata hao unaowashangaa na nyumban wana familia zinawaangalia.
 
Ngoja wafilist walinda legacy waje!!!
FpEP-ZhWIAAnDNw.jpeg
 
Wacha ufala!

Kuwin maisha,angetutajia labda wamepata post za kazi na sasa ni waajiriwa huko!

Au atuambie wanafanya biashara baada ya kukopeshwa pesa huko!

Yeye nadharia yake ni kuwa kila anayeshi nje,basi huyo amepata maisha!

Maisha. ni pamoja na kuwa na uhakika wa future yako!

Kitu pekee wanachofaidi hao wote,ni kule kusomesha watoto nje ya nchi.

Kwa kipato ni bora mnyamaze maana hamyajui wayapitiayo huko!
Sasa ukikosa kuuawa si ndo utaifikia future.Kwa hiyo kuwa salama ugenini kwako si kitu.Na bado huwezi kufananisha hizo unazoziita posho na uchafu uliopo kwenye maisha ya kitz.
 
Ponguza upumbavu,ili uwe muelewa!

Sio kila anaeishi Ughaibuni basi ni amefanikiwa!

Huko nako kuna mitaa ya mabanda!

Bahati mbaya Ufipa,akili mnashikiwa na Mnyika!

Hao wote uliowataja,kule waliko wanaishi kwa kupewa Posho!

Na Lissu anaishi kwa kuifitinisha serikali ya Tanzania na mabeberu yake!...
kina Robert Amsterdam!

Muwe mnafikiria kwa kichwa sio ma*alio.
Sukuma gang at work
 
Huwezi amini fadhili za Bwana ni za milele. Manusura wote wa mkono wa chuma wa awamu ya tano waliokimbilia nje ya nchi kuokoa roho zao Mungu hakuwatindikia wao na familia zao.

1. Tundu Antipas Mughway Lissu.
Anapanda mwewe daily mitoto iko USA unyamwezini. Yani lisu huyu kawa more international sio kama yule wa 2017 kurudi nyuma lissu yule alikuwa lissu local huyu wa sasa ni Lissu international. Ama kweli kumpiga chura teke ni kumuongezea mwendo.

2. Roma Mkatoliki.
Yuko mambele ma USA huko sio roma yule tena wa simba na yanga jukwaani huyu ni roma mnyamwenga Roma wa ulimwengu wa kwanza sio yule roma wa kuvunja nazi mkata msata mpaka kubwaga manyanga.

3. Mbunge God bless Lema
Kutoka kuwa mu arachuga mpaka kuwa mcanada yani USA kwà juu mtu wa kuishi ma otawa ubaridini daaah kweli Muache Mungu aitwe Mungu.

4. Ansbert Ngurumo.
Mwamba yuko Mahelsinki finland ukitaka paite ufini au ufinidini maubaridini huko anakula ma rain deer ya kuchoma na ma barbeque ya ajabu full mamikaa ya mbele mamikaa yenye kaboni og daah walahi awamu ya tano ilibugi sana.

Kiufupi miamba yote imeongezeka maexposure maconection na watu wa mambele maneeeeener.!!!
Mungu pekee anajua hatma yako usimuogope mwanadamu.
Ni kama Daudi alivyofukuzwa na Sauli. Daudi akazidi kubarikiwa zaidi
 
Wacha ufala!

Kuwin maisha,angetutajia labda wamepata post za kazi na sasa ni waajiriwa huko!

Au atuambie wanafanya biashara baada ya kukopeshwa pesa huko!

Yeye nadharia yake ni kuwa kila anayeshi nje,basi huyo amepata maisha!

Maisha. ni pamoja na kuwa na uhakika wa future yako!

Kitu pekee wanachofaidi hao wote,ni kule kusomesha watoto nje ya nchi.

Kwa kipato ni bora mnyamaze maana hamyajui wayapitiayo huko!
Kikubwa ni kuwa yule nduli hayupo tena duniani baada ya kuondoshwa na Mungu kupitia maombi ya Watanzania
 
Ponguza upumbavu,ili uwe muelewa!

Sio kila anaeishi Ughaibuni basi ni amefanikiwa!

Huko nako kuna mitaa ya mabanda!

Bahati mbaya Ufipa,akili mnashikiwa na Mnyika!

Hao wote uliowataja,kule waliko wanaishi kwa kupewa Posho!

Na Lissu anaishi kwa kuifitinisha serikali ya Tanzania na mabeberu yake!...
kina Robert Amsterdam!

Muwe mnafikiria kwa kichwa sio ma*alio.

Yaan mtu akisafiri tajiri
 
Huwezi amini fadhili za Bwana ni za milele. Manusura wote wa mkono wa chuma wa awamu ya tano waliokimbilia nje ya nchi kuokoa roho zao Mungu hakuwatindikia wao na familia zao.

1. Tundu Antipas Mughway Lissu.
Anapanda mwewe daily mitoto iko USA unyamwezini. Yani lisu huyu kawa more international sio kama yule wa 2017 kurudi nyuma lissu yule alikuwa lissu local huyu wa sasa ni Lissu international. Ama kweli kumpiga chura teke ni kumuongezea mwendo.

2. Roma Mkatoliki.
Yuko mambele ma USA huko sio roma yule tena wa simba na yanga jukwaani huyu ni roma mnyamwenga Roma wa ulimwengu wa kwanza sio yule roma wa kuvunja nazi mkata msata mpaka kubwaga manyanga.

3. Mbunge God bless Lema
Kutoka kuwa mu arachuga mpaka kuwa mcanada yani USA kwà juu mtu wa kuishi ma otawa ubaridini daaah kweli Muache Mungu aitwe Mungu.

4. Ansbert Ngurumo.
Mwamba yuko Mahelsinki finland ukitaka paite ufini au ufinidini maubaridini huko anakula ma rain deer ya kuchoma na ma barbeque ya ajabu full mamikaa ya mbele mamikaa yenye kaboni og daah walahi awamu ya tano ilibugi sana.

Kiufupi miamba yote imeongezeka maexposure maconection na watu wa mambele maneeeeener.!!!
Mungu pekee anajua hatma yako usimuogope mwanadamu.
Wee utakua cheti feki. Yaani hapo unaona umeandika kitu cha maana?
 
Back
Top Bottom