Bams
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 19,362
- 48,879
Andika vitu ulivyo na uhakika, usidanganye watu.Ponguza upumbavu,ili uwe muelewa!
Sio kila anaeishi Ughaibuni basi ni amefanikiwa!
Huko nako kuna mitaa ya mabanda!
Bahati mbaya Ufipa,akili mnashikiwa na Mnyika!
Hao wote uliowataja,kule waliko wanaishi kwa kupewa Posho!
Na Lissu anaishi kwa kuifitinisha serikali ya Tanzania na mabeberu yake!...
kina Robert Amsterdam!
Muwe mnafikiria kwa kichwa sio ma*alio.
Ni kweli Lisu, Lema na Ngurumo, mwanzoni waliishi kwa kutegemea posho ya ukimbizi. Lakini baadaye, wote walianza kufanya kazi. Mpaka sasa wanaishi kwa kutegemea kazi. Na hata kurudi inakuwa ni mtihani maana huko wanafanya kazi, watakapofika hapa itabidi waanze maisha upya kufikiria watafanya kazi gani kujipatia kipato, na wapi.
Fikiria hata yule marehemu, binti yake mzee Malechela, alidhalilishwa na kufukuzwa kazi na marehemu Magufuli lakini Mumgu alimbariki, akapata ajira nzuri zaidi. Ni bahati mbaya tu Mungu, kwa mapenzi yake alimchukua.
Funzo ni kwamba, mwanadamu anaweza kukuharibia kwa muda fulani, lakini hawezi kuteketeza mafanikio yako.