Hata Lissu mwenyewe na mbowe hawakutia mguu barabarani mbona kule Zanzibar maalim sefi na kina Jussa na Mazrui walionyesha mfano na wakatoka barabarani wakiwa mbeleMatumaini yapi kama sio unafiki,mlipoambiwa kulikuwa na uchafuzi badala ya uchaguzi na mkatakiwa muingie barabarani kupinga,mbona mliufyata.
Acheni basi kuwapa matumaini Wtz kama hela imekutoeni kwenye utu., acheni siasaNenda nawewe akakununue kama unadhani unathamani hiyo
Tumechoka na viongozi wanafik, sasa mnaenda Ikulu kila asubuhi kuripoti Mbowe she is a snakeNi zamu yako sasa kudai katiba mpya
Sio bangi ni ukweli mtupu huo tukiacha usimba na Yanga..kinacho nishangaza mimi ni huyu Mdude kwanini hakutumia huu mwanya?? Angekuwa mtoto wa mjini ilikuwa nafasi pekee ya yeye na familia yake kujihakikishia maisha yalio bora kabisa...Bangi mbaya sana
Kwani ccm ikiondoka madarakani wewe kama wewe utafaifika nini?Halafu, eti ccm itaondoka madarakani, kwa ujinga kama huu acha tusome namba na walamba asali, chawa na wajinga wengine mnaofanana nao.
Lumumba fcHata Lissu mwenyewe na mbowe hawakutia mguu barabarani mbona kule Zanzibar maalim sefi na kina Jussa na Mazrui walionyesha mfano na wakatoka barabarani wakiwa mbele
Coward chadema pfyuu..L
Lumumba fc
Hahhaaa unagangaika bureCoward chadema pfyuu..
Si imeruhusiwa mbona hatuoni cha maanaMnafiki Sana wewe wakifanya siasa hasa mnawawekea Sheria za kuzuia mikutano wakiwazidi hoja mnawapiga risasi wakikimbilia uhamishoni mnasema wanaenda Kwa mabeberu wakitumia teknohama mnasema wameiua chadema siasa za mtandaoni Bado Tanzania kiufupi nyie ni mashetani.