Manusura wa utawala wa awamu ya tano waliokimbilia nje wote ni kama Mwenyezi Mungu amewabariki

Manusura wa utawala wa awamu ya tano waliokimbilia nje wote ni kama Mwenyezi Mungu amewabariki

Matumaini yapi kama sio unafiki,mlipoambiwa kulikuwa na uchafuzi badala ya uchaguzi na mkatakiwa muingie barabarani kupinga,mbona mliufyata.
Hata Lissu mwenyewe na mbowe hawakutia mguu barabarani mbona kule Zanzibar maalim sefi na kina Jussa na Mazrui walionyesha mfano na wakatoka barabarani wakiwa mbele
 
Halafu, eti ccm itaondoka madarakani, kwa ujinga kama huu acha tusome namba na walamba asali, chawa na wajinga wengine mnaofanana nao.
 
Bangi mbaya sana
Sio bangi ni ukweli mtupu huo tukiacha usimba na Yanga..kinacho nishangaza mimi ni huyu Mdude kwanini hakutumia huu mwanya?? Angekuwa mtoto wa mjini ilikuwa nafasi pekee ya yeye na familia yake kujihakikishia maisha yalio bora kabisa...
 
Halafu, eti ccm itaondoka madarakani, kwa ujinga kama huu acha tusome namba na walamba asali, chawa na wajinga wengine mnaofanana nao.
Kwani ccm ikiondoka madarakani wewe kama wewe utafaifika nini?
 
L
Hata Lissu mwenyewe na mbowe hawakutia mguu barabarani mbona kule Zanzibar maalim sefi na kina Jussa na Mazrui walionyesha mfano na wakatoka barabarani wakiwa mbele
Lumumba fc
 
Mnafiki Sana wewe wakifanya siasa hasa mnawawekea Sheria za kuzuia mikutano wakiwazidi hoja mnawapiga risasi wakikimbilia uhamishoni mnasema wanaenda Kwa mabeberu wakitumia teknohama mnasema wameiua chadema siasa za mtandaoni Bado Tanzania kiufupi nyie ni mashetani.
Si imeruhusiwa mbona hatuoni cha maana
 
Back
Top Bottom