Manyanyaso ya Waarabu kwa mabinti wa kazi za ndani

Manyanyaso ya Waarabu kwa mabinti wa kazi za ndani

Mabinti wanaofanya kazi za ndani wanavyonyanyaswa uarabuni.
Sehemu pekee ambako mfanyakazi wa ndani anaweza asipate manyanyaso ya kijinga ni only USA, some European countries, especially WEST, na Australia....

Kwa maana nyingine, ni Mzungu pekee ndie amestaaribika dhidi ya housemaids....

Kinyume chake, hata Miafrika wenyewe, tunawanyanyasa sana Wasichana wa Ndani hadi mtu unajiuliza hivi unaanzaje kumnyanyasa mtu anayekupikia au kukulea watoto wako!!

Kugonga house girls tunaona kawaida tu huku tukijisahaulisha kwamba anakupa uchi yake most likely kwa sababu hana jinsi... she's innocent!

On serious note: Hivi mnapowagonga hawa mabinti, kunakuwa na mutual agreement au huwa mnavuta tu?!
 
Mabinti wanaofanya kazi za ndani wanavyonyanyaswa uarabuni.

Mabinti wanaoajiriwa kutoka Afrika Mashariki kwenda kufanya kazi za ndani katika mataifa ya ghuba wanaendelea kulalamikia jinsi wanavyotendewa vitendo vya kinyama kama kuteswa na hata kubakwa na waajiri wao.

Waarabu inaonekana bado wana fikra za kitumwa hata baada ya hiyo biashara haramu kupigwa marufuku na wakoloni karibu karne moja na nusu iliyopita.
Mshana Jr Soma Tena Shimba ya Buyenze bahati93 Smart911 Taavid Mathanzua Sandali Ali Champagnee antimatter Ulimakafu Mu congomani Utingo
 
Waarabu ndio wako hivyo, naweza fumba macho na kusema hamna haja ya kuwalaumu kwani ndivyo mfumo wao wa maisha unavyoenda. Waarabu wao wanaamini sana katika makabila, mwingereza alishangaa sana alivyoenda kuwaunganisha ili wampige mturuki kwenye vita ya pili ya dunia. Kuna kabila linaitwa beduli wanaonewa sana yaan haruhusiwi hata kunywa maji kwenye kisima alichochimba mwarabu mwingine akinywa hujumu ni kifo! Kuna jamaa yangu alienda kule anakwambia watu wazima wala hawatii hofu bali ni watoto wao, anasema unaweza lambwa bonge la kofi pasipo sababu yoyote ukikunja sura tuu ujue unaloo.
 
Hivi lengo la kuwapima hawa wadada wa kazi vvu na magonjwa mengine ya zinaa ni nn?

Kama sio kutaka kuwanyatia usiku ?

Waarabu bado wanafikra za zama za watumwa na ubaguzi,
Especially kwa mtu mweusi.
Baharia umeuliza swali zuri sana

Ova
 
Na wengi wakirudi marinda hamna kitu kabisa

Ova
 
Vipi na wanaonyanyaswa na waafrika wenzao tena hapa hapa nchini unasemaje hili.
 
Shida wakienda kule wanaacha waliyofata wanaangilia ndoa za watu
 
Mbona wapo mabinti wengi tu mwaka wa kumi huku wapo huko hadi wameolewa huko, wengine wanafanya kazi na wamebadilisha maisha ya familia zao
 
Shida sio uarabu shida umepata tajiri yupi, waarabu wanaoijua dini hawana tabia hizo uwatendea mema na kutambua thamani zao
 
Hapo ni udhaifu wa serikali zetu kushindwa kutengeneza sera na utaratibu mzuri wa kulinda watu wake nje ya nchi, mbona mabinti Kazi toka nchi za Philippines nk wao awapati manyanyaso hayo.
 
Back
Top Bottom