Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mmasai anataka awe na ng'ombe nyingi ili akitaka binti yoyote kigoli basi anampata bila shida na kumbuka hapo ni mwanaume wa umri wa kutosha tuuWamasai wapo nyuma Sana kielimu mamlaka ya utabiri wa Hali ya hewa walishatoa taadhari hivyo sikutegemea mifugo itakufa mingi kiasi hichi
Ni kama Msukuma tuMmasai yupo radhi ng'ombe afe sio kuchinja au kuuza
Kuonesha kwamba mwisho wa hayo ni watu kuumizana Any way, Naomba samahani Mkuu kama nimekuudhi kwa picha hiyo inayokera bila kwanza kutoa onyo.Umetuma hii kwa lengo gani?
#MaendeleoHayanaChama
Samahani sana Mkuu, nimekosea sikutoa kwanza onyo la picha inayokera. Naomba uniwie radhi. Hiyo ni matokeo ya machafuko kati ya Wafugaji na Wakulima Kiteto kama ulisikia 2016. Naomba radhi Mkuu.ni nini hiyo duh
Hiyo ni ishu aisee wafundishwe kufuga kisasa ng'ombe wanaweza kuwahudumia hata kwa mapumba wakati kama huu. Sasa mtu unakuta ana ng'ombe 3000-5000 atawezaje kuwahudumia pumba??? Na wanakufa anaona heri wage hata kuuza hataki achilia kuchinja wale nyama.na vipi kuhusu majan ambayo ndiyo chakula
Ilete mvua mkuu. Hali mbaya sana watu hawajaanza kulima wakati saa hii watu wangekuwa wanavuna mazao ya mwanzo... Nasikia malaysia zipo mvua za kutengeeza,, tufuate wataalamu huko waje kutuletea mvua[emoji125][emoji125][emoji125]Serekali ifanyej sasa
[emoji23][emoji23][emoji23]Halafu maji ya kumwagilia hiyo miti lakimoja Kila Kijiji utapeleka wewe?
Tena aisee, Ushauri ulisha tolewa siku za nyuma kwamba wamiliki Ardhi (kimila au kiserikali) ili kuwe na matumizi endelevu ya Ardhi na Malisho. Huu utaratibu wa Umilikaji wa ardhi Huria(Communal Land Ownership) na Kuhama-hama utawatesa sana kwani anayewahi ndiye analisha mifugo ndiye anayekaa/jenga boma.Hiyo ni ishu aisee wafundishwe kufuga kisasa ng'ombe wanaweza kuwahudumia hata kwa mapumba wakati kama huu. Sasa mtu unakuta ana ng'ombe 3000-5000 atawezaje kuwahudumia pumba??? Na wanakufa anaona heri wage hata kuuza hataki achilia kuchinja wale nyama.
pw pw ila hiyo inabid uweke tahadhari kabisa maana sio poa kabisaSamahani sana Mkuu, nimekosea sikutoa kwanza onyo la picha inayokera. Naomba uniwie radhi. Hiyo ni matokeo ya machafuko kati ya Wafugaji na Wakulima Kiteto kama ulisikia 2016. Naomba radhi Mkuu.