Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tumia akili yako ,kutafakari kama binadamu mwenye utashi!So serkali ilete mvua ,
USSR
Mimi nawajua wawili wamedata kwa mifugo yao kufa...leo nimeshuhudia ngombe wanne wakianguka karibu na mgodini,yani ukiwa mwajanga mpka swala nazo zinakufa....watu wakimbiza swala au digidigi kwa miguu na kumkamataNa sio mmasai tu wafugaji wakubwa wote ng'ombe kwao ana thamani sana,kuna mzee alitaka kujinyonga kipindi cha kiangazi maana anaona mifugo inakufa tu
Masai jiongezeni wakati wa kiangazi uza mifugo tunza pesa msimu wa masika kuanza nunua mifugo kwa mzunguko huo huo
Walioweza walitumia nnSio RAHISI kutunza hela
Serikali itenge maeneo makubwa ya ufugaji,kama Morogoro,Iringa,Kiteto,Muheza ,Kigoma,na Rukwa na Kagera.Then ianzishe kilimo cha nyasi za malisho...zizalushwe kitaalam.ili zisaidie wakati was ukame au kiangazi.Hebu toa pendekezo au Ushauri nini kifanyike.
kwa mguu wapi huko aiseeMimi nawajua wawili wamedata kwa mifugo yao kufa...leo nimeshuhudia ngombe wanne wakianguka karibu na mgodini,yani ukiwa mwajanga mpka swala nazo zinakufa....watu wakimbiza swala au digidigi kwa miguu na kumkamata
Elfu 40 dah hiyo hasara lazima upagaweSerikali itenge maeneo makubwa ya ufugaji,kama Morogoro,Iringa,Kiteto,Muheza ,Kigoma,na Rukwa na Kagera.Then ianzishe kilimo cha nyasi za malisho...zizalushwe kitaalam.ili zisaidie wakati was ukame au kiangazi.
Hapohapo uzalishaji was vyakula vya kisasa vya mifugo usisitizwe ...mfano,kutumia mashudu ya alizeti!
Na hii i3nde sambamba na wakulima.kufuga ng'ombe Kwa tija! Sinkuwa na makundi makunwa ya mifugo Hulu wanakula vumbi!
Haakuna lisilowezekana Kiongozi!
Tatizo tumekaa tunafanya porojo bila kufikiria kesho!
Majuzi nimeshuhudia kijijini huko Monduli Masai anatembeza ng'ombe Bei ya kuanzia elfu 40,000(Elfu arobaini)ilhali.miezi 3 iliyopita Ng😱mbe kama huyo alikuwa anuzwa kuanziq laki sita!
Tuna tatizo kubwa kama Taifa!
Nipeni mawasiliano au tukutane niweke plan mezanitupe plan yako ya hiyo hela
Shida ya hawa ndg zetu wao wanaona kuwa na mifugo/ngo'mbe mingi ndio utajiri mkubwa . Yaani kuna mmoja amesoma mpaka degree na ni mtumishi Ila kwake mifugo tuu ndio Dili Hana mpango hata wa kujenga kajumba Ka kuishi. Yeye akili yake inawaza ngo'mbe tuuView attachment 2080443
Mifugo 62,593 imekufa wilayani Simanjiro mkoani Manyara kwa kukosa maji na malisho kutokana na ukame. Kati ya mifugo hiyo;
Ng'ombe - 35,746
Kondoo - 15,136
Mbuzi - 10,033
Punda - 1,670
======
Hali ya ukame inayoendelea wilayani Simanjiro mkoani Manyara imesababisha mifugo mbalimbali ikiwemo ng'ombe, kondoo, mbuzi na punda kufa.
Simanjiro. Mifugo 62,593 imekufa wilayani Simanjiro mkoani Manyara kutokana kukosa maji na malisho baada ya ukame kuvikumba vijiji mbalimbali katika wilaya hiyo.
Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro, Sendeu Laizer ameyasema hayo Januari 13 kwenye kikao cha baraza la madiwani wa Halmashauri hiyo.
Sendeu ameitaja mifugo hiyo iliyokufa kuwa ni ng'ombe 35,746, kondoo 15,136, mbuzi 10,033 na punda 1,670.
Amesema katika kipindi hiki hali ya mifugo katika maeneo mengi ya Simanjiro siyo ya kuridhisha kutokana na uhaba wa maji na malisho.
Amesema ufuatiliaji na ukusanyaji wa taarifa za vifo vya mifugo kutokana na athari za ukame unaendelea katika vijiji vyote.
"Hali hii imesababisha baadhi ya mifugo kufa na wafugaji wengi kuhama na kurundika katika maeneo machache yenye maji na malisho," amesema Sendeu.
Mbunge wa jimbo la Simanjiro, Christopher Ole Sendeka amesema kutokana na ukame huo jamii nyingi zimeingia kwenye umaskini kutokana na mifugo yao kufa.
Ole Sendeka amesema kwa sababu ya ukame uliopo nchini baadhi ya wafugaji wamehamisha mifugo yao nje ya nchi ili zipate malisho.
Diwani wa kata ya Naisinyai, Taiko Kurian ametoa ombi kwa Serikali kuruhusu mifugo kuingia ndani ya ukuta wa madini ya Tanzanite ili kupata malisho.
"Mifugo ni benki ya jamii za kifugaji sasa inapokufa kwa ukame inakuwa tatizo tunaiomba Serikali iruhusu mifugo kuingia ndani ya ukuta wa madini ya Tanzanite kwani haitadhiriana," amesema Taiko.
Simanjiro yapitisha Sh25.2 bilioni
Wakati huo, madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro wamepitisha rasimu ya mpango wa bajeti ya Sh25.2 bilioni kwa ajili ya mwaka wa fedha wa 2022/2023.
Ofisa mipango wa halmashauri hiyo, Heri Kuria amesema bajeti hiyo imelenga kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo katika sekta ya elimu, afya, maji na miundombinu.
Amesema katika bajeti ya 2022/2023 halmashauri hiyo itatekekeleza miradi mbalimbali na katika bajeti hiyo itaongeza ujenzi wa madarasa ya shule za msingi 20, shule mpya ya sekondar na kituo cha afya.
Mwajanga kuna machimbo ya moonstone,digidigi na swala wamekonda hawana nguvu ya kukimbia..watu wanajipatia chakula bwererekwa mguu wapi huko aisee
Ndugu tupo kwenye Ubebari sio kila kitu Serikali umeona fursa hiyo itumie...Nenda TIC waambie nataka kuwekeza nataka Ardhi...Kwa kuanzia unatakiwa uwe $100,000/-Serikali itenge maeneo makubwa ya ufugaji,kama Morogoro,Iringa,Kiteto,Muheza ,Kigoma,na Rukwa na Kagera.Then ianzishe kilimo cha nyasi za malisho...zizalushwe kitaalam.ili zisaidie wakati was ukame au kiangazi.
Hapohapo uzalishaji was vyakula vya kisasa vya mifugo usisitizwe ...mfano,kutumia mashudu ya alizeti!
Na hii i3nde sambamba na wakulima.kufuga ng'ombe Kwa tija! Sinkuwa na makundi makunwa ya mifugo Hulu wanakula vumbi!
Haakuna lisilowezekana Kiongozi!
Tatizo tumekaa tunafanya porojo bila kufikiria kesho!
Majuzi nimeshuhudia kijijini huko Monduli Masai anatembeza ng'ombe Bei ya kuanzia elfu 40,000(Elfu arobaini)ilhali.miezi 3 iliyopita Ng😱mbe kama huyo alikuwa anuzwa kuanziq laki sita!
Tuna tatizo kubwa kama Taifa!
DuhShida ya hawa ndg zetu wao wanaona kuwa na mifugo/ngo'mbe mingi ndio utajiri mkubwa . Yaani kuna mmoja amesoma mpaka degree na ni mtumishi Ila kwake mifugo tuu ndio Dili Hana mpango hata wa kujenga kajumba Ka kuishi. Yeye akili yake inawaza ngo'mbe tuu
hizo si ni dollar hizo [emoji848][emoji848]Ndugu tupo kwenye Ubebari sio kila kitu Serikali umeona fursa hiyo itumie...Nenda TIC waambie nataka kuwekeza nataka Ardhi...Kwa kuanzia unatakiwa uwe $100,000/-
Serikali iweke Mazingira mazuri ya kuwekeza basi.