Animal Farm
JF-Expert Member
- Nov 16, 2024
- 234
- 281
Mashinji ni chawa alifika bei wakati wa jiwe! Jinga sana!..Ni mauaji ya mgombea wa Chadema ktk wilaya ya Manyoni.
..zilifanyika jitihada za kumdanganya DC pamoja na wachunguzi wa Polisi ili kuwalinda wauaji.
..inaelekea DC Dr.Mashinji ambaye aliwahi kuwa Katibu Mkuu wa Chadema hataki kuwalinda wauwaji.
..tusubiri kuona kama wahusika watachukuliwa hatua, lakini inaelekea CCM ina magenge ya kihalifu yamesambaa nchi nzima.
View: https://www.youtube.com/watch?v=jVM7kwn9HQE
Hivi neno "mstaafu" huwa maana yake ni nini?Na hutumiwaje kwa mtu husika?..Ni mauaji ya mgombea wa Chadema ktk wilaya ya Manyoni.
..zilifanyika jitihada za kumdanganya DC pamoja na wachunguzi wa Polisi ili kuwalinda wauaji.
..inaelekea DC Dr.Mashinji ambaye aliwahi kuwa Katibu Mkuu wa Chadema hataki kuwalinda wauwaji.
..tusubiri kuona kama wahusika watachukuliwa hatua, lakini inaelekea CCM ina magenge ya kihalifu yamesambaa nchi nzima.
View: https://www.youtube.com/watch?v=jVM7kwn9HQE
Wala usimuhukumu Mashinji kwa kuhamia CCM huko CDM kuna viongozi wabaya zaidi kuliko huyo aliye hamia rasmi CCM kuna viongozi wapo CDM lakini wanakula hela za CCM na wanajuana kwa hiyo mtu akipatiwa hulaji hawezi kuacha kwasabu anajua kuwa hata wenzake wanakula. Mashinji alikuwa mtu wa karibu sana na Mwenyekiti kwa vyovyote vile alipo pata ofa alimuomba ushauri na yeye akamkubalia ndiyo maana hawakumrudisha kwenye nafasi yake. Mimi si mlaumu mashinji wala msigwa wote wamechagua maamuzi mazuri tu kwa mstakabali wa maisha yao.Mashinji ni chawa alifika bei wakati wa jiwe! Jinga sana!
..usiseme wanakula hela za CCM.Wala usimuhukumu Mashinji kwa kuhamia CCM huko CDM kuna viongozi wabaya zaidi kuliko huyo aliye hamia rasmi CCM kuna viongozi wapo CDM lakini wanakula hela za CCM na wanajuana kwa hiyo mtu akipatiwa hulaji hawezi kuacha kwasabu anajua kuwa hata wenzake wanakula. Mashinji alikuwa mtu wa karibu sana na Mwenyekiti kwa vyovyote vile alipo pata ofa alimuomba ushauri na yeye akamkubalia ndiyo maana hawakumrudisha kwenye nafasi yake. Mimi si mlaumu mashinji wala msigwa wote wamechagua maamuzi mazuri tu kwa mstakabali wa maisha yao.
tusubiri kuona kama wahusika watachukuliwa hatua, lakini inaelekea CCM ina magenge ya kihalifu yamesambaa nchi nzima...Ni mauaji ya mgombea wa Chadema ktk wilaya ya Manyoni.
..zilifanyika jitihada za kumdanganya DC pamoja na wachunguzi wa Polisi ili kuwalinda wauaji.
..inaelekea DC Dr.Mashinji ambaye aliwahi kuwa Katibu Mkuu wa Chadema hataki kuwalinda wauwaji.
..tusubiri kuona kama wahusika watachukuliwa hatua, lakini inaelekea CCM ina magenge ya kihalifu yamesambaa nchi nzima.
View: https://www.youtube.com/watch?v=jVM7kwn9HQE
Aliempiga sheikh Ponda risasi yupo wapi? Kajipiga risasi mwenyewe kajiua huku sheikh Ponda anadunda. Allah akbarWauwaji hao watalindwa tu kama kàwaida yao!
Sasa watu wakuiadibisha Ccm wako wapi hao wana pokea hela Za Abdul ndiyo wata iadibisha CCM hao wanakwenda kuchukua michango kwa Mama na kusema mama anatoa sadaka kwa kanisa. Tusijidanye kizazi chetu ni cha kinafiki hakiwezi mapambano yoyote, wewe ukipata nafasi itumie kula tu hata Lisu namshauri aende akachukue zile fedha alizozikataa...usiseme wanakula hela za CCM.
..hizo ni kodi zetu Watanzania zinatapanywa kwa mambo ya hovyohovyo.
..CCM wanapokea ruzuku BILLION 3.2 kila mwezi, na inawakamua matajiri na wafanyabiashara kila wakati.
..na bila kuikataa na kuiadabisha CCM tusitegemee michezo hiyo ikakoma.
Sasa watu wakuiadibisha Ccm wako wapi hao wana pokea hela Za Abdul ndiyo wata iadibisha CCM hao wanakwenda kuchukua michango kwa Mama na kusema mama anatoa sadaka kwa kanisa. Tusijidanye kizazi chetu ni cha kinafiki hakiwezi mapambano yoyote, wewe ukipata nafasi itumie kula tu hata Lisu namshauri aende akachukue zile fedha alizozikataa.
Kweli kweli vichekeshoCCM na CHADEMA ni matapeli.
Amina sanaMungu Ibariki CHADEMA📌🔨View attachment 3166374